Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 62,686
- 112,594
Something wrong with ur brain system.mimi obama wa bongo mwana jf mwaminifu natamka rasmi kuwa nitakuwa mdhamini halali wa jf competition 2012,nitaitetea na kuzilinda sheria zote za jf !(naongea haya nikiwa ni meshika kitabu kilicholeta vurugu mbaga LA)
Obama wa bongo. Aga khan Mzizima sec(pcm), B com (UDSM) Msc .risk mgt(UK ) on study PHD(Commonwealth unv)CA(Australia)best student std 7,form six(NECTA) nilifaulu mzumbe ila si kwenda
Mkuu Nyani Ngabu na Kiranga hawafai kuwa majaji. siwezi kukupa sababu kwa sababu unawafahamu fika.
Hapo kwenye red sijui ofutopic zinaruhusiwa hapa!!!kwi kwi kwi... Dady Mwita Maranya eti ni kweli?Kwenye jukwaa la siasa kama hawa wafuatao watapata muda na kukubali basi wanafaa sana mmoja wapo kuwa kwenye jopo la majaji.
Mzee Mwanakijiji Mchambuzi Mwita Maranya Mwana Mtoka Pabaya. hawa nawaamini wote vichwani wako timamu na hawafikirii namna ya kumfikisha Mwanamke kileleni.
it might be my dear! but my brain capacity is ok!Something wrong with ur brain system.
hawezi kunijibu ndio maana nakosa imani nae!
Obama wa bongo. Aga khan Mzizima sec(pcm), B com (UDSM) Msc .risk mgt(UK ) on study PHD(Commonwealth unv)CA(Australia)best student std 7,form six(NECTA) nilifaulu mzumbe ila si kwenda
Mkuu Superman in principle i have got no excuses with this, provided vigezo na masharti yamezingatiwa...Ila kuna mdau alisuggest kuwa wanaMMU wamekuwa wengi kwenye U-judge..i also concur with the idea, kama vipi panua wigo na kwenye majukwaa mengine!
I mean hao ni watu serious, siyo dume ambalo linashinda MMU 24/7 ukasema aje kujaji mambo ambayo ni Hard talks, itakuwa ni vichekesho kumleta Mchambuzi jukwaa la siasa awe jaji.Hapo kwenye red sijui ofutopic zinaruhusiwa hapa!!!kwi kwi kwi... Dady Mwita Maranya eti ni kweli?
anipange katika position ambazo yeye alizi highlight na kuni- mention mm. but hatukuwa tumeelewana vzr b4. ndio nikamwambia basi achague yeye position anayoona mm nafiti zaid kisha anitoe kati ya wagombea wa hizi nafasi ili kuwepo na fair election.
Kwenye jukwaa la siasa kama hawa wafuatao watapata muda na kukubali basi wanafaa sana mmoja wapo kuwa kwenye jopo la majaji.
Mzee Mwanakijiji Mchambuzi Mwita Maranya Mwana Mtoka Pabaya. hawa nawaamini wote vichwani wako timamu na hawafikirii namna ya kumfikisha Mwanamke kileleni.
Kwenye jukwaa la siasa kama hawa wafuatao watapata muda na kukubali basi wanafaa sana mmoja wapo kuwa kwenye jopo la majaji.
Mzee Mwanakijiji Mchambuzi Mwita Maranya Mwana Mtoka Pabaya. hawa nawaamini wote vichwani wako timamu na hawafikirii namna ya kumfikisha Mwanamke kileleni.
mimi obama wa bongo mwana jf mwaminifu natamka rasmi kuwa nitakuwa mdhamini halali wa jf competition 2012,nitaitetea na kuzilinda sheria zote za jf !(naongea haya nikiwa ni meshika kitabu kilicholeta vurugu mbaga LA)
Obama wa bongo. Aga khan Mzizima sec(pcm), B com (UDSM) Msc .risk mgt(UK ) on study PHD(Commonwealth unv)CA(Australia)best student std 7,form six(NECTA) nilifaulu mzumbe ila si kwenda
I mean hao ni watu serious, siyo dume ambalo linashinda MMU 24/7 ukasema aje kujaji mambo ambayo ni Hard talks, itakuwa ni vichekesho kumleta Mchambuzi jukwaa la siasa awe jaji.
AshaDii ndio Jaji pekee ambaye sina shaka naye na uwezo wake wa jukwaa lolote lile, anafit kila jukwaa.
Ungeweza kuwapendekeza tu hao jamaa bila kuweka hayo maneno...vinginevyo ni dharau kwa majukwaa mengine na inaonyesha usivyojali 'social' part of your life. Life ain't just politics!
Naomba nitoe TAHADHARI...
Kwanza niseme kuwa nasikitika saana kuwepo kwa lara 1 kwenye list ya judges ya huu mchakato. Sababu nimesoma comments hata 10 threads mbali mbali wakimkubali saana na hizo comments zinaashiria kuwa anastahili kugombania huu mchakato. Lara is really good at what she does na ali deserve saana kuwepo kama contestant kuliko Judge (Ingawa kazi ya U-judge unauweza vizuri saana); Niliridhia na kuona sio mbaya sana wacha tu nikubaliane nalo.
Naona gfsonwin anaongezeka tena katika upande wa ma judges.. (gf sorry sikusoma original post ya SM niliingia tu hii thread na kukujibu post ulo ni mention). Naomba TAFADHALI pokea ombi langu la kujitoa kwa ma judges na kubaki contestant... Nalizingumzia kama mmoja wa judges na pia kama Muwakilishi upande wa kina dada/mama mwaka huu 2012. Naomba ukubali hili ombi langu. WHY? Ni wazi na ukweli usiopingika kuwa tuna akina dada wachache saana ambao wanatumia Jf ipasavo na kuwa na sifa stahili. Wengi wa wadada/mama ni wazuri saana kwa michango yao ila tatizo wapo limited tokana na sababu mbali mbali ambazo kila mmoja anazo.
Kama wanawake wote mtakuwa mnajitoa... Ina maana kutakuwa hakuna shindano la wanawake wa kuweza kuwakilisha vya kutosha. Au at teh end atakuwepo mmoja na asiwe na mpinzani. So far sasa hivi kwa uapande wa WoY wanawake ni gfsonwin, Kaunga, Ciello.
wala asipate tabu ya kufikiri sana, wewe chitchat ndio panakufaa, huwa nawafuatilia wewe na gaijin hata sifa ya kuwa jaji huna, basi tu kwakuwa mkuu superman amekuidhinisha wacha tu na iwe hivyo, lakini kwangu huna sifa sawa na gaijin.