JF Chit-Chat imejaa FAKE PEOPLE

JF Chit-Chat imejaa FAKE PEOPLE

eeee vipi tena ile vita mmeihamishia huku?? Hayo ndo madhara ya kutokukaguliwa.
Tuanze hapo we mleta mada wewe ni ke au me? Kama ke muone Filipo kama me muone Madame B
 
Last edited by a moderator:
Baba V kuna mamluki hukuuuuuuuuu
 
Last edited by a moderator:
nimechungulia hili jukwaa kuna watu wanajichukulia wao ndo masista duu,mademu wakali,wengine wanajichukulia wahitimu wa degree ya mapenzi yaani ilimradi kujivika uhusika ambao hana!......

mdukuzi umeingia chit chat...
 
eeee vipi tena ile vita mmeihamishia huku?? Hayo ndo madhara ya kutokukaguliwa.
Tuanze hapo we mleta mada wewe ni ke au me? Kama ke muone Filipo kama me muone Madame B

Huyu mtu ni mdukuzi tu tena wa third class..
 
Last edited by a moderator:
Swahiba nambie! Cha kushangaza mazee muda huu nina cocentrate na 3 issue!
1. Naangalia chnl 10 match ya Simba & Mtibwa.
2. Naangalia Tbc Bunge .
3. Na niko Jf .
Amini usiamini nadeal nayote sanjari !
Hapo namba 1 unatudanganya.
 
nimechungulia hili jukwaa kuna watu wanajichukulia wao ndo masista duu,mademu wakali,wengine wanajichukulia wahitimu wa degree ya mapenzi yaani ilimradi kujivika uhusika ambao hana!......

Kabla hujafika hapa ungem consult C.T.U akupe japo abcs za huku.. otherwise wewe mpagazi utajikuta umeingia choo kisicho chako na itabidi tukupe "pot" ujisaidie humo.
 
Last edited by a moderator:
Nilikua napiga chabo leo nikaamua niingie niujue ukweli kama chit chat ni jukwaa la waarusha au ni stori tu za mtaani?!

Ukijihisi una stress tulia, kunywa maji ya uvuguugu meengi then lala sehemu yenye free air utarudi normal... usikimbilie chit chat ukiwa bado na stress
 
Swahiba nambie! Cha kushangaza mazee muda huu nina cocentrate na 3 issue!
1. Naangalia chnl 10 match ya Simba & Mtibwa.
2. Naangalia Tbc Bunge .
3. Na niko Jf .
Amini usiamini nadeal nayote sanjari !

Umenikumbusha stead man group..sasa synovate...nilikuaga nasimamia kitengo fulan "media monitoring"kn jamaa wanatazama TV mbili huku wanasikiliza redio.. na kuandika yatokanayo ktk hizo vitu... bt huyu tumuache tu apumue...
 
eeee vipi tena ile vita mmeihamishia huku?? Hayo ndo madhara ya kutokukaguliwa.
Tuanze hapo we mleta mada wewe ni ke au me? Kama ke muone Filipo kama me muone Madame B


Huyu anatakiwa akamwone Madame B! Ingawa anaonekana ameingia choo cha wanyama amebaki anashangaa maana hajakuta shimo!
 
Last edited by a moderator:
nimechungulia hili jukwaa kuna watu wanajichukulia wao ndo masista duu,mademu wakali,wengine wanajichukulia wahitimu wa degree ya mapenzi yaani ilimradi kujivika uhusika ambao hana!......
mmmmh kila kitu feki siku hizi,watu feki,nywele feki,nyuso feki,bia feki,makalio feki,wanaume feki[mashoga] yani hata aridhi tunayo ishi nayo imekuwa feki,vitanda feki,watoto feki,tuishi kifeki feki tu:majani7::majani7:
 
Back
Top Bottom