Z Zero One Two JF-Expert Member Joined Sep 16, 2007 Posts 9,346 Reaction score 3,033 Feb 18, 2013 Thread starter #161 Rich woman said: ni wajibu wangu kumpumzisha hata sasa nimempumzisha... Click to expand... you are the only one......
Rich woman said: ni wajibu wangu kumpumzisha hata sasa nimempumzisha... Click to expand... you are the only one......
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,689 Reaction score 64,737 Feb 18, 2013 #162 Nakusalimia tu, Mambo yako yanakwendaje mtani? Nime 'like' signature yako. zomba said: Naam, nimefika. Click to expand...
Nakusalimia tu, Mambo yako yanakwendaje mtani? Nime 'like' signature yako. zomba said: Naam, nimefika. Click to expand...
zomba JF-Expert Member Joined Nov 27, 2007 Posts 17,239 Reaction score 3,939 Feb 19, 2013 #163 Mamndenyi said: Nakusalimia tu, Mambo yako yanakwendaje mtani? Nime 'like' signature yako. Click to expand... Mambo poa, umeona eeh? sasa hawa jamaa humu ndani wanapingana na Mwenyekiti wao, si mambo ya kushangaza hayo?
Mamndenyi said: Nakusalimia tu, Mambo yako yanakwendaje mtani? Nime 'like' signature yako. Click to expand... Mambo poa, umeona eeh? sasa hawa jamaa humu ndani wanapingana na Mwenyekiti wao, si mambo ya kushangaza hayo?
Washawasha JF-Expert Member Joined Aug 7, 2006 Posts 16,976 Reaction score 13,435 Feb 19, 2013 #164 imekuwaje tena kaka? Nalog off
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,689 Reaction score 64,737 Feb 19, 2013 #165 zomba tuweke utani pembeni lakini walio madarakani wamewekwa na Bwana. zomba said: Mambo poa, umeona eeh? sasa hawa jamaa humu ndani wanapingana na Mwenyekiti wao, si mambo ya kushangaza hayo? Click to expand... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
zomba tuweke utani pembeni lakini walio madarakani wamewekwa na Bwana. zomba said: Mambo poa, umeona eeh? sasa hawa jamaa humu ndani wanapingana na Mwenyekiti wao, si mambo ya kushangaza hayo? Click to expand...
zomba JF-Expert Member Joined Nov 27, 2007 Posts 17,239 Reaction score 3,939 Feb 19, 2013 #166 Mamndenyi said: zomba tuweke utani pembeni lakini walio madarakani wamewekwa na Bwana. Click to expand... Unanikumbusha "chaguo la Mungu".
Mamndenyi said: zomba tuweke utani pembeni lakini walio madarakani wamewekwa na Bwana. Click to expand... Unanikumbusha "chaguo la Mungu".
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,689 Reaction score 64,737 Feb 19, 2013 #167 Unaona eeh, acha ya Mungu tumwachie yeye mwenyewe. zomba said: Unanikumbusha "chaguo la Mungu". Click to expand...
Unaona eeh, acha ya Mungu tumwachie yeye mwenyewe. zomba said: Unanikumbusha "chaguo la Mungu". Click to expand...