Tusibaki kinyonge JF ili tuje kuwa sehemu ya historia.. Mitandao mingine imeshakiwasha na kampeni inaenda vema sana...
Challenge yetu ni kufikisha replies 3000 by Jumatatu na comments zake ni
NO REFORMS NO ELECTION
N.RN.E
NoReNoE
Ama picha
Ama mchoro
Ama style yoyote ya maneno lakini ujumbe ukiwa mmoja tuu.. No reforms no election..!
Hata chawa akijaribu kuharibu uzi jibu lake liwe moja tu.. NO REFORMS NO ELECTION
Ombi kwa Moderator: tunaomba muelee na kuutunza huu uzi🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
NO REFORMS NO ELECTIONhii nonsense ni useless field na ground mmebaki kutafutana wenyewe kwa wenyewe tu humu humu jukwaani 🤣
wew binafsi umecreate fake IDs ngapi mpaka sasa, achilia mbali zombie wengine kwani kwaajili hiyo gentleman?
eti 3k🤣
sasa 3k ndio mtafanya nini wapi kwa mfano gentleman?🐒
nimenuna sana gentleman,Umenuna?
NoReNoEKwa ID na Maroboti ya mleta mada. 1.5k ni zake.
What a confllation of facts
Upo sahihi kabisa aliyeleta Neno Reforms ni Samia sasa hivi kinachodaiwa ni utekelezaji kama alikuwa anatania watanzania tunazitakaNeno "Refirms" lisingeeleweka bila Mama Samia Suluhu Hassan kulileta katika falsafa yake ya R 4.
Na Reconciliation, Resilience, Rebuild.NO REFORMS NO ELECTION
No REFORMS no ELECTIONnimenuna sana gentleman,
3k kwa fake IDs, hali ya hiyo nonsense ni mbaya sana aise 🤣
The nonsense inataftiwa 3k🤣NO REFORMS NO ELECTION
NoReNoEnimenuna sana gentleman,
3k kwa fake IDs, hali ya hiyo nonsense ni mbaya sana aise 🤣
Pole sana japo ni changu lakini ndio dawa inywe polepole utaponanimenuna sana gentleman,
3k kwa fake IDs, hali ya hiyo nonsense ni mbaya sana aise 🤣
No REFORMS no ELECTIONLeo hutaki mchezo ni NRNE kila kona 🐼