JF challenge ya "NO REFORMS, NO ELECTION": Target replies 3K

JF challenge ya "NO REFORMS, NO ELECTION": Target replies 3K

11d78a0c-c20b-4dab-b359-c0f306701d06.png
 
Kulingana na msimamo uliopo hivi sasa hapa jamiiforums ni wazi 99% ya wanachama wanasema no reforms no ELECTION.

Msimamo wa no reforms no ELECTION sio tu kampeni bali ni imani hebu sema amina
 
Haha wajaze server ni kweli kwamba Mamluki vibaraka wa Wazungu na walioungana na wahuni wa mitandaoni wa Kenya hawafai kuongoza hata Chama chao wanachokiongoza
 
NRNE
 
Haha wajaze server ni kweli kwamba Mamluki vibaraka wa Wazungu na walioungana na wahuni wa mitandaoni wa Kenya hawafai kuongoza hata Chama chao wanachokiongoza
Tulitumika kama daraja sasa hivi familiar zao zipo Canada,Ubelgiji. Tulitumika kama daraja watu wakahongwa Ubalozi wa Ubelgiji. Tulitumika kama daraja watu walikarudi CCM nakupewa uDC na uRC. Tulitumika,watu waliuwawa,tuliumia baadaye walituacha kwenye mataa na kuhongwa vyeo CCM.
Najitenga kutumika kama daraja kwa faida ya wengine ambao naamini watatuacha tena. Nyie endeleeni tu mimi sitathubutu kutia mguu wangu road kuandamana.
1. MASUMBUKO LAMWAI(NCCR-CCM)
2. SALUM MSABAHA(ile CUF ya moto-CCM)
3. MCHUNGAJI GWAJIMA(CHADEMA>CCM-?)
4. WILBROAD SLAA CCM-CDM-CCM-CDM)
5.HALIMA MDEE +18
6.PATROBAS KATAMBI(CDM- CCM)
7. SALOME MAKAMBA(CDM-CCM)
8. MTATIRO ( CUF- CCM)
9. PROF KITILA MKUMBO(CDM- CCM)
10. MCHUNGAJI PETER MSIGWA(CDM-CCM)
11. DAVID MWASHILINDI(CDM-CCM)
12. DAVID KAFULILA(CDM-CCM)
13. MAULID MTULIA(TEMEKE MB CUF -CCM)
14. ABDALA MTOLEA ( KINONDONI MB CUF -CCM)
15. MWITA WAITARA(CDM-CCM)
16. JULIAS KALANGA(CDM-CCM)
17. MOSES MACHALI(NCCR-CCM)
18. ALBERT MSANDO( CDM-CCM)
19. EMANUEL MACHIBYA( CDM -CCM)
20. DAVID SILINDE(CDM-CCM)
21. JULIANA SHONZA(CDM-CCM)
22. GODWIN MOLEL(CDM-CCM)
23. LATIFA CHANDE(CDM-CCM)
24. ANNA GIDARYA( CDM-CCM)
25.DR EMMAKULATE SEMESI SWARE(CDM-CCM)
26. MARWA RYOBA(CDM-CCM)
27. JOSEPH MKUNDI(CDM-CCM)
28. JAMES OLE MILYA(CDM-CCM)
29.PAULINE GEKUL(CDM-CCM)
30. JOSHUA NASSRI(CDM>CCM)
31. DR VICENT MASHINJI(CDM-CCM)
32. DR WILBROAD SLAA(CCM-CHADEMA-CCM-CHADEMA)
33. LOWASSA (CCM-CHADEMA-CCM)
34. SUMAYE (CCM-CHADEMA-CCM)
35. RAZARO NYARANDU(CCM-CHADEMA- CCM)
36.PROF KITILA MKUMBO( CDM-CCM)
37. DR MAKONGORO MAHANGA( CCM- CHADEMA- CCM)
40. AUGUSTINO LIYATONGA MREMA( CCM-NCCR- CCM)
41. KINGUNGE NGOMBALE MWILU( CCM-CDM)
42.
 
Back
Top Bottom