JF challenge ya "NO REFORMS, NO ELECTION": Target replies 3K

NO REFORMS, NO ELECTION
 
Haina impact kumsusia fisi bucha la nyama hii ni sawa na kujipiga risasi mguuni walisusa cuf uchaguzi zanzibar na ukaendelea huwezi toka kwenye chama kudhoofika enzi za Magufuli chadema ilisambaratishwa baada ya kutumia uchaguzi huu kujijenga na kurudisha imani kwa wananchi ni kupata wabunge wakuweza kuwasemea wao wameenda kwenye kususia uchaguzi very poor strategy ndio maana yale maandamano waliandamana viongozi tu chama kimekufa kinahitaji kuhuishwa kitaifa.
 
 
No Reform No election. Free Tundu Lissu, Free Mdude Nyagali, Free Deusdedith Soka.
 
Kimewaka mitandaoni,sasa hatua ya mwisho kitawaka mitaani na ole wake atakae ingilia atajua nini maana ya mlipuko na hasira ya kupotelewa na kutekwa kwa ndugu zetu kisa kuna wapumbavu fulani wamekumbatia uhuru wetu na kila tukijaribu kuchange uongozi wanaiba kura kibabe sasa muda unakuja ambao wote tutakuwa wababe ndio patanoga na kuchangamka hiyo inaitwa hakuna kuonewa Wala kupigwa rungu na wezi,hatutakubali mwizi atuibie na atupige ndani mwetu.Mnao watetea wezi,wahuni,mafisadi,watekaji,na wauaji naona muda sio mwingi mtaisoma namba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…