JF challenge ya "NO REFORMS, NO ELECTION": Target replies 3K

JF challenge ya "NO REFORMS, NO ELECTION": Target replies 3K

Hii kali ya karne 😀 Polepole kamwaga mboga na ugali 🔥
Haya tulisikia sikia leo kathibitisha Polepole kuwa database zimeunganishwa!
Tokeni mbishe tuone 🤣
Hii drama imenoga!
Pole sana kaka
Tunakushukuru kwa kutusanua na you have played your part na msamaha umetuomba tena na tena - umesamehewa!
Sasa atakayekenua mdomo eti uchaguzi akapimwe akili!
Au akubali kahongwa!

#NoReformsNoElection is the only logical move!
1755843386431.jpg
 
"Ninaomba CCM na hivyo vyama VIKAROGOSI muelewe, sisi hatujasusia uchaguzi. Sisi tunataka Reforms ili tuwe na uchaguzi Huru na wa Haki". Bi Ashura Masoud Katibu Chadema kanda ya Kati.
 
"Ninaomba CCM na hivyo vyama VIKAROGOSI muelewe, sisi hatujasusia uchaguzi. Sisi tunataka Reforms ili tuwe na uchaguzi Huru na wa Haki". Bi Ashura Masoud Katibu Chadema kanda ya Kati.
 
Nrne
 
Attachments

  • FB_IMG_1755925405256.jpg
    FB_IMG_1755925405256.jpg
    57.7 KB · Views: 13
Back
Top Bottom