NRNE ni Roho na Roho huwa zinapandwa na kukumioyoni kwa watu Tatizo nikuwa CCM na serikali yake wana Akili sana yakuua hizo roho zinazo wapinnga zisiendelee kwa njia mbali kwa mfano kuisambaratisha CDM.Kuua baadhi ya watu ambao wanaona ni muhimu ktk kusukuma hizo ajenda kuwapumbaza baadhi ya wstu na vizawadi kama vibaiskeli pikipiki na vifulana kwa hiyo roho za kimapinduzi zinafubaa mwisho watu wanaona sawa tu.Tusibaki kinyonge JF ili tuje kuwa sehemu ya historia.. Mitandao mingine imeshakiwasha na kampeni inaenda vema sana...
Challenge yetu ni kufikisha replies 3000 by Jumatatu na comments zake ni
NO REFORMS NO ELECTION
N.RN.E
NoReNoE
Ama picha
Ama mchoro
Ama style yoyote ya maneno lakini ujumbe ukiwa mmoja tuu.. No reforms no election..!
Hata chawa akijaribu kuharibu uzi jibu lake liwe moja tu.. NO REFORMS NO ELECTION
Ombi kwa Moderator: tunaomba muulee na kuutunza huu uzi🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
View attachment 3359751
Kumbe huwa zinafutwa?No REFORMS no ELECTION
N.RN.E
Ngoja tuone kama na huu Uzi utafutwa kama ule wa abaki au aondoke?
NRNENo reforms no election
Uzi huu bado unatembea kwa kasi ya Mwanga wa Jua![]()