No reform no electionTusibaki kinyonge JF ili tuje kuwa sehemu ya historia.. Mitandao mingine imeshakiwasha na kampeni inaenda vema sana...
Challenge yetu ni kufikisha replies 3000 by Jumatatu na comments zake ni
NO REFORMS NO ELECTION
N.RN.E
NoReNoE
Ama picha
Ama mchoro
Ama style yoyote ya maneno lakini ujumbe ukiwa mmoja tuu.. No reforms no election..!
Hata chawa akijaribu kuharibu uzi jibu lake liwe moja tu.. NO REFORMS NO ELECTION
Ombi kwa Moderator: tunaomba muulee na kuutunza huu uzi🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
View attachment 3359751
Hii inabidi iwafikie machawa ili warejeshewe angalau ubongo zao kabla ya kutumwa kwenye upuuzi kama chawa huyu.
Ni wakati wa wote wenye vipaji kutumia vipaji vyao kulikomboa taifa.Wito wangu kwa chawa wenye vipaji msiue vipaji vyenu,msiliangamize taifa lisaidieni taifa kupata ukombozi.Abarikiwe mwenye kipaji huyu,tena katenda kwa wakati sahihi.