JF, CDM na UKRISTO | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JF, CDM na UKRISTO

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KAUMZA, Dec 25, 2010.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. K

  KAUMZA JF-Expert Member

  #1
  Dec 25, 2010
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 685
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  WanaJF, SALAAM!!
  Kwanza nianze ku-declare interest kuwa mimi ni muislam, nisiye na mpenzi na chama chochote cha siasa. Ni mpenzi wa yeyote yule anaeitakia mema Tanzania na Watanzania.

  Nianze kutoa hoja yangu kama ifuatavyo:
  Nimekuwa nikifuatilia sana ideas mbalimbali katika mtandao huu na kusema kweli mengi nimejifunza. Katika hayo mengi niliyojifunza, miongoni mwao ni kuwa wana jukwaa wengi wamekuwa wakali sana pale member yeyote anapojitokeza au kuonekana kuwa ana mapenzi na CCM, CUF au ni MUISLAM.Naomba kujulishwa: Je WAISLAM ni wanachma waalikwa katika mtandao huu?

  Mfano, katika JUKWAA LA HOJA MCHANGANYIKO, kuna thread pale inayosomeka WAISLAM KUANDAA RASIMU YA KATIBA. Baada ya kuisoma thread hiyo members karibu wote wameishambulia kama mpira wa kona.
  Inawezekana kuwa nia ya jukwaa ni nzuri kabisa ila kuna watu(members) wasio na akili wameibaka nia hiyo njema na kui-corrupt.

  Waislamu wana haki sawa kabisa ya kutoa mawazo yao kama walivyo wakristo na wasioabudu katika dini zetu hizi ambazo sisi tunaziona kuwa ni official. JAMII FORUM NI YA KWETU SOTE NA TANZANIA NI YETU SOTE. CHADEMA IPO NA ITAPITA LAKINI TANZANIA ITAENDELEA KUWEPO DAIMA DUMU MPAKA KIAMA
   
 2. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #2
  Dec 25, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Al shabab, al queda wote wako huru hapa JF. Sifa pekee ni kuwa great thinker na siyo kuja na post low kama hii

  Anyway, merry Christmas
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Dec 25, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Ungeendeleza thread nyingine za malalamiko na kulialia zipo nyingi sana ukisearch...hakuna kuamka na thread mpya kila siku!..Mtu yeyote anayelialia hapa ujue hana hoja, na yuko empty kichwani!
  JF haina namna ya kudhibiti watu wanaoingia humu...Sasa kama Waislamu hawaingi, au CCM au CUF hawaingii, thats out of JF Society knowledge...wewe ndiye wa kushangaza kwa thread ya hadhi ya chini hivi...!
  Merry Christmas!
   
 4. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #4
  Dec 25, 2010
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  MKUU
  Jf ina wenyewe bana,
  ulichokisema ni kweli kabisa na tatizo lililopo ni kuwa Jf imejaa watu wasiokubali kushaurika na kutambuwa michango ya watu wengine

  maranyingi nimekuwa nikikemea swala la udini na uchama ndani ya JF matokeo yake niliambulia matusi kwa baadhi ya wana jf na niliomba msamaha ili kuwaridhisha wenye JF YAO

  mimi nasema MSITUAMSHE TULIOLALA TUKIAMKA,HATUONI TAABU KUFA KWA AJILI YA KUPATA DHAWABU KWA ALAH,TUNAWEZA NA UWEZO TUNAO

  msema ukweliii hapendwiiii daimaaaa
  nyie wenye jf namba zangu ni 15202425864,skype acc(ibrahim.mtolera),nipo tayari kwa chochote kile ktk hii dunia

  MAPINDUZIIII DAIMAAAAAAAAAA :bump::bump:
   
 5. Mbaha

  Mbaha JF-Expert Member

  #5
  Dec 25, 2010
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 697
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Ndugu! Yoyote yule kama analeta tread yake ambayo haijatulia JF, atarajie kuwa challenged. Mimi naamini kama mtu anatoa hoja iliyosimama, there is no one can explain it away here!! Be it Muslim or Christian... CDM or CCM....
   
 6. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #6
  Dec 25, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Shida yenu MUJAHIDINNA ndio hii....kutishia kujilipua muda wowote...
  Sasa kilichokufanya ufikie hatua ya kutoa namba zako ninini haswa?
  Akili Matope?
   
 7. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #7
  Dec 25, 2010
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,639
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Mkuu hapo una maana gani?
   
 8. K

  KERENG'ENDE JF-Expert Member

  #8
  Dec 25, 2010
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 398
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kwanini mnauabisha uislamu kwa kutoa hoja zisizo na mashiko kiasi hiki?

  Marry chrismas.......
   
 9. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #9
  Dec 25, 2010
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  nashukuru mkuu,mungu akubaliki kwa yote uliyejaaliwa nayo

  mapinduziiiii daimaaaaa
   
 10. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #10
  Dec 25, 2010
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,639
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Umehusu Zenj weye?
   
 11. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #11
  Dec 25, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Sasa ndugu kwani lazima watu wachukue ushauri wako????, si kama hawataki ni haki yao au kuna ulazima wa kuwa na fikra kama zako??????

  This is a free Country watu should AGREE TO DISAGREE...... PEACEFULLY...., SASA NAOMBA UNIAMBIE KWA HII POST YAKO KAMA UMEJENGA AU UMEBOMOA.... I dont know you lakini based on this comment of yours how do you think people will regard you.... If i were you hiyo post yako ningeifuta i think umeandika ukiwa na hasira and you dont mean your words...
   
 12. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #12
  Dec 25, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Bwe he he he..

  Sasa unataka kumlipua nani ustazi? Hebu tupe siri ya urembo wako.
   
 13. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #13
  Dec 25, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Majuzi tu hapa alikuwa anaimba 'Peoples Power' ..injinia wa udom huyu bila shaka. Kwi kwi kwi.
   
 14. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #14
  Dec 25, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Sa'sawa.
   
 15. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #15
  Dec 25, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Labda kwa kuwasidia tu wale wanaodhani JF ni wakristu, kuna forums za wajahidina na al Qaeda kibao tu mnaeza kujiunga, anayetaka kwenda ani-PM nimuelekeze. Hamna haja ya kubakia kwa makafiri JF. lol
   
 16. K

  KERENG'ENDE JF-Expert Member

  #16
  Dec 25, 2010
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 398
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Tuache kuabudu majungu tufanye kazi.........Hoja zenu sikuzote zina pingwa kwasababu hazina mashiko kazi kubwa ni kulalamika na kutisia kujilipua mkidai eti JIHAD.......Acheni vipawo mbele visivyo na maslahi kwa jamii, badilikeni jamani mtalialia mpaka lini na hatua hamchukui......Kunamwingine anajiita malalia sugu aliwahi kulalamika eti kwa nini wakristo wana vyou vikuu 15 wakati waislamu wana chuo kikuu kimoja akidiliki kusema kwasababu ya udini.....Hebua angalia lawama kama hizi sikujitia aibu huko? badilikeni jamani tuta ogopa kuoleana kwa kuogopa kuchanganya akili za namna hii....
   
 17. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #17
  Dec 25, 2010
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  ucjari mkuu,sina maana hiyo uliyonayo,lengo ni kuwasiliana na wana jf wale wenye nia njema kama wapo
  nilijuwa tu kuwa nitakacho towa lazima kishambuliwe kwani lipo kinyume na matakwa ya wenye JF

  NAWATAKIA CHRISTMAS NJEMAAAAAA

  MAPINDUZIIIIII DAIMAAAAAAA
   
 18. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #18
  Dec 25, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Kuwa sirias kijana. mkubwa wewe.
   
 19. Muacici

  Muacici JF-Expert Member

  #19
  Dec 25, 2010
  Joined: Aug 11, 2008
  Messages: 208
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Mkuu mimi ninaloliona ambalo wengi mnaolalamika bado hamjaliona ni kwamba unapaswa ujue kuwa asilimia kubwa ya wana JF ni wakristo wenye hoja za nguvu na ndio maana ukileta mada ya dini tofauti unaona kama unashambuliwa. Ingekuwa kuna waislamu wengi hapa JF ungeona nao wangejitokeza zaidi kuchangia hoja na huenda kuongoza hoja. Hapo kwenye RED mkuu kunaonyesha ni jinsi gani unawza tofauti na mkiristo huwezi kuona mkristo atakayesema maneno kama hayo. Na hilo ndilo linaloleta shaka katika dini ya kiislamu. Haya mambo ya kufa kwa ajili ya Alah yanautata sana hilo fundisho la kuua wengine ni dhambi kubwa.

  Mimi ushauri wangu ni kwamba ukiona unakerwa sana na hoja mbalimbali hapa JF ni bora ujitoe kuliko kufikia kujitoa roho au kutoa wengine roho. That's insane!!!
   
 20. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #20
  Dec 25, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Sasa uliposema upo tayari kwa lolote ulikuwa na maana gani? ati thawabu kwa allah..u sound silly, hysterical and idiotic.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...