Kusema JF ina
wenyewe, hizi ni inferiority complex, JF ni
Jamvi la JAMII yote yenye uzalendo na kuumwa na umasikini wa wanadamu na kukerwa na waonevu ya dunia hii! Bila kujali dini, itikadi za kichama, jinsia, rangi, kabila, taifa, wala ubaguzi wa aina yeyote ile! Tabu inakuja pale mtu anapotanguliza aina fulani ya upendeleo kwa namna fulani ili kushambilia kundi jingine kwa vigezo vya kutetea ubaguzi wake, hapo ndipo anapo kutana na mabango ya wanaJF kisha anaanza kulalamika!
Statement zingine mtu akizisema na kujipambanua YEYE MWENYEWE kuwa
"mimi nasema MSITUAMSHE TULIOLALA TUKIAMKA,HATUONI TAABU KUFA KWA AJILI YA KUPATA DHAWABU KWA ALAH,TUNAWEZA NA UWEZO TUNAO" Great Thinkers wanajuwa moja kwa moja huyu aliyesema hivi ni mtu wa namna gani, itikadi yake ni ipi, dini yake ni ipi, msimamo wake na uelewa wake ni upi katika masuala mbalimbali, hana haja ya kujitambulisha kwa namba, jina lake halisi wala mawasiliano yake! Siyo kwamba Great Thinkers ni wana psychology wazuri-hapana-there are THINKING BROADLY!
Na kama statement hiyo ingetamkwa na mtu mmoja kuwambia waislamu misimamo yao kwa
"makafri" (watu wasio waislamu), nadhani na waislamu wangekuja juu na kumtangazia
"Fatwa" mtu huyo!
Namwabia Alhadji Hon. Eng. Mtotela wapende hata adui zako, na waombee kwa Allah ili awageuze mioyo yao imuelekee yeye na awafanye upendavyo wewe! Usijitoe muhanga kwani MUNGU ndo mweza wa yote, ila kama Allah HAWEZI na HANA UWEZO wa kutumia uwezo wake mkuu, kukabadilisha mawazo kamtu kadogo kwa kwenye JF, basi msaidie maana yeye atakuwa ameshindwa na ukifika huko-utapata hiyo thawabu ikiwemo mademu wenye macho kama vikombe!
MUACHENI MUNGU MWENYE UWEZO MKUU, SIYE SHINDWA NA CHOCHOTE AFANYE KAZI YAKE YA KUHUKUMU KILA MTU KULINGANA NA MATENDO YAKE, SIYO KUMSAIDIA