JF, CDM na UKRISTO

Status
Not open for further replies.
MKUU
Jf ina wenyewe bana,
ulichokisema ni kweli kabisa na tatizo lililopo ni kuwa Jf imejaa watu wasiokubali kushaurika na kutambuwa michango ya watu wengine

maranyingi nimekuwa nikikemea swala la udini na uchama ndani ya JF matokeo yake niliambulia matusi kwa baadhi ya wana jf na niliomba msamaha ili kuwaridhisha wenye JF YAO

mimi nasema MSITUAMSHE TULIOLALA TUKIAMKA,HATUONI TAABU KUFA KWA AJILI YA KUPATA DHAWABU KWA ALAH,TUNAWEZA NA UWEZO TUNAO

msema ukweliii hapendwiiii daimaaaa
nyie wenye jf namba zangu ni 15202425864,skype acc(ibrahim.mtolera),nipo tayari kwa chochote kile ktk hii dunia

MAPINDUZIIII DAIMAAAAAAAAAA :bump::bump:

Badala ya kupambana na maisha yanayokusumbua unaleta pumba zako JF, upambane na nani? Ndio maana kila siku tunawaambia mna vichwa vyeupe hatuwaonei, badala ya kuunda hoja ya maana unaleta ushari wako hapa. Ushindwe na Utalibani wako....
 
yah,kama waona nimetumia maneno maneno yenye madhara kwa wana JF ok waweza ondoa,ila kama nilichokitowa ni sawa na kiswahili fasaha kisichokuwa na madhara kwa wana JF ok kiache bana

ila mkuu hata wewe wajuwa ukweli kuna bwana anaitwa Dsm amekuwa akishambuliwa sana pindi aletapo threads za namna hiii
sijui ni kwa nini?

mapinduziiii daimaaaaaa

Alhadji Hon. Eng. Mtotela! Hivi umekosa wa kumtolea mfano mpaka unamtolea DSM? Wapo waislamu humu wanaojua wanachangia hoja husika bila kuchomeka mambo ya kidini, wanachangia vizuri tu. Tatizo la DSM akichangia kitu mpaka achomeke na mambo ya kidini unnecessary hata kama hoja yenyewe haina harufu ya kidini! Hapo ndipo wana JF wanapo mchangamkia kwa ama kumshangaa uwezo wake wa kufikiri au kumrudisha kwenye hoja husika na pengine kama hasikii wanam-brast kisha analalamika wana mbagua kwa dini yake!
 
Acheni udini(ukristo katika mambo ya msingi). Mauaji ya Rwanda, makanisa yalishiriki sana katika mauaji hayo. Mmeona haitoshi, mnataka kuleta Tanzani. Hata Uganda Joseph Kony anaua kwa kutumia biblia na eti ni mtetezi wa amri kumi za mungu. Na ya Kibwetere je? Mmeyasahau??
 
kAUMZA AMEDECLARE SAWA NA MWINGINE ALIYENZISHA THREAD KAMA HII AMBAZO ZINAFANANA

HAYA BANA... UENI TU JF
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom