Exaud J. Makyao
JF-Expert Member
- Nov 30, 2008
- 1,518
- 25
Exaud
Niaonavyo mie ni kuwa maudhui/malengo ya JF ni tofauti kabisa na FB.
Upo FB, wanafanya nini kule?
Kwa muda mfupi nilioshiriki hapa JF, nimeona kama hapa ni pazuri kuliko kwenye FACEBOOK.
Hapa JF, mada huchambuliwa kwa umakini mkubwa.
Taarifa muhimu hupatikana kwa haraka sana.
Members wana takwimu za kila aina.
Hapa JF hapajakaa kihuni huni.
Members wa JF, wanatunza heshima zao.
Sasa nitaanza kuwajibika kuiendeleza forum hii.
BIG UP waanzilishi wa JF.
Kwny rangi: nani kakumbia hakuna uhuni hapa?Kwa muda mfupi nilioshiriki hapa JF, nimeona kama hapa ni pazuri kuliko kwenye FACEBOOK.
Hapa JF, mada huchambuliwa kwa umakini mkubwa.
Taarifa muhimu hupatikana kwa haraka sana.
Members wana takwimu za kila aina.
Hapa JF hapajakaa kihuni huni.
Members wa JF, wanatunza heshima zao.
Sasa nitaanza kuwajibika kuiendeleza forum hii.
BIG UP waanzilishi wa JF.
[/I][/B]
Karibu mkuu wala hujachelewa. Usije tu kuwajibishwa kwa kutokuwajibika kuiendeleza!
Mkuu hiyo ni ahadi, na ahadi ni deni! Si unajua kuna kuwajibika kwa hali na mali?Mkuu,
Kumbe kuna kuwajibishwa?
Nipe dondoo za KUZINGATIA nisije nikawakosa akina KYACHAKICHE.
[/I][/B]
Karibu mkuu wala hujachelewa. Usije tu kuwajibishwa kwa kutokuwajibika kuiendeleza!
Mkuu jina lako limenivutia sana KYACHAKICHE! ungekuwa mchezaji 'one day' mtangazaji angekata ulimi,.... kama ndiyo unakata chenga na mtangazaji anakutaja mfululizo!! Kyachakiche, Kyachakiche,Kyachakiche,Kyachakiche.....x10!
Lakini safi sana mkuu! hongera, napenda sana majina ya kiafrika.
FB ni mambo hadharani..huwezi kujificha nyuma ya keyboard na kuanza kurusha mawe.
FB inakuunganisha na ndugu, jamaa na marafiki..mnaheshimiana kwa kwenda mbele, JF unaweza kujikuta unamtukana hata baba yako mzazi! ( Unaweza kuokota laana)
FB ni mambo hadharani.. ................................... JF unaweza kujikuta unamtukana hata baba yako mzazi! ( Unaweza kuokota laana)
WOS,
Mbona naanza kuogopa tena hapa JF kama ni hivyo?
Kumbe kuna matusi hapa?
Eheee.
Naungana na wote kuwa hapa JF kuna michango yenye mashiko kwa jamii nzima. Ninawapongea wachangiaji wote wa JF (namanisha wale wa HALI na MALI) wanaoiwezesha forum hii kusonga mbele na kuwa na maana yenye MAANA kwa tanzania na jamii nzima
.