Jf bhana!

Mtu akitukana unamuweka tu ignore list mambo yasiwe mengi kuanzia hapo hauto ona Tena kile atakacho andika humu vijana wakishaoga maji yao ya chumvi wanavurugwa akili
 
Like za nini sasa kwenye mawazo yako mkuu? Wanawake mnadeal na vitu visivyo na maana kabisa.
Kuna sisi hta hatujui hiyo like yake inanisadia nini mimi muhimu uni quote hapo sawa nitajua mawazo yangu umeyapenda au hayajanipenda utajua atajua mwenyewe
Elewa concepts yangu.Asante
 
Ukiacha hili mkuu pia hizi id's za kike wengi wao always wanatarajia ile speed waliyoingia nayo humu ya kukubalika basi ibaki vilevile bila kujua kuwa wengi humu niwaigizaji wazuri tu wa maisha ya kifahari na kujifanya wao na safari za ulaya ni kufumba na kufumbua na dada zetu wakisikia maisha mazuri huo ndio ugonjwa wao
Shida inakuja wakishaujua ukweli tayari wanakuwq wameshaachwa uchi ndio vilio km hivi vinaanza
 
To be honest Sio sawa ila ndio binadamu na inabidi uwazoee.
Hatuwezi kukaa bila kusumbuliwa hii ndio dunia toyeye
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…