Usijali, mimi ni babu. kazi yangu kubwa ni kukagua wajukuu wa kike. Nashangaa sijaona file lako la ukaguzi. Hii inamaanisha Kaizer ameisigina rasimu ya katiba.
hahaha hommie Asprin unapitwa na mengi. DEMBA ni mali halali ya mwenyekiti hadi tunapoongea, hebu pitia pitia. Ila ukaguzi utafanywa ile ya utaratibu tu..mengine yote file limefungwa jumla
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.