JF BBM Chitchat

JF BBM Chitchat

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,140
Salute Wakuu,
I have created this bbm group for members of Jf with bbm to chat, interact and have fun (clean chats). So pm your pin and I will add you instantly. Let's get started.
 
watu wabunifu sana, mnataka pin sasa sisi wenye Sindano mnatufikiriaje hapo..??
 
Mara BBM, mara WatsApp....
Bado Instagram.

Haya kazi kwenu wana digitali.
 
watu wabunifu sana, mnataka pin sasa sisi wenye Sindano mnatufikiriaje hapo..??

Kama ingekua ni kutaka pin mkuu nisingekua nafanya deletion ya contacts after every few weeks, socialization nothing personal.
 
ntaitoa wapi mwanakwetu@Kiwatengu namiliki kamchina tu Kaizer kam this wei kuna ushauri unaokuhusu, maana nikisema mimi utasema I'm a gold digger

ngoja aje!!
 
Last edited by a moderator:
ntaitoa wapi mwanakwetu@Kiwatengu namiliki kamchina tu Kaizer kam this wei kuna ushauri unaokuhusu, maana nikisema mimi utasema I'm a gold digger

mbona unajistukia tena DEMBA.....enhe issue ni nini?
 
Last edited by a moderator:
ishu ni kwamba huyu donlucchese anataka watu wenye sijui blacberry awa add kwen jf bbm chit chat, sasa kiwatengu ana suggest uninunulie nami niadiwe

hahahaa unadhani na mimi naweza kukuruhusu uingie huko licha ywa kwamba BB ni simu sio saizi yako DEMBA.....ebu wakuwache......
 
Last edited by a moderator:
wewe mbona kama unashangilia mie kunyimwa kununuliwa berry nyeusi na huby Kaizer? je una maslahi na hili?

Hahah hamna DEMBA nimekumbuka kituko kimoja ikabidi nicheke. Siku moja tukiwa eneo fulani hivi la kujidai akaingia jamaa mmoja mhaya si unajua tena mbwembwe zao? Akaanza kuuliza kila mmoja kabila, ukijibu we mhaya anamwambia mhudumu 'mupe' ukijibu kabila jingine anamwambia 'muruke' baasi ikawa ni mupe mupe muruke.
 
mbona nahisi kama kuna uhusiano na hili langu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom