LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,498
- 3,390
ahsante zako nyingi kwa kuja kunipokea na kunisindikiza bila kujali mvua copy: Filipo Lily Flower Mzee wa Rula Kaizer PakaJimmy
Mzee wa LOJISTIKI na LOJING. Nicas Mtei yani Arushaone ni balaa...
dah! PakaJimmy, na ARUshone you are good people ever.........
huwaga najiuliza watu wa aina yenu bado wpo hapa dunian kweli?? naupenda moyo wenu wa mapenzi mema mema kwa wenzenu na zaid ya yote napenda sana ushirikiano wenu.
i owe you zawadi kwa kweli.
Babu Dark City wewe mie sisemi sana ila tu naomba umwambie Arabela kwamba nampenda sana na nampend zaid kwa moyo wake wa kujitolea. wewe babu salam zako nitazituma kwenye barua nyingine nitakayoituma.
There were NO such a thing! Do not be judgemental wakati kinachoongelewa hukijui. Unless you were joacking.
Kuropoka ni kipaji pia kumbe? Je kipaji hcho kimekusaidia nini?
Kusema kweli hata mm nimemshangaa. Amenikwaza pia. Mimi ndiye niliyekuwa host, na hakuna such a thing, watu walikuja msibani afu analeta habari zake za kijinga. Nicas Mtei anahitaji maombi huyu.
Mzee wa Rula hakika ujio wenu umekuwa baraka katika familia yetu. Yaani haipiti saa hatujawaongelea. Mmetufundisha mengi ya kujenga. Pia tunafurah kusikia kidogo tulichoandaa mlikipenda. Mungu awabariki sana.TUNAWAPENDA SANA.
Hata mimi nampongeza sana..Ana upendo wa AGAPE!
Jamani yote hii ni katika kuonyesha upendo uliopo ndani ya JF ni tofauti sana na mitandao mingine, na tutazidi kutofautisha mtandao huu na mingine mpaka Mungu atakapotuchukua iwe kwa raha na shida hivyo dada yangu KOKUTONA usiogope.
Dark City
Hakika tu pamoja mwanzo mwisho,Ndg siyo wa kuzaliwa ila kufaana Ndg zanguni! Ni hakika mambo yaliingiliana kwani mngetuona Arusha wing wote hapo Tanga ila kwa kuwa ndiyo hivyo hakika waliofika wamefika kwa niaba ya sisi Wana A town wing.
Pamoja sana na salaam sana CHUAKACHARA popote pale alipo!
Ndio iliyobaki tu hasa kwa wale wasiojua kesho wafanye nn???
Arusha na Tanga 'wings' mpo organized sana. You deserve a vote of thanks from everybody.
Ahsante sana mkuu,
Mie sina hata la kusema. Ukizingatia hali hii ungumu ya ukwere (ukapa au ukata wa awamu ya 4) na vitu ambavyo watu wanajitolea kufanya, utaona kuwa nguvu inayasokuma (naamini ni upendo wa hali ya juu) ni kubwa kuliko maelezo.
Ishallah tutakutana Narok Ijumaa...
cc: PakaJimmy, gfsonwin, Mzee wa Rula, Filipo, Lily Flower, Blaki Womani, marejesho, Kaizer, CHUAKACHARA, Arabela, KOKUTONA, Arushaone...