JF Arusha; Beyond keyboards......!!!!

Walioikosa hii wasikate tamaa. Hapo tulikutana kwasababu ya wageni. Tutakutana mwisho wa mwezi kama kawaida yetu. Nadhani Mzee wa Rula atafix date ataiweka hewani. Asiyekuwa na mawasiliano ya kutupata anaweza kum PM Mzee wa Rula au Pakajimmy
 
HTML:
Wewe nilikusifia bure kuwa una kumbukumbu nzuri, kumbe ile nanihii uliyokuwa umeilaza mezani ilikubangua kichwa sana!
Hivi umesahau kuwa huyo nanihiino alisema kuwa yeye ni shemegi yangu, na atapenda sana tukiitana hivyo?

Yes nakumbuka sana, kumbuka kuzima taa.
 
MYSOUL.......naomba uingie jukwaani tafadhali.....nakuona
 

Karibu tena na tena hapo juu kwenye Maruni mweka hazina wa vikao vyote vya harusi taken already by Lily flower, ha ha ha ha
 
Mwita maranya pole sana kwa safari,pia pole sana kwa baridi ya A town
vipi ulifika dar salaama?
 
Nimekumis pia,Jamani my shem, mzima lakini,
mwambie my d' nimemmiss sana
 
safari hii ni lazima mje usalule ninyi arusha branch....

mnataka MTAKUJA
hamtaki MTAKUJA TU.....!

kudadadadeki!

aafu we sahara-voice unanitafuta eeh??!...achana na loner aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…