Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,988
- Thread starter
-
- #21
Safi sana wakuu........nadhani mwita unajua kilichonikimbiza mapema......kina Kimei hii sharing is caring wanaiandika kwenye kibodi tu ukiwakuta anga zao balaa!
Nimefurahi kufahamu kuwa Loner ni jinsia ys she. Nimefurahi sana. Sana toka moyoni....Nikipata nauli natia timu Arusha!Mchungaji sasa unaonekana mbabaishaji, wewe si tulikukabidhi loner na kukutaka umfikishe chumbani kwake??
Au kazi ya utumishi inaanza kukushinda?
Kaizer ni mwanachama hai wa JF Makao Makuu......... JJ pa Ukwee'''
Mkuu niandalie mbuzi choma pale kwa mromboo......
Una uhakika gani kama hawako Facebook pia?........ mawivu mengine bana...LOLNadhani mngehamia FaceBook pangewafaa sana. Ili muweke na picha zenu kwa uhuru zaidi.
Ni Mtizamo tu.
Nimefurahi kufahamu kuwa Loner ni jinsia ys she. Nimefurahi sana. Sana toka moyoni....Nikipata nauli natia timu Arusha!
Aisee kuna baa moja ilikuwa inaitwa Picnic....... bado iko hewani? Mara ya mwisho nlipiga trupa ya kufa mtu hapo na beer za kutosha nikajikuta nachukua room mchana kweupee!Achana na kwa mromboo
Mambo iko lenana siku hizi!!
Kwani kabla ya kufahamu ulikuwa umenuna?? kisa??
Babu unazeeka vibaya wajukuu watakukimbia hivi punde!!
"The most important thing a Babu can do for his Wajukuuz is to love them"....... ODM
Aisee kuna baa moja ilikuwa inaitwa Picnic....... bado iko hewani? Mara ya mwisho nlipiga trupa ya kufa mtu hapo na beer za kutosha nikajikuta nachukua room mchana kweupee!
Nimefurahi kufahamu kuwa Loner ni jinsia ys she. Nimefurahi sana. Sana toka moyoni....Nikipata nauli natia timu Arusha!
Oupssss SorryNitake radhi.
Hivi ulifika salama? maana ilikuwa usiku sana.
halafu nieleze gear niliyokutia.
umenisahau mzee ina maana hukuniona jana ???
NIlifika salama lakini Sahara voice ushauri ulio kuwa unawapa kondoo wako umenitisha sana, na ndiyo maana nika konclude wewe unagia nyingi..
Hiyo Lukuki yaweza kuwa miwili?Loner usiwe na wasiwasi na sahara,
ushauri anaoutoa ni uzoefu wake na ndio umemfikisha kwenye jubilee ya miaka lukukii katika ndoa!!
ungekuwa ushauri mbaya sasahivi hangekuwa na jeuri hiyo hata kidogo.
NIlifika salama lakini Sahara voice ushauri ulio kuwa unawapa kondoo wako umenitisha sana, na ndiyo maana nika konclude wewe unagia nyingi..
Hiyo Lukuki yaweza kuwa miwili?
Hiyo Lukuki yaweza kuwa miwili?
Mchungaji saharavoice atajibu mwenyewe, ingawa kiswahili hakikubali miwili kuwa lukuki!!