Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 20,712
- 45,090
Ikiwa imebaki miezi kadhaa kabla ya Kombe la Dunia la mwaka huu pale nchini Qatar tayari timu shiriki zimeanza kuachia jezi zao. Tuone timu zipi zina jezi kali.
Hii ya mexco unatokea wkend kabisa