Jews ndio Waanzilishi wa Social Network Zote.Je Watanzania Wasomi Wa Computer mnaweza

Josh Michael

JF-Expert Member
Jun 12, 2009
2,523
77
Kwa Hakika Mungu amewapa Kitu cha Ziada Watu wenye asili ya Jews maana ukijaribu kutazama Waanzilishi wakubwa wa Social Network yote ni Jews People hata asili yao, Jaribu kutazama facebook,Myspace,Youtube, hat wikipedia pia utaona mchango wa wa Jews People,
 
Kwa Hakika Mungu amewapa Kitu cha Ziada Watu wenye asili ya Jews maana ukijaribu kutazama Waanzilishi wakubwa wa Social Network yote ni Jews People hata asili yao, Jaribu kutazama facebook,Myspace,Youtube, hat wikipedia pia utaona mchango wa wa Jews People,
Founder wa Google

1 Larry Page was born into a non-practicing [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Jewish"]Jewish[/ame] family in Lansing, Michigan.
Founder wa Facebook

2 Zuckerberg both being Jewish

3 Hata ukijaribu kutazama kutazama katika masuala ya anga utaona watu hawa wana asili ya ugunduzi mkubwa sana
Je Sisi Watanzania tunaweza kufanya haya mambo ambayo Vijana hawa wanayafanya na kunufaisha ulimwengu wote, Je vyuo vyetu vinaweza kuwafanya wanafunzi kufanya katika ugunduzi mkubwa wa kisanyasi katika kusoma kwao??
 
hawa jamaa kweli noma. ila wameshindwa kutumia brain zao kali kumaliza umwagaji damu kat yao na waarabu/wapalestina
 
Ni kweli Kabisa lakini Tazama, Michango yao katika field za medicals pia ni kubwa sana, tunathamini sana michango ya JF na michango mingine waliyotoa
 
Mkuu kwani JF ni kitu gani? Si aina mojawapo social networking.

Max na Farida hawakuvumbua internet. Cha muhimu hapa ni internet. Bila hiyo kusingekuwepo na hii site. Kwa hiyo utaona hata kwenye hili tutarudi kule kule kwa Miafrika. Very depressing indeed.
 
Mkuu unamuelewa aliye anzisha ringtone nikikwambia ni kijana mmoja mwenye asili ya Kinigeria anaeishi england utakubali ?na wala si mjusi
 
acheni kuwafagilia washenzi walolaaniwa na mungu hawana lolote wanalo lijua kazi yao majuishi ni fitna na dhulma tu hawana jengine
 
Hawa watu wana akili sana kweli Mungu aliwapendelea .Marekani wanawatumia kwenye mambo ya ubunifu na uchunguzi.Na kwa vile wanajijua wana akili na historia ya ubabe waliyonayo toka enzi za king David ndio inapelekea mwendelezo wa vita.
 
..hili lazima litakuwa talebani tuu!
Kwi kwi kwi, Koba unataka kusema pengine hivi tuongeavyo kesha jilipua?
Tukiweka chuki na tofauti za kiitikadi pembeni, lazima tukubali kuwa hawa jamaa wako juu katika mambo kadhaa.
 
Mkuu kwani JF ni kitu gani? Si aina mojawapo social networking.
Ukitaka kuchunguza vitu vingi sisi waafrika tunaiga vilivyoanzishwa na wenzetu, huwa hatuanzishi vipya ili Marekani au Korea watuige.Hawa ma Jew wana sifa ya ugunduzi.Naweza kusema hatu-invest akili zetu na rasilimali tulizonazo kwenye mambo ya Innovation, R & D.
Hata kwenye biashara ni hivyohivyo.mtu mmoja akianza kupika maandazi na akauza sana ,basi jirani zake kumi kesho nao watapika maandazi kama yaleyale.
 
Ushatanguliza "Mungu amewapa kitu cha ziada" ila hujakitaja hicho kitu halafu baada ya kuwasifia kutokana na huko "kujaliwa kitu cha ziada" unauliza je na sisi tunaweza? Tunaweza nini? Kumzidi Mungu? Maana kwa madai yako wamejaliwa kitu cha ziada na Mungu so according to your convoluted logic it is basically a waste of time kujilinganisha nao...sasa what exactly is your point?

Acha uvivu wa kufikiri na kulalamika bila sababu za msingi, utasemaje kuhusu Wajapani, Wajerumani, Waingereza, wa-Malaysia, wa-Singapore na hata jirani zetu hapo Rwanda nao "wamejaliwa kitu cha ziada"?
Hizi excuses zingine bana zinatia hasira...
 
Ushatanguliza "Mungu amewapa kitu cha ziada" ila hujakitaja hicho kitu halafu baada ya kuwasifia kutokana na huko "kujaliwa kitu cha ziada" unauliza je na sisi tunaweza? Tunaweza nini? Kumzidi Mungu? Maana kwa madai yako wamejaliwa kitu cha ziada na Mungu so according to you convoluted logic it is basically a waste of time kujilinganisha nao...sasa what exactly is your point?

Kuna kitu kimoja katika maisha kuwa aliyenacho huwa anaongezewa.Inawezeka tusiwafikie walipo kwa ajili ya kale kaziada walikotangulia kupewa toka muda mrefu ,lakini tunaweza kuwakaribia sana tu walipo.sidhani kama kinachowasaidia ni ile ziada waliyopewa na Mungu tu,bali hawajabweteka katika kufikiri na vilevile wana juhudi na maarifa.Inawezekana sisi wa TZ tuna juhudi ndio lakini si maarifa.Hatujachelewa bado kwa vile nijuavyo mimi nyakati hizi Mungu ameruhusu hicho kitu cha ziada pia kwa watu wote duniani.Ni kujipanga sawasawa tutafika.
 
Mdau Babylon usijidai humwelewi MkamaP anamaanisha toa ushahidi kuwa huyo Mnigeria alivumbua programu ya kutengeneza ringtone sasa mbona unajikanyaga kanyaga?Fafanua ni vipi huyo Mnigeria ni nani na alifanyaje huko England.
 
Je, na hawa hapa chini hawajajaliwa kitu cha ziada na Jalia au nao wana damu ya Kiyahudi?

This is a A-Z list of popular Black inventors that we have more extensive information on: biographies, images, timelines, and other media. The Black Inventors Patent Holders List contains many more names, however, a biography may or may not be available. for further research we suggest using our Black History Month landing page.

http://inventors.about.com/od/blackinventors/a/black_inventors.htm

http://inventors.about.com/od/blackinventors/a/Black_History.htm
 
Huo ujuzi na utaalam wa kujua hayo mambo wameutoa wapi?Hawa Jamaa ni Jews lakini Wamezaliwa wapi na wanaishi wapi na wamesoma wapi na wakati wanaanzisha hizi sites walikuwa wapi?Naamini majibu mengi yatakuwa ni"USA".Ikumbukwe kuna huyu Ramu Yalamanchi wa Hi5 pia.
Maana hata kina Jerry Yang na Sergey Brin ingawaje hawakuanzisha Social Networking lkn walianzisha mitandao Mikubwa to ever happend on the planet.Naamini vitendea kazi na mazingira mazuri ya kimaisha na kielimu ni kigezo kikubwa sana katika nyanja kama hizi.Maana hao co-founders wa Facebook,Myspace,Youtube,Hi5,Google,Yahoo nk wengi si Wamarekani lkn wanaishi au wanasoma USA tena katika Universities za Maana.
 
Back
Top Bottom