Jews ndio Waanzilishi wa Social Network Zote.Je Watanzania Wasomi Wa Computer mnaweza

Uliangalia Operation Entebe jamaa wako juu, maana ni miaka mingi sana lakini walifanya kweli kiutu uzima kwanza kabisa nilikubaliana na mapailot wao they was trained coz the land blindly on land of Entebe pia kwenye red sea walipita mita chache sana kutoka kwenye maji ili Rada za maadui zisiwaone na ndivyo ilivyokuwa maana nchi yao imezungukwa na maadaui.
Wanakitu cha ziada hawa jamaa.
 
Kwa Hakika Mungu amewapa Kitu cha Ziada Watu wenye asili ya Jews maana ukijaribu kutazama Waanzilishi wakubwa wa Social Network yote ni Jews People hata asili yao, Jaribu kutazama facebook,Myspace,Youtube, hat wikipedia pia utaona mchango wa wa Jews People,
Is their Jews due to their intelligence, knowledge and academic studies or other factors?
Coz Most Scientists are Atheists.
Kama ingekua Mungu aliwapa kitu cha ziada basi kawapa cha ziada watu wasiomsujudia.
Angalia katika hio list utaona watu kibao ambao wala hawataki kulisikia neno mungu.
 
Nilazima ieleweke kuwa Wayahudi wana desturi ya kuamini
elimu ya mwanzo (early education), kwa miaka mingi wamekuwa
wakiwafundisha watoto wao kusoma wakati bado wadogo sana.

Hii elimu ya awali sio ya mzazi kumsomea mtoto kitabu, bali mtoto
mwenyewe kujifunza kusoma wakati ana miaka mitatu. Hii imekuwa
desturi yao miaka nenda rudi.

Wao hawaamini kwamba mtoto ataelimwishwa pale atakapo kwenda
shule, ndio maana wazazi wa kiyahudi huwafundisha watoto wao
nyumbani kabla hata hawajenda vidudu.

Hii desturi ina "stimulate" ubongo wa mtoto wakati seli zake zina
tengenezwa kwa wingi ( umri katiya 0-3).Sasa mtoto anapo kuwa
mkubwa na kwenda shule, teyari anakuwa na uwezo mkubwa sana
wa kufikiri.

Sergey Brin kwa mfano alikuwa anafundishwa na Baba yake hisabati
wakati mdogo na kumuwezsha kuwa honor student. Tabia hii ya
mzazi kumfundisha mwanae hatunayo sisi wabongo. Unakuta mzazi
alikuwa mzuri kimasomo lakini wala hana hata habari ya kumsaidia
mwanae kujumlisha.

Tuache utani bwana hakuna mwalimu kama mzazi/mlezi kwasababu
watoto wana trust kubwa sana kwao kuliko kwa walimu wao.

Hii ndio sababu wayahudi kuwa na akili, sio kwasababu wamejaaliwa
tuu bali kwasababu wanahiyo desturi ya kuwafundisha watoto wao
kusoma kabla hata ya kufikisha miaka mitatu.
 
kwa hakika mungu amewapa kitu cha ziada watu wenye asili ya jews maana ukijaribu kutazama waanzilishi wakubwa wa social network yote ni jews people hata asili yao, jaribu kutazama facebook,myspace,youtube, hat wikipedia pia utaona mchango wa wa jews people,
founder wa google

1 larry page was born into a non-practicing [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/jewish"]jewish[/ame] family in lansing, michigan.
Founder wa facebook

2 zuckerberg both being jewish

3 hata ukijaribu kutazama kutazama katika masuala ya anga utaona watu hawa wana asili ya ugunduzi mkubwa sana
je sisi watanzania tunaweza kufanya haya mambo ambayo vijana hawa wanayafanya na kunufaisha ulimwengu wote, je vyuo vyetu vinaweza kuwafanya wanafunzi kufanya katika ugunduzi mkubwa wa kisanyasi katika kusoma kwao??

kuna dogo ni under 16 ametemgeneza application ambayo itasaidia kupata news toka vyanzo mbalimbali vya habari wkwt ukiendelea kutumia simu yako. Watalaam wanawajua madogo hao
 
Is their Jews due to their intelligence, knowledge and academic studies or other factors?
Coz Most Scientists are Atheists.
Kama ingekua Mungu aliwapa kitu cha ziada basi kawapa cha ziada watu wasiomsujudia.
Angalia katika hio list utaona watu kibao ambao wala hawataki kulisikia neno mungu.
yeye mungu aliwapa upenyo kuwa hata wasipomuabudu wanastay blessed.
 
Hawa jamaa wanamiliki media zote kubwa na kila mtu ambae yuko successfull wana mpaint as a jew.
 
acheni kuwafagilia washenzi walolaaniwa na mungu hawana lolote wanalo lijua kazi yao majuishi ni fitna na dhulma tu hawana jengine

Hawa jamaa Mungu aliweka nao agano ambalo hatalivunja kwa sababu yeye si kigeugeu. Hebu pitia hapa kidogo.
Mambo ya Walawi
26.14 Lakini msiponisikiza, wala hamtaki kuyafanya maagizo hayo yote; 26.15 nanyi mkizikataa amri zangu, na roho yenu ikichukia hukumu zangu, hata ikawa hamtaki kuyafanya maagizo yangu yote, bali mwalivunja agano langu; 26.16 mimi nami nitawatenda jambo hili; nitaamrisha uje juu yenu utisho, hata kifua kikuu na homa, zitakazoharibu macho yenu, na kuidhoofisha roho; nanyi mtapanda mbegu yenu bure, kwa kuwa adui zenu wataila. 26.17 Nami nitauelekeza uso wangu kinyume chenu, nanyi mtapigwa mbele ya adui zenu; hao wawachukiao watatawala juu yenu; nanyi mtakimbia wakati ambao hapana awafukuzaye. 26.18 Tena ikiwa baada ya hayo hamtaki kunisikiza, ndipo nitawaadhibu zaidi mara saba kwa ajili ya dhambi zenu. 26.19 Nami nitakivunja kiburi cha uwezo wenu; nami nitazifanya mbingu zenu kuwa kama chuma, na nchi yenu kuwa kama shaba; 26.20 na nguvu zenu mtazitumia bure; kwa kuwa nchi yenu haitazaa mazao yake, wala miti ya nchi haitazaa matunda yake. 26.21 Nanyi ikiwa mwaenenda kinyume changu, wala hamtaki kunisikiza; nitaleta mapigo mara saba zaidi juu yenu, kama dhambi zenu zilivyo. 26.22 Nami nitaleta wanyama wakali kati yenu, ambao watawanyang'anya watoto wenu, na kuwaharibu wanyama wenu wa kufugwa, na kuwapunguza muwe wachache hesabu yenu; na njia zenu zitakuwa ni ukiwa. 26.23 Tena kama hamtaki kurejezwa upya kwangu mimi kwa mambo haya, bali mwaendelea kunishikia kinyume; ndipo mimi nami nitaendelea kuwashikia ninyi kinyume; 26.24 nami nitawapiga, naam mimi, mara saba kwa ajili ya dhambi zenu. 26.25 Nami nitaleta upanga juu yenu, utakaopatiliza kisasi cha hilo agano; nanyi mtakutanishwa ndani ya miji yenu; nami nitaleta tauni kati yenu; nanyi mtatiwa mkononi mwa adui. 26.26 Hapo nitakapovunja tegemeo lenu la mkate, wanawake kumi wataoka mikate yenu katika tanuu moja, nao watawapa mikate yenu tena kwa kupima kwa mizani; nanyi mtakula, lakini hamtashiba. 26.27 Tena ikiwa baada ya hayo yote hamtaki kunisikiza, bali mwaenenda kwa kunishikia kinyume; 26.28 ndipo nami nitakwenda kwa kuwashikia ninyi kinyume katika ghadhabu yangu; nami nitawaadhibu mara saba kwa dhambi zenu. 26.29 Nanyi mtakula nyama ya miili ya wana wenu, na nyama ya miili ya binti zenu mtaila. 26.30 Nami nitapaharibu mahali penu palipoinuka, na kuziangusha sanamu zenu za jua, nami nitaitupa mizoga yenu juu ya mizoga ya sanamu zenu; na roho yangu itawachukia. 26.31 Nami nitaifanya miji yenu iwe maganjo, na mahali penu patakatifu nitapatia ukiwa; wala sitasikia harufu ya manukato yenu yapendezayo. 26.32 Nami nitaitia hiyo nchi ukiwa; na adui zenu watakaokaa huko wataistaajabia. 26.33 Nanyi nitawatapanya- tapanya katika mataifa, nami nitaufuta upanga nyuma yenu; na nchi yenu itakuwa ni ukiwa, na miji yenu maganjo. 26.34 Hapo ndipo nchi itakapozifurahia Sabato zake, wakati itakapokuwa hali ya ukiwa, nanyi mtakapokuwa katika nchi ya adui zenu; ndipo nchi itakapopumzika, na kuzifurahia Sabato zake. 26.35 Wakati wote itakapokuwa na ukiwa, itapumzika; ni hayo mapumziko ambayo haikuwa nayo katika Sabato zenu, hapo mlipokaa katika nchi hiyo. 26.36 Tena hao wa kwenu watakaobaki, nitawatilia woga mioyoni mwao, katika hizo nchi za adui zao; na sauti ya jani lililopeperushwa itawakimbiza; nao watakimbia, kama mtu akimbiavyo upanga; nao wataanguka hapo ambapo hapana afukuzaye. 26.37 Nao wataangukiana wenyewe kwa wenyewe, kama mbele ya upanga, hapo ambapo hapana afukuzaye; wala hamtakuwa na nguvu za kusimama mbele ya adui zenu. 26.38 Nanyi mtaangamia kati ya mataifa, na nchi ya adui zenu itawameza. 26.39 Na watu wa kwenu watakaobaki watafifia kwa ajili ya uovu wao, katika hizo nchi za adui zenu; tena watafifia kwa ajili ya uovu wa baba zao, pamoja nao. 26.40 Nao wataukiri uovu wao, na uovu wa baba zao, katika maasi yao waliyoasi juu yangu, tena ya kuwa kwa sababu wameendelea kunishikia kinyume, 26.41 mimi nami nimeendelea kuwashikia kinyume wao, na kuwatia katika nchi ya adui zao; lakini hapo, kama mioyo yao isiyokuwa tohara ikinyenyekea, nao wakubali adhabu ya uovu wao; 26.42 ndipo nitakapokumbuka agano langu pamoja na Yakobo, tena agano langu na Isaka, tena agano langu na Ibrahimu nitalikumbuka; nami nitaikumbuka nchi hiyo. 26.43 Nchi nayo itaachwa na wao, nayo itazifurahia Sabato zake, itakapokuwa ukiwa pasipokuwa na wao; nao wataikubali adhabu ya uovu wao; kwa sababu, naam, ni kwa sababu wamezikataa hukumu zangu, na roho zao zimezichukia amri zangu. 26.44 Lakini pamoja na hayo yote, watakapokuwa katika nchi ya adui zao, mimi, sitawatupa, wala sitawachukia, niwaangamize kabisa, na kulivunja agano langu pamoja nao; kwa kuwa mimi ndimi Bwana, Mungu wao; 26.45 lakini kwa ajili yao nitalikumbuka agano la baba zao, niliowaleta watoke katika nchi ya Misri mbele ya macho ya mataifa, ili kwamba niwe Mungu wao; mimi ndimi Bwana.
 
Is their Jews due to their intelligence, knowledge and academic studies or other factors?
Coz Most Scientists are Atheists.
Kama ingekua Mungu aliwapa kitu cha ziada basi kawapa cha ziada watu wasiomsujudia.
Angalia katika hio list utaona watu kibao ambao wala hawataki kulisikia neno mungu.

Mungu hachukii waovu bali huchukia maovu (dhambi)
Mathayo 5:44 lakini mimi nawaambia, Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi, 45 ili mpate kuwa wana wa Baba yenu aliye mbinguni; maana yeye huwaangazia jua lake waovu na wema, huwanyeshea mvua wenye haki na wasio haki.
 
shida mvumbuzi,wayahudi wamepata taabu sana,hali iliyowalazimu wafanye juu chini wajihakikishie future yao.
mazingira yame washape that way,they take nothing for granted to be assured of their survival!
kama unavyoona watu weupe toka enzi mazingira yalikuwa yanawapiga vita (vipindi virefu vya baridi) hii ikawa wafanya wajifunze kufikiria hatima ya kesho(pindipo baridi ikiingia).tofauti na waafrika toka enzi mother earth ni rafiki tu,majira mazuri ,uhakika wa chakula mwaka mzima hakuna ku hibernate hii imetufanya kubweteka hatufikiri kesho itakuwaje na hali ya hewa ikibadilika kidogo tu majanga!
 
Kuna wale jamaa wanapenda kuolewa oic kwa misaada ya bure....mi nawashauri waanzishe kuomba nchi ijiunge na Israel ili tupate kila aina ya wataalamu wa fani mbalimbali ili tujikomboe wenyewe.......teteeeee
 
Hawa jamaa Mungu aliweka nao agano ambalo hatalivunja kwa sababu yeye si kigeugeu. Hebu pitia hapa kidogo.
Mambo ya Walawi
26.14 Lakini msiponisikiza, wala hamtaki kuyafanya maagizo hayo yote; 26.15 nanyi mkizikataa amri zangu, na roho yenu ikichukia hukumu zangu, hata ikawa hamtaki kuyafanya maagizo yangu yote, bali mwalivunja agano langu; 26.16 mimi nami nitawatenda jambo hili; nitaamrisha uje juu yenu utisho, hata kifua kikuu na homa, zitakazoharibu macho yenu, na kuidhoofisha roho; nanyi mtapanda mbegu yenu bure, kwa kuwa adui zenu wataila. 26.17 Nami nitauelekeza uso wangu kinyume chenu, nanyi mtapigwa mbele ya adui zenu; hao wawachukiao watatawala juu yenu; nanyi mtakimbia wakati ambao hapana awafukuzaye. 26.18 Tena ikiwa baada ya hayo hamtaki kunisikiza, ndipo nitawaadhibu zaidi mara saba kwa ajili ya dhambi zenu. 26.19 Nami nitakivunja kiburi cha uwezo wenu; nami nitazifanya mbingu zenu kuwa kama chuma, na nchi yenu kuwa kama shaba; 26.20 na nguvu zenu mtazitumia bure; kwa kuwa nchi yenu haitazaa mazao yake, wala miti ya nchi haitazaa matunda yake. 26.21 Nanyi ikiwa mwaenenda kinyume changu, wala hamtaki kunisikiza; nitaleta mapigo mara saba zaidi juu yenu, kama dhambi zenu zilivyo. 26.22 Nami nitaleta wanyama wakali kati yenu, ambao watawanyang'anya watoto wenu, na kuwaharibu wanyama wenu wa kufugwa, na kuwapunguza muwe wachache hesabu yenu; na njia zenu zitakuwa ni ukiwa. 26.23 Tena kama hamtaki kurejezwa upya kwangu mimi kwa mambo haya, bali mwaendelea kunishikia kinyume; ndipo mimi nami nitaendelea kuwashikia ninyi kinyume; 26.24 nami nitawapiga, naam mimi, mara saba kwa ajili ya dhambi zenu. 26.25 Nami nitaleta upanga juu yenu, utakaopatiliza kisasi cha hilo agano; nanyi mtakutanishwa ndani ya miji yenu; nami nitaleta tauni kati yenu; nanyi mtatiwa mkononi mwa adui. 26.26 Hapo nitakapovunja tegemeo lenu la mkate, wanawake kumi wataoka mikate yenu katika tanuu moja, nao watawapa mikate yenu tena kwa kupima kwa mizani; nanyi mtakula, lakini hamtashiba. 26.27 Tena ikiwa baada ya hayo yote hamtaki kunisikiza, bali mwaenenda kwa kunishikia kinyume; 26.28 ndipo nami nitakwenda kwa kuwashikia ninyi kinyume katika ghadhabu yangu; nami nitawaadhibu mara saba kwa dhambi zenu. 26.29 Nanyi mtakula nyama ya miili ya wana wenu, na nyama ya miili ya binti zenu mtaila. 26.30 Nami nitapaharibu mahali penu palipoinuka, na kuziangusha sanamu zenu za jua, nami nitaitupa mizoga yenu juu ya mizoga ya sanamu zenu; na roho yangu itawachukia. 26.31 Nami nitaifanya miji yenu iwe maganjo, na mahali penu patakatifu nitapatia ukiwa; wala sitasikia harufu ya manukato yenu yapendezayo. 26.32 Nami nitaitia hiyo nchi ukiwa; na adui zenu watakaokaa huko wataistaajabia. 26.33 Nanyi nitawatapanya- tapanya katika mataifa, nami nitaufuta upanga nyuma yenu; na nchi yenu itakuwa ni ukiwa, na miji yenu maganjo. 26.34 Hapo ndipo nchi itakapozifurahia Sabato zake, wakati itakapokuwa hali ya ukiwa, nanyi mtakapokuwa katika nchi ya adui zenu; ndipo nchi itakapopumzika, na kuzifurahia Sabato zake. 26.35 Wakati wote itakapokuwa na ukiwa, itapumzika; ni hayo mapumziko ambayo haikuwa nayo katika Sabato zenu, hapo mlipokaa katika nchi hiyo. 26.36 Tena hao wa kwenu watakaobaki, nitawatilia woga mioyoni mwao, katika hizo nchi za adui zao; na sauti ya jani lililopeperushwa itawakimbiza; nao watakimbia, kama mtu akimbiavyo upanga; nao wataanguka hapo ambapo hapana afukuzaye. 26.37 Nao wataangukiana wenyewe kwa wenyewe, kama mbele ya upanga, hapo ambapo hapana afukuzaye; wala hamtakuwa na nguvu za kusimama mbele ya adui zenu. 26.38 Nanyi mtaangamia kati ya mataifa, na nchi ya adui zenu itawameza. 26.39 Na watu wa kwenu watakaobaki watafifia kwa ajili ya uovu wao, katika hizo nchi za adui zenu; tena watafifia kwa ajili ya uovu wa baba zao, pamoja nao. 26.40 Nao wataukiri uovu wao, na uovu wa baba zao, katika maasi yao waliyoasi juu yangu, tena ya kuwa kwa sababu wameendelea kunishikia kinyume, 26.41 mimi nami nimeendelea kuwashikia kinyume wao, na kuwatia katika nchi ya adui zao; lakini hapo, kama mioyo yao isiyokuwa tohara ikinyenyekea, nao wakubali adhabu ya uovu wao; 26.42 ndipo nitakapokumbuka agano langu pamoja na Yakobo, tena agano langu na Isaka, tena agano langu na Ibrahimu nitalikumbuka; nami nitaikumbuka nchi hiyo. 26.43 Nchi nayo itaachwa na wao, nayo itazifurahia Sabato zake, itakapokuwa ukiwa pasipokuwa na wao; nao wataikubali adhabu ya uovu wao; kwa sababu, naam, ni kwa sababu wamezikataa hukumu zangu, na roho zao zimezichukia amri zangu. 26.44 Lakini pamoja na hayo yote, watakapokuwa katika nchi ya adui zao, mimi, sitawatupa, wala sitawachukia, niwaangamize kabisa, na kulivunja agano langu pamoja nao; kwa kuwa mimi ndimi Bwana, Mungu wao; 26.45 lakini kwa ajili yao nitalikumbuka agano la baba zao, niliowaleta watoke katika nchi ya Misri mbele ya macho ya mataifa, ili kwamba niwe Mungu wao; mimi ndimi Bwana.
Ngoja waje wale wenye kitabu Fulani uone wanavotoka povu.....utasikia Muhammad alipewa nchi ya saudia kuwa ndo taifa teule.....hahahahahaaaaa.
 
Chukua like mkuu. Hiki ndicho kitu ambacho kuna baadhi ya watu hawakielewi kabisa. Jews ni taifa teule la Mungu. Mwenyezi Mungu aliwabariki kwa kila kitu ingawa wao bado wanamsubiri Masiha. Mwenyezi Mungu si kama mwanadamu hawezi kuvunja agano lake aliloweka na Jews. So they will still be blessed and running this world, na hakuna taifa lolote duniani litaweza kuipiga Israel bali wataishia tu kwenye mazungumzo,that is the fact.
 
How do you define "social network" to begin with?

I can say the Babylonians had social networking way before the Jews, the Jews plagiarized it and some Johnny-come-lately made it into Christianity and later Islam.

The Hindu had "social networks" way before the Jews.

People were using Usenet groups and ARPANET mailing lists waay before there was Facebook, MySpace etc, even before there was a World Wide Web.

Hata kwenye Internet with world wide web, usifikiri social networks zimeanza na Facebook, MySpace.I had a Geocities Webring in 1999.Younguns whachuknow about webrings, or Geocities for that matter? Some of y'all who think Jews started social media were probably still sucklings by then.

Watu walikuwa wanatumia scial networks kwa kupitia UNIX command line Usenet groups kwenye vyuo as far back as 1969!

Last time I checked even McNamara was not Jewish.
 
afkombo;
Huo ujuzi na utaalam wa kujua hayo mambo wameutoa wapi?Hawa Jamaa ni Jews lakini Wamezaliwa wapi na wanaishi wapi na wamesoma wapi na wakati wanaanzisha hizi sites walikuwa wapi?Naamini majibu mengi yatakuwa ni"USA".Ikumbukwe kuna huyu Ramu Yalamanchi wa Hi5 pia.
Maana hata kina Jerry Yang na Sergey Brin ingawaje hawakuanzisha Social Networking lkn walianzisha mitandao Mikubwa to ever happend on the planet.Naamini vitendea kazi na mazingira mazuri ya kimaisha na kielimu ni kigezo kikubwa sana katika nyanja kama hizi.Maana hao co-founders wa Facebook,Myspace,Youtube,Hi5,Google,Yahoo nk wengi si Wamarekani lkn wanaishi au wanasoma USA tena katika Universities za Maana.

Right on point Mkuu. Intelligence has nothing to do with ethnicity (and definitely not that God Bulls..t!) , after all hizo social networks zilizotajwa zina waanzilishi zaidi ya mmoja na katika hao kuna ambao sio Jews mfano Facebook ilianzishwa na Mark Zuckeberg, Eduardo Saverin ambaye ana asili ya Brazil, Chris Hughes na Andrew McCollum ambao wana asili ya Marekani. Youtube waanzilishi wake hakuna mwenye asili ya Kiyahudi, mmoja ana asili ya Marekani, mwingine ana asili ya Taiwan na mwingine ni Bangladesh/German. So mleta uzi don't get the facts twisted.
 
Mimi kuhusu hizo social networks sihusiki nazo. Kuhusu utaalamu wa hawa jamaa wameutoa wapi, ni kutokana na mibaraka aliyopewa Ibrahimu ambaye ni babu wa vizazi hivyo. Hebu fuata hapa
Mwanzo 17:1-8
17.1 Abramu alipokuwa mtu wa miaka tisini na kenda, Bwana akamtokea Abramu, akamwambia, Mimi ni Mungu Mwenyezi, uende mbele yangu, ukawe mkamilifu. 17.2 Nami nitafanya agano langu kati ya mimi na wewe, nami nitakuzidisha sana sana. 17.3 Abramu akaanguka kifudifudi. Mungu akamwambia, akasema, 17.4 Mimi, agano langu nimefanya nawe, nawe utakuwa baba wa mataifa mengi, 17.5 wala jina lako hutaitwa tena Abramu, lakini jina lako litakuwa Ibrahimu, kwani nimekuweka uwe baba wa mataifa mengi. 17.6 Nitakufanya uwe na uzao mwingi sana, nami nitakufanya kuwa mataifa, na wafalme watatoka kwako. 17.7 Agano langu nitalifanya imara kati ya mimi na wewe, na uzao wako baada yako, na vizazi vyao, kuwa agano la milele, kwamba nitakuwa Mungu kwako na kwa uzao wako baada yako. 17.8 Nami nitakupa wewe na uzao wako baada yako nchi hii unayoikaa ugeni, nchi yote ya Kanaani, kuwa milki ya milele; nami nitakuwa Mungu wao.
 
Kuna wale jamaa wanapenda kuolewa oic kwa misaada ya bure....mi nawashauri waanzishe kuomba nchi ijiunge na Israel ili tupate kila aina ya wataalamu wa fani mbalimbali ili tujikomboe wenyewe.......teteeeee

Wewe jamaa boya sana afu hawa moderators wanafanya kazi gani humu mtu anakashifu dini bwana wewe boya na familia yako ndio mnaolewa kama mabwana zenu wazungu walivopitisha hizo ndoa
 
Kwa Hakika Mungu amewapa Kitu cha Ziada Watu wenye asili ya Jews maana ukijaribu kutazama Waanzilishi wakubwa wa Social Network yote ni Jews People hata asili yao, Jaribu kutazama facebook,Myspace,Youtube, hat wikipedia pia utaona mchango wa wa Jews People,

Ni waanzilish wa social nertwork nyingi bt siyo zote. JAMII FORUMS Nayo ni social nertwork ila ilianzishwa na Max melo Mtanzania
 
Back
Top Bottom