Jet li vs Jackie Chan

Jet li vs Jackie Chan

Movie nilizowahi kuangalia na nikazipenda ambazo ni bolywood ni
Pyaar hai imposible
Kuch kuchu hota hai
Slumdog milionaire

Zaid ya hapo naona hamna kitu.. Ila kwenye misongi wapo fiti,
Daa umenikumbusha mbali mkuu kwenye hii movie ya slumdog millionaire yaani ni moja kati ya movie bora ya kihindi na nakumbuka hata ilishinda tuzo za Oscar kwa yule binti pia aliyecheza kwenye hii movie Freida pinto
 
movie za kihindi zilizohit sana ni slumdog, life of pi na my name is khan, hazijatokea tena kama hizo na kwa sasa naona wakorea wame take over
 
My vote goes to Jackie Chan.... Ni bonge la entertainer.
Kingine chan ana perform stunt zake mwenyewe in other words karibia asilimia 80 ya moves zake hua ni kweli na ameumia sana. Mr nice guy has broken almost every bone in his body.
 
movie za kihindi zilizohit sana ni slumdog, life of pi na my name is khan, hazijatokea tena kama hizo na kwa sasa naona wakorea wame take over

Hii movie ya life of pie nayo ilipata tuzo ya Oscar kwenye category ya best moving picture (ili stahili) ila maudhui yake ya kawaida sana
 
Jack ni mbunifu sana, akiongeza na comedy zake utamkubali tu.......tena kama ndani amehusika swahiba wake Sammo hung....Jet anasubiri aise.

Na kumbuka Jack yupo kwenye game tangu 1962 na Jeti kaanza 1982, so Jackie amefanya mengi na ya kihalisia ukimlinganisha na dogo Jet, ambaye muvi zake nyingi ni artificial.
 
Hii movie ya life of pie nayo ilipata tuzo ya Oscar kwenye category ya best moving picture (ili stahili) ila maudhui yake ya kawaida sana
ni kweli hadithi yake ya kawaida kulinganisha na my name is khan au slumdog, kilichoibeba ni location tu
 
Doonyen kwa upande wa China ndo aliyenishika na movie zake wengine siwaelewi angalau na jack
 
Roho yangu husuuzika zaidi nikicheki muvi ya jack chan, Kiukweli jamaa yuko vizuri, komedi unazipata mlemle,.... Mara Jack chan anchezea kichapo halafu baadae anakaza na kuwatembezea...
Jet Lee yeye anaujua mkono ila too artificial.
 
Asee! Nimejikuta nacheka tu baada ya kusikia Jackie chan..huyu jamaa ana shida kweli...maisha yake tu ni comedy akienda kuoga anapaka sabuni kichwani afu inakauka then akifika hoteli yeyote isiyo na sabuni anafungulia maji anaizimua ile soap ya Jana ahahahah!...he is crazy saana.

The funny thing jamaa anadai ana chupi mbili tu ambazo anafua mwenyewe kwa mfumo wa kauka nikuvae.
 
Back
Top Bottom