Jeshi latanda Mjini Songea

mapichapicha


 

Attachments

  • 1432447760139.jpg
    39.2 KB · Views: 2,274
  • 1432447801170.jpg
    18.1 KB · Views: 2,204
  • 1432447853950.jpg
    58.4 KB · Views: 2,231
Mkuu ungetujuza ni action ipi inaonyesha wanafanya mazoezi, wanakimbia mchaka mchaka, push-ups, goosmuch, au ni kipi hasa? Ungeweka na picha ingependeza zaidi

Utamponza mwenzio, ataporwa simu then apigwe nuwa.
 
sasa napata amani kwa kuona huo moshi wa rangi kumbe ni drill tu ya urban warfare
 
Wako kwenye mazoezi ya urban warfare, nature ya jeshi letu ni msituni kwa hali ilivyo inabidi wabadilike.

Homa ya uchaguzi inahusika
 
na nyinyi si muingie barabarani mkawatawanye kama hamna taarifa ya mikusanyiko yao.

mimi nimeona leo basi mbili za jeshi jwtz likiwa eneo la uyole likiwa full wajeda ndani wakawa wanaelekea barabara ya makambako mimi nilikuwa uyole labda nao wanakuja huko anzeni kuandamana kama nyie kweli makamanda si makamanda wenzenu
 
Muda huu kuna milipuko mikubwa ya mabomu hadi nyumba zinatikisika, kwa nini lakini?

Mabomu ?
Ungekaa kule chandamali ndio ungehama kabisa mana kila mwaka mpya lazma yapigwe ile saa 6:00.

Nyumba zina shake kama hazina msingi, yanafukiwa chini then ni paaa, ila ni baruti tu.
 

Sio JKT , ni JWTZ ingekua JKT tungezungumzia wale wa mlale ambao ni wakulima tu.
Angalia sare.
 
yale yale ya Genaral Shimbo...mwaka huu tataona mengi CCM hali mbaya
 
Nimependa Zoezi lao la kustukiza,Vikosi vingeni viige kama Songea walivyofanya hakika Maalamia/Bandits/Majmbazi/Magaidi watapotea.

CC: Mwamnyange , Kova , Kikwete , Mbowe.
 
dah!!amakweli ya ngoswe mwachie ngoswe,tunalipeleka Wap taiga hili tukufu???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…