The Hunter
JF-Expert Member
- Dec 25, 2010
- 1,049
- 305
hawana furaha n hiyo kitu maana hata kesho yao hawaijui, wanahangaika juani huku wachache wakifaidi jasho lao
Tokea jana nasubiri kumwona Ruta hapa, akiomba samahani!Ruta angelikuwa muungwana angekuja hapa na kuomba radhi kwa aliyo yaandika.
Na hasa kwa kuwaomba radhi hao alokusudia kuwakashifu.
sijakupata bado, unamaanisha kuwa kwa hawa askari kuangalia sehemu tofauti ndo jeshi halina nidhamu?, wewe umepitia jeshi?!. Rafiki usitoe hoja usiyooijua. Hapo ilikuwa ni wakati wa kutoa heshima kwa mgeni rasmi. Hao wanao angalia mbele ni right markers, wengine wote ndo wanatakiwa kuangalia upande wa mgeni rasmi. Huo ndo utaratibu wa kutoa heshima. Tafadhari fafanua huo u-shaghalanaghala ni upi, hoja yako ya awali siyo sahihi. Nadhani wewe ndo uko shaghalabaghala upstairs.

Nakubaliana na wale waliotoa ufafanuzi; hata kwa mtu aliyecheza chipukizi anajua nini kinatokea wakati wa kutoa heshima kulia.
Kuna mahali nimeuliza swali kuhusu picha hiyo. Kwa nini askari wa kike hawavai hijabu?
hawa wengine wanazo sio kwetu.Serikali haina dini!
http://english.peopledaily.com.cn/200509/02/images/0901_E71.jpg
Hahahahahahah yaani mkuu we umeua vibaya dah!Waandaaji walikosea kuwapigia BRASS BAND...hawa wanataka TAARAB....ndio maana wamechanganyikiwa...mlio wa tarumbeta ni sawa na kujambisha
Umempa jibu sahihi, Rutashubanyuma hajapita JKT wala mafunzo ya mgambo.
Mkuu,hawana furaha n hiyo kitu maana hata kesho yao hawaijui, wanahangaika juani huku wachache wakifaidi jasho lao
venant, tafuta nafasi ya kujua mambo. Sare za majeshi ni universal, hazitofautiani sana baina ya mataifa, majeshi mengi duniani (wanamaji) huvaa nguo ambazo kwa njia moja ama nyingine zinafanana. Nenda kwenye encycropedia utafute mavazi ya kijeshi utaelimika zaidi ktk nyanja hii.
JESHI LA IRAN:
hivi kumbe vazi la hijabu ni dini.............i think hao waturuki government yao ni ya kiislam...........
unajua ukakamavu wa jeshi pia inategemea mikikimikiki walio kutana nayo...........
sasa zenji sijui hata kama waliwahi hata kupelikwa hata kusimamia amani nnchi yeyote............ so wapo full mdebwedo
hivi kumbe vazi la hijabu ni dini.............i think hao waturuki government yao ni ya kiislam...........
unajua ukakamavu wa jeshi pia inategemea mikikimikiki walio kutana nayo...........
sasa zenji sijui hata kama waliwahi hata kupelikwa hata kusimamia amani nnchi yeyote............
so wapo full mdebwedo
Kuna mahali nimeuliza swali kuhusu picha hiyo. Kwa nini askari wa kike hawavai hijabu?