Rais Dkt. Mwinyi afungua mchezo kati ya Zanzibar Heroes vs Kilimanjaro Stars

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Sep 6, 2020
741
479
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi amefungua mchezo maalum wa mpira wa miguu ulioshirikisha Zanzibar Heroes dhidi ya Kilimanjaro Stars baada ya ufunguzi wa uwanja mpya wa Amaan Complex uliofanyiwa ukarabati mkubwa.

Rais Dk. Mwinyi atakabidhi kiasi cha shilingi milioni 10 kwa kila timu.

Mchezo unafanyika uwanja mpya wa Amaan Complex, Mkoa wa Mjini Magharibi tarehe 27 Desemba 2023.
IMG-20231227-WA0054.jpg
IMG-20231227-WA0055.jpg
IMG-20231227-WA0058.jpg
IMG-20231227-WA0059.jpg
IMG-20231227-WA0057.jpg
IMG-20231227-WA0056.jpg
 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi amefungua mchezo maalum wa mpira wa miguu ulioshirikisha Zanzibar Heroes dhidi ya Kilimanjaro Stars baada ya ufunguzi wa uwanja mpya wa Amaan Complex uliofanyiwa ukarabati mkubwa.

Rais Dk. Mwinyi atakabidhi kiasi cha shilingi milioni 10 kwa kila timu.

Mchezo unafanyika uwanja mpya wa Amaan Complex, Mkoa wa Mjini Magharibi tarehe 27 Desemba 2023.View attachment 2855208View attachment 2855209View attachment 2855210View attachment 2855211View attachment 2855212View attachment 2855213
Wafanyakazi wa serikali mko slow sana. Hiyo habari imeshachuja, watu wameshaisahau hiyo mechi ndiyo unakuja kuileta. Nyakati zimebadilika.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom