Jeshi la Zanzibar linatia aibu au ndivyo inavyopaswa?

Status
Not open for further replies.
hawana furaha n hiyo kitu maana hata kesho yao hawaijui, wanahangaika juani huku wachache wakifaidi jasho lao
 
sijakupata bado, unamaanisha kuwa kwa hawa askari kuangalia sehemu tofauti ndo jeshi halina nidhamu?, wewe umepitia jeshi?!. Rafiki usitoe hoja usiyooijua. Hapo ilikuwa ni wakati wa kutoa heshima kwa mgeni rasmi. Hao wanao angalia mbele ni right markers, wengine wote ndo wanatakiwa kuangalia upande wa mgeni rasmi. Huo ndo utaratibu wa kutoa heshima. Tafadhari fafanua huo u-shaghalanaghala ni upi, hoja yako ya awali siyo sahihi. Nadhani wewe ndo uko shaghalabaghala upstairs.

Na mimi, nimejifunza kitu kipya leo, "No reseach no right to speak"
 
sijakupata bado, unamaanisha kuwa kwa hawa askari kuangalia sehemu tofauti ndo jeshi halina nidhamu?, wewe umepitia jeshi?!. Rafiki usitoe hoja usiyooijua. Hapo ilikuwa ni wakati wa kutoa heshima kwa mgeni rasmi. Hao wanao angalia mbele ni right markers, wengine wote ndo wanatakiwa kuangalia upande wa mgeni rasmi. Huo ndo utaratibu wa kutoa heshima. Tafadhari fafanua huo u-shaghalanaghala ni upi, hoja yako ya awali siyo sahihi. Nadhani wewe ndo uko shaghalabaghala upstairs.

Jibu sawia!Watu wengine hawajui ila wanapenda sana kukosoa.Ha ha ha ha!
 
Nakubaliana na wale waliotoa ufafanuzi; hata kwa mtu aliyecheza chipukizi anajua nini kinatokea wakati wa kutoa heshima kulia.
 
gad_03_1206_44768a.jpg


duh,kama vile namuona huyu dikteta anavyovishughulisha hivi vibinti kwa amri za kijeshi

"kwa mwendo wa haraka vua magwanda"
"kwa mwendo wa polepole vua chupi"
"sogea hatua mbili mbele kuelekea kwangu"
"simama kikakamavu"
"salute"
kisha mzee ananeng`eneka tartiibu mpaka anamaliza

mwisho anamuuliza unakumbuka kanuni ya jeshi?
binti anajibu yes"hamna kutoa siri"
mkulu anajibu "goood"
neeext
 
Umempa jibu sahihi, Rutashubanyuma hajapita JKT wala mafunzo ya mgambo.

Hongera Bwana Gama na Anko Sam, hawa vijana wanajifanya kujua kila kitu. Wamekuja mjini juzi wamekuta mambo ya watu wanajifanya wao ni wataalamu.

Nendeni jeshini kwanza mukajue nidhamu ni nini halafu ndiyo muje kuongea hapa.
 
hawana furaha n hiyo kitu maana hata kesho yao hawaijui, wanahangaika juani huku wachache wakifaidi jasho lao
Mkuu,
unapenda watu wa chekacheka type, halafu munamlaumu Kikwete.

Umesahau kuwa hao wanatakiwa kuonesha ukakamavu? na siyo kucheka,tabasamu au kukenua!
 
venant, tafuta nafasi ya kujua mambo. Sare za majeshi ni universal, hazitofautiani sana baina ya mataifa, majeshi mengi duniani (wanamaji) huvaa nguo ambazo kwa njia moja ama nyingine zinafanana. Nenda kwenye encycropedia utafute mavazi ya kijeshi utaelimika zaidi ktk nyanja hii.

Wape wapee vidonge vyao, wakimeza wakitema shauri yaooooooo.

Jamani siyo vibaya kuuliza wazee ndiyo kujifunza huko.
 
Kweli usilolijua litakusumbua na usilolijua ni kama usiku wa kiza....na my signature says alot.
Silence means alot....
Wasaaalam anko Ruta. Lol!
 
hivi kumbe vazi la hijabu ni dini.............i think hao waturuki government yao ni ya kiislam...........

unajua ukakamavu wa jeshi pia inategemea mikikimikiki walio kutana nayo...........

sasa zenji sijui hata kama waliwahi hata kupelikwa hata kusimamia amani nnchi yeyote............ so wapo full mdebwedo

Wewe wakuja juzi na kutoka huko mabara hebu kuwa na adabu kidogo. Umejifunza kiswahili juzi tu isiwe nongwa.

Jeshi la wananchi ni la Tanzania na Wazanzibari wanashiriki kikamilifu - Uganda, Mozambique na wakati wa kugombea uhuru kote kote. Wale vijana mashujaa waliorusha ndege siku ile ya sherehe baada ya kurudi vitani Uganda, na baadae kuanguka pale kwenye hadhara mmoja alikuwa anatoka wapi?

Halafu muulizie COMRADE ALI LMAHFOUDH ni nani? Mchango wake katika vita vya kugombea uhuru wa Msumbiji ulikuwa ni upi? Ukisikia mmoja wa Makamandoo hodari ambaye alisomea Cuba basi ni huyo na Nyerere alikuwa anamfahamu vyema.

Hebu jaribuni kusoma historia ya nchi hii muwache hizo prejudices zenu zisizokuwa na msingi kutokana na kutokujua kwenu.

Hongera Gama kwa kuwaelimisha hawa vijana.
 
hivi kumbe vazi la hijabu ni dini.............i think hao waturuki government yao ni ya kiislam...........

unajua ukakamavu wa jeshi pia inategemea mikikimikiki walio kutana nayo...........

sasa zenji sijui hata kama waliwahi hata kupelikwa hata kusimamia amani nnchi yeyote............
so wapo full mdebwedo

Kalagabaho! AKA ZUMBUKUKU. Nosense
 
Kuna mahali nimeuliza swali kuhusu picha hiyo. Kwa nini askari wa kike hawavai hijabu?

Hapa TZ, tutasema udini na maneno mengi ya kashfa, lakini katika nchi nyengine jionee hapo chini. Tukiamua tunaweza kuwapa haki ya kuchagua. Uk, wako female police wanaovaa hijabu siku hizi.




 
Last edited by a moderator:
Ruta come forward and apologize.... Umechemka lazima uombe msamaha ama sivyo how can you expect wale unaowakosoa kila siku watajirekebisha?? Toa mfano bana umechemka.
 
Mmmh kazi iko, hizi lugha zingine ni za kibaguzi.
Hakuna kikosi cha/ jeshi la wanamaji Zanzibari au Tanganyika. Mie ninavyojua kuna jeshi moja la wanamaji Tanzania.
Kuhusu huyu kuangalia huku na mwingine kule, huo ni utaratibu wa jeshi pale wanapokuwa wanatoa heshima kwa mgeni yeyote rasmi. Inaonekana ulikuwa unaandika kitu ambacho ulikuwa hujakifanyia research. Sometime try to do your home work.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom