Jeshi la wananchi Egypt lampindua Rais Morsi

Jeshi la wananchi Egypt lampindua Rais Morsi

Morsi aache uhafidhina...kama Mubarak alitolewa kwa mabavu yeye angejitahidi kujishusha.
 
Auwaye kwa upanga naye atakufa kwa upanga...
 
Naona mambo yanazidi kunoga kwa wenzetu. Raisi yupo under house arrest na jeshi la nchi hiyo.
 
jwtz wapo busy kuwa neutralize wana N'twara.
 
Nimefurahi sana.ye MORSI si aliunga mkono kwa Asady apinduliwe syria.sasa anaondoka yeye mwenzie bado anakula bata japo kiubishi.
 
Nimefurahi sana.ye MORSI si aliunga mkono kwa Asady apinduliwe syria.sasa anaondoka yeye mwenzie bado anakula bata japo kiubishi.

jeshi limeshamweka kizuizini tayari. ingawa bado haijatangazwa rasmi.
 
ndio! Thats why hata kumtoa wanamtoa wenyewe, wewe shida yako iko wapi mkuu?
Hakuna shida mkuu, waache wabadilishe tu kama mashati, ila wasiwe wanauwa raia hovyo hovyo, wayafanye hayo kwa amani..
 
Hapo ndio muujue U,honeythi wa Mmarekani.

marekani jana walikua agaisnt jeshi la misri kuchukua madaraka na walilionya jeshi la misri kutofanya hivyo lakini jeshi la misri lilikataa naona muvi nyingine kama ya syria iko mbioni hapo.
 
marekani jana walikua agaisnt jeshi la misri kuchukua madaraka na walilionya jeshi la misri kutofanya hivyo lakini jeshi la misri lilikataa naona muvi nyingine kama ya syria iko mbioni hapo.

Yeah kwa sababu kibaraka wao Raia hawamtaki
 
Debka.com report that egyptian army plan to announce the dismisal of presdent morsi and instal a provisional ruling council.The announcement will come at the end of a crisis meeting in cairo during a countdown to its 3pm GM ultimutum to the presdent morsi.
 
Hakuna shida mkuu, waache wabadilishe tu kama mashati, ila wasiwe wanauwa raia hovyo hovyo, wayafanye hayo kwa amani..

mbona hueleweki! Wanaobadilisha rais ni raia sio jeshi, Morsi asingejifanya kichwa ngumu, hakuna raia angeuawa!
 
Nimefurahi sana.ye MORSI si aliunga mkono kwa Asady apinduliwe syria.sasa anaondoka yeye mwenzie bado anakula bata japo kiubishi.

na juzikati hapa akavunja mahusiano na syria kwa kujipendekeza kwa marekani leo yamemkuta.
Mwenzake endorgan wa uturuki baada ya yale maandamano alitia dispilin akazuia hadi nchi yake wasiitumie kupitisha silaha kwenda kwa waasi wa syria,na sasa uturuki pametulia kidogo.
 
Hawajazoea democracy hao hata aje nani hapo hatamaliza muhula wake,
 
For that matter misri inaongoza kwa democracy kwa sababu peoples sovereignity ndo jeshi linatii na kusikiliza

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Watanzania tujifunze ulaghai wa chadema kutoka kwa wamisri, walimtimua rais aliyepita wakamchagua morsi, amedumuuuuuuuuuuu??????? Hii ni janja ya nyani kula hindi bichi
 
Wakuu anayejua katiba ya hawa jamaa atufafanulie hapa,
naona imekaa powa sana yaan hakuna siasa ,jeshi liko huru
 
Watanzania tujifunze ulaghai wa chadema kutoka kwa wamisri, walimtimua rais aliyepita wakamchagua morsi, amedumuuuuuuuuuuu??????? Hii ni janja ya nyani kula hindi bichi

narrow analysis,
acha kukurupuka
 
Morsi aache uhafidhina...kama Mubarak alitolewa kwa mabavu yeye angejitahidi kujishusha.

extremists wengi wana ujinga wa kuiona dunia kwa makengeza....hudhani kwamba ni lazima watu wote wakubaliane na fikra zao.

i wonder kama kuna kufa na kuhukumiwa na kwamba kuna pepo na moto, ni vipi mtu ataraji watu wote walazimike kufuata system moja, si ni wazi uwepo wa vitu hivyo maana yake watu watofautiane ili wawepo wa motoni na peponi?

Morsi is an extremist na pamoja na usomi wake lakini naye ana ujinga ule ule wa kudhani ukishinda basi stahiki ni kuburuza watu wote utakavyo...demokrasi ni pamoja na kuheshimu mawazo na fikra za wachache siyo kwa vile ni the winner takes all basi wachache wasiwe na sauti....

Anavuna matunda ya ujivuni na kujiskia...WHAT A SHAME!!!
 
Back
Top Bottom