kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 11,732
- 13,210
Tanzania imetosha wafanye na watoto Sasa Kama Rwanda
Komandoo Leo mahakamani amesema, Komandoo anaweza akapigwa na Askari lkn na yeye pia anaweza kumbonda Askari,itategemea Nani mjuzi zaidi.Jeshi letu makomando wao wanateswa na polisisiemu lipo kimya
Tanzania ilipokamata marubani wa libya na ndege zao unataka kuniambia kwamba Tanzania ni bora sana na inaogopwa na Libya kwenye uwanja wa medani sio???Sawa mke wangu natoa ngada zangu Ila nakupakia vumbi la mkongo,pengine hujui hata 1994 RPA waliwateka wanajeshi wa Ufaransa waliokua wanawasaidia interahamwe.
Ubabe upi mkuu? Mbona hata Tanzania ni wababe maana kila mahali tulipopeleka jeshi letu tuliweza kudhibiti maadui ipasavyo na mfano nimekupa kupitia hizo nchi hapo juu.Mimi nimeulizia tu ubabe ambao Rwanda inataka kuonyesha sijazungumzia swala la Tanzania kuweza a kushindwa, Si kweli kwamba Rwanda haikuwa DRC wale waasi wa congo bado wapo, Rwanda ilikuwa na majesh yake Congo toka enzi za Kabila, Rwanda haiwez peleka Majesho Burundi kwa sababu hawaelewani na sio marafiki kivile. kwa hiyo nilitaka kusema Rwanda inaonyesha misuli yake pia huko msumbiji
60% ya wale magaidi wa kibiti walikimbilia Msumbiji na baada ya siku kadhaa ndo wakaanza operation zao huko baada ya jeshi letu kuwafurusha. So huo mziki unaosema sijui ni upi?Kwahiyo jw wangeenda msumbiji wakimbizi wangekuja Tz ila rwanda wakienda msumbiji wakimbizi hawata kuja Tanzania? Aisee acha porojo mjomba!
Achana na mziki wa kagame! Jamaaa wanajuacsana guerrila war! Ule mziki wa mozambik unataka watu wanaojua vita za msituni!
Tatizo la watz hudhan jeshi lao ni kila kitu kumbe no!
Halafu vita ya comoro ilikua ni mchezo wa kitoto hakuna vita pale!
Jasusi ambae Ngurunziza alikuwa anaingiza vijana wake zaidi ya mara moja kwenye ardhi yake.. wanakwenda wanauwa wanajeshi wake, wanauwa raia wake, wanabaka watu, wanachoma moto nyumba na mashamba hadi kupelekea jasusi wako kupeleka malalamiko yake kwenye jumuiya ya afrika mashariki. Bila shaka haujui kinachoendelea katika ulimwengu wenye matukio ya kutisha kama haya.Achana na mziki wa kagame !!! Yule ni jasusi by proffestional
Rwanda imefadhiliwa na France ili kulinda interest za makampuni ya mafuta ya Ufaransa otherwise hana sababu ya kuwa huko period.Nimesikia Jeshi la Rwanda limeenda Msumbiji na limefanikiwa kurejesha miji iliyokuwa imemilikiwa na waasi huko msumbiji ila katika historia kuna ukweli kwamba kuna majeshi yalisha kwenda huko kupambana na waasi bila mafanikio ya kurejesha miji hiyo.
swali ni Je, Rwanda inatupa ujumbe gani sisi wana Africa Mashariki, Sadc, Comesa na nchi zingine jirani na Africa mshariki kwamba ni taifa ndogo ila wana uwezo mkubwa kivita wa kufanya kitu flani kupitia majeshi yao.
Nadhani wana tuelewa kuwa Tanzania, Uganda na Kenya kati ya wengine wengi tumewasoma vizuri kwa hiyo tusiwajaribu.
Wake walishatolewa jeshini kitambo. Si askari tena ni raia wa kawaidaJeshi letu makomando wao wanateswa na polisisiemu lipo kimya
Tatizo nimeshachoka hio arse yako maana imeshatanuka na inanuka Sana, protein itabd umwagiwe mdomoni this time.Upate taste halisi.Tanzania ilipokamata marubani wa libya na ndege zao unataka kuniambia kwamba Tanzania ni bora sana na inaogopwa na Libya kwenye uwanja wa medani sio???
Ilo vumbi la kongo paka na kwenye kundu lako nije nikufuck
Lazima wafanye bidii ili waibe. Ni majizi ya madini.Nimesikia Jeshi la Rwanda limeenda Msumbiji na limefanikiwa kurejesha miji iliyokuwa imemilikiwa na waasi huko msumbiji ila katika historia kuna ukweli kwamba kuna majeshi yalisha kwenda huko kupambana na waasi bila mafanikio ya kurejesha miji hiyo.
swali ni Je, Rwanda inatupa ujumbe gani sisi wana Africa Mashariki, Sadc, Comesa na nchi zingine jirani na Africa mshariki kwamba ni taifa ndogo ila wana uwezo mkubwa kivita wa kufanya kitu flani kupitia majeshi yao.
Nadhani wana tuelewa kuwa Tanzania, Uganda na Kenya kati ya wengine wengi tumewasoma vizuri kwa hiyo tusiwajaribu.
😄😄😄 Burundi hii ambayo siku Tz ikiiwachia hata kwa siku 1 tu serikali yao inapinduliwa?Hii ambayo waasi wa Red Tabara wanawashambulia kila siku hata mwezi huu wameshambulia kwny airport yao na kwny stand yao ya mabus?Hii ambayo wanajeshi wake waliondolewa kwny jeshi la UN sababu Wana silaha duni?Jasusi ambae Ngurunziza alikuwa anaingiza vijana wake zaidi ya mara moja kwenye ardhi yake.. wanakwenda wanauwa wanajeshi wake, wanauwa raia wake, wanabaka wanabaka watu wanachoma moto nyuma na mashamba hadi kupelekea jasusi wako kupeleka malalamiko yake kwenye jumuiya ya afrika mashariki. Bila shaka haujui kinachoendelea katika ulimwengu wenye matukio ya kutisha kama haya.
Kuna jarida nimeliona mitandaoni Juzi limeandika kitu Kama hiki ulichokisema (kwenda kutafuta Mali nchi nyingine.) Kwa mfano huko Central African Republic (CAR) ambako Rwanda Wana Wanajeshi pia,wamepewa juzi hectare 75,000 na serikali ya nchi hio Kama Asante.CAR wana hectare 30milion zenye rutuba na Wana population ya watu mil 5 tu. Mpango ulioko kwa Sasa kwa mfano Rwanda wamepanga kulima Cotton nyingi Sana Kule CAR then wanaiexport kwenda Rwanda kwa ajili ya kutengeneza nguo maana Rwanda walishapiga marufuku nguo za mitumba.Wanafuata mbinu za baadhi ya wazungu sasa
Kwenda kutafuta mali nchi zingine
Kama USA huko Iraq na Syria na kwingine
Sisi tulikuwa aidha waungwana au ...
wakati tumasaidia kuwakomboa wenzetu
Sasa PK kaona nchi itajengwa kwa ujinga wa wengine
Kuna jarida nimeliona mitandaoni Juzi limeandika kitu Kama hiki ulichokisema (kwenda kutafuta Mali nchi nyingine.) Kwa mfano huko Central African Republic (CAR) ambako Rwanda Wana Wanajeshi pia,wamepewa juzi hectare 75,000 na serikali ya nchi hio Kama Asante.CAR wana hectare 30milion zenye rutuba na Wana population ya watu mil 5 tu. Mpango ulioko kwa Sasa kwa mfano Rwanda wamepanga kulima Cotton nyingi Sana Kule CAR then wanaiexport kwenda Rwanda kwa ajili ya kutengeneza nguo maana Rwanda walishapiga marufuku nguo za mitumba.
Khs kua waungwana hili hata Magu aliliona ndio maana mara kibao tu alikua anasema tumezisaidia nchi kibao lkn in return tumepata Nini?akawa anasema this time acha wachapane sisi tutachofanya ni kufanya biashara ya kuwauzia Chakula tu.
Swali zuri mno!!👏Inaonyesha misuli? Kwani wanashindania Nini?Rwanda Wana jeshi lao pia huko Central African Republic CAR wamepigana na waasi na kukomboa maeneo mengi ya nchi hio na wanamlinda rais wa nchi hio pia Sasa na huko CAR Wanamtunishia misuli Nani?