Bawabu wa pili
Senior Member
- Nov 14, 2025
- 147
- 432
Jeshi la polisi mkoani Tabora limewahakikishia wananchi ulinzi na usalama katika sherehe za Krisimasi na Mwakampya..
Akizungumza na Waandishi wa habari leo Disemba 24, 2025 Kamanda wa polisi mkoa wa Tabora,Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa polisi, Richard Abwao amesema jeshi la polisi litaendesha doria ili wananchi washerehekee vizuri sikukuu hizo za mwisho wa mwaka.
Soma pia: Polisi wanaendelea na vitisho kwa raia, huko tabora wamefanya mazoezi wakidai kuimarisha usalama kwenye uchaguzi