Jeshi la Polisi limuite Abdul Nondo na wenzake kwa mahojiano ili kujua nia yao ni nini, na mahala pa kuelekea katika maandamano ili wasivuruge amani

Ndio maana tunataka wapelekwe sehemu nzuri isiyokuwa na shida
Ni wapi huko mkuu kusikokuwa na shida, isije ikawa ndio kuleee mbele ya haki

20230418_074136.jpg
 
Ni vyema Jeshi la Polisi likampelekea Abdul Nondo na waandamanaji wenzake ambao wanaweza kufika kumi au ishirini, wito wamuhoji nia yake, na kisha wamuelekeze kwamba, kiusalama, ni vyema maandamano yake yakaishie Mwembeyanga au Ofisi za ACT Wazalendo, wakapokewe na Kiongozi wao mkuu. Hata Manzese, watasababisha usumbufu tu usio wa lazima

Jukumu la Jeshi la Polisi ni kuangalia pia muandamanaji anataka kupita wapi, na huko anakopita je, hatahatarisha Uhuru wa watu wengine. Polisi wanaweza kumsaidia Nondo kwa sababu bado ni mtoto mdogo, sijui kama ana miaka hata 15, ila tu jina lake ndio limfanye ajione ni nondo.

Juzi tumeona Kenya wenye katiba mpya pia walizuiwa kuingia katikati ya mji na kwenye makazi ya Rais

Amani ni nini?
 
Wewe ni mbunda ya mva, hii nchi siyo mali ya ukoo wenu, inaongozwa na sheria! Maandamano yapo kisheria

Jinga kabisa
Yale ya mange kimambi yalikuwa yanaongozwa na nn ? Mbona mliyapinga kwa vifaru? Yale ya UKUTA yaliongozwa na nn mbona yalipingwa?
Wewe umefiwa tu unahuzuni umejawa na chuki Huna lolote la kusema juu ya maandamo walipotaka kuandamana mlisema wanatumiwa.
MUNGU KAINGILIA KATI KAPIGA NGWALA SASA MNAYAUNGA MKONO ????
Eti yanaongozwa na sheria? Unakumbuka kauli ya makonda dhidi ya watumishi may most? Kaeni kimya
 
Na wewe jaribu kama unao huo uwezo!
 
Na wewe jaribu kama unao huo uwezo!
Uwezo wa kufanya nn? Mm sijawahi kupinga maandamano popote kwenye maisha yangu wewe kwa sababu mungu wako kafa leo ndo unakata mauno na kusema maandamano yapo kwa mujibu wa sheria? Sheria zipi? Yale ya mange yalikuwa kwa mujibu wa nn mbona yalipingwa? Yale ya ukuta je? Mbona hata vifaru viliachiliwa? Leo ndo mnaona kwamba kuna sheria za maandamano kwakuwa lile dubwasha lend limekufa?
 
Kufa sio hoja kwa sababu leo wewe unakufa!

Zungumza hoja acha ujinga!
 
Wewe ndo mjinga namba moja ! Unapost ujinga ati wananchi wanamlilia mtu aliyetumia madaraka yake kua, kutesa na kupiga watu risasi kama wezi?
Watu wanaandika kitabu we hata kusoma hujasoma wewe unapayuka kuwatukana.
Mm na wewe nani mpumbavu sasa?
Jana wakati yupo hai ulisema maandamano siyo halali, leo wakati yupo SSH msiyempenda unashadadia maandamano ati yapo kwq mujibu wa sheria umejua leo?
Mpumbavu wewe keshakufa sasa
 
WALOLA VUNZYA acha ubaoya, unataka watu tuwe tunaposti unachotaka wewe?
 
Kufa sio hoja kwa sababu leo wewe unakufa!

Zungumza hoja acha ujinga!
Ujinga ni pale mtu
WALOLA VUNZYA acha ubaoya, unataka watu tuwe tunaposti unachotaka wewe?
Siyo walovuya mpumbavu wewe sisi hatutumii account zaidi ya moja kama nyie majuha.
Wewe ulitaka kwenye kile kitabu cha wahariri waandike kama unavyofikiria dhidi ya JPM? Unapinga kitu ambacho hujakisoma? Ulisoma shule gani wewe?
Una record wajinga wenzio video kisha unasema watz wanamlilia nani sijui?
Uliongea na wazazi wa BEN SANANE na mke wa.GWANDA na wale wa AKWILIN WEWE? Ulienda MKIRU kuwauliza juu ya huyo magufuli?
Tuachie makelele bhana huyo mtu alitesa wengi
 
Ni vyema Jeshi la Polisi likampelekea Abdul Nondo na waandamanaji wenzake ambao wanaweza kufika kumi au ishirini, wito wamuhoji nia yake, na kisha wamuelekeze kwamba, kiusalama, ni vyema maandamano yake yakaishie Mwembeyanga au Ofisi za ACT Wazalendo, wakapokewe na Kiongozi wao mkuu. Hata Manzese, watasababisha usumbufu tu usio wa lazima

Jukumu la Jeshi la Polisi ni kuangalia pia muandamanaji anataka kupita wapi, na huko anakopita je, hatahatarisha Uhuru wa watu wengine. Polisi wanaweza kumsaidia Nondo kwa sababu bado ni mtoto mdogo, sijui kama ana miaka hata 15, ila tu jina lake ndio limfanye ajione ni nondo.

Juzi tumeona Kenya wenye katiba mpya pia walizuiwa kuingia katikati ya mji na kwenye makazi ya Rais
Wewe pumbavu unahofia basha zako maandamano yatapita nao?
 
Na wakitoka huko waje Lumumba hapa TUWAFUTURISHE
 
cdm haina muda wa kupigania mapumbavu hasa ya ccm yanayojificha jf yaendelee kupigika tu maana mliipenda wenyewe.
Ground hata Wanachama wa CDM wamegoma kumkataa Magu na falsafa zake,

Mpinzani yeyote kukataa MAZURI ya Magu ni kujificha nyuma ya kivuli Cha mchicha.

Bila kumkubali na kumtaja Magu Kwa MAZURI na maono yake hutoboi na huchaguliki.

Wenje, Mnyika, Heche, Msigwa wamegoma kuwa NYUMBU.

Watanzania Si wajinga, wanajua Kweli.
 
Maandamano ni HAKI ya kikatiba.

CDM cjui wamejificha wapi kuanzisha maandamano kushinikiza mawaziri walioguswa na Ripoti ya cag watimuliwe.
Duniani ni Tanzania pekee inayosubiri eti viongozi watatu wa chama waandamane kwa niaba yao! Huu ni ujuha, wananchi buandamana baada ya kuchukizwa na jambo bila kujali vyama.
 
Back
Top Bottom