Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,054
- 6,281
Kutokana na tishio la ugaidi afrika mashariki. Jeshi la polis alitotoa kibali kwa mtu yeyote kupiga fataki siku ya mwaka mpya.
Amesema wananchi awaelewi tofauti ya bomu na fataki hivo magaidi wanaweza piga bomu raia wakajua fataki.
jeshi la polis limeshawaandikia barua wale wote walioomba kupiga fataki kuwa limekataa.
Source ni Afande Kova.
Mimi binafsi nasikitika sana kuwazuia wananchi walioomba kibali kupiga fataki.
Fataki zinapigwa dunia nzima. Kuzuia ugaidi si kuzuia upigaji wa fataki