Jeshi la polisi limepiga marufuku upigaji wa fataki siku ya mwaka mpya

kwani ni lini walikataza?? au kuruhusu?? Mi napiga kama kawa .... Afu Kova si RPC wa Dar!!!! wa mikoani haituhusu
 
Mie nitazipiga tu... kwakweli, bila hayo hakutokua na raha kabisa ya kukesha
Maana bila hii shughuli haitofana...

Leaders Club jijini Dar es salaam watu waliukaribisha mwaka kwa fataki hewani.jpg
 
Back
Top Bottom