Jeshi la polisi limepiga marufuku upigaji wa fataki siku ya mwaka mpya

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
Kutokana na tishio la ugaidi afrika mashariki. Jeshi la polis alitotoa kibali kwa mtu yeyote kupiga fataki siku ya mwaka mpya.
Amesema wananchi awaelewi tofauti ya bomu na fataki hivo magaidi wanaweza piga bomu raia wakajua fataki.
jeshi la polis limeshawaandikia barua wale wote walioomba kupiga fataki kuwa limekataa.
Source ni Afande Kova.

Mimi binafsi nasikitika sana kuwazuia wananchi walioomba kibali kupiga fataki.

Fataki zinapigwa dunia nzima. Kuzuia ugaidi si kuzuia upigaji wa fataki
 
Leo ndo wanajifanya wana uchungu na Raia?
Mbona hawakuwakataza polisi kupiga na kuua watu wasio na hatia ktk ops Tokomeza?
 
Kwani ni Mwaka gani waliruhusu Fataki kupigwa huku Uswazi kwetu?si miaka yote wanakatazaga but Wahindi na hao wazito serikalini wanayapigaga huku tukishudia kwa Macho yetu,naona Mwaka huu wamepata kisingizio cha Ugaidi.
 
Fataki lazima tupige aisee, hiyo ni sababu isiyo na mashiko!:A S-baby:
 
Polisi wa nchi hii wana hamu sana na ugaidi!
Kila kitu ugaidi!! Kana kwamba wana uwezo wa kupambana nao.
 
Polisi wa nchi hii wana hamu sana na ugaidi!
Kila kitu ugaidi!! Kana kwamba wana uwezo wa kupambana nao.
lengo kubwa la kuanzisha huu wimbo wa ugaidi ni ili serikali ziweze kuweka sheria yeyote wanayojisikia...ugaidi upo tangu enzi za akina carlos,ila leo ni kama wana uadvertise.
 
Hawa jamaa kwa kukurupuka mimi wananichekeshaga kweli ile ishu ya ulimboka nilimwona mkubwa wao kaita wandishi wa habari jasho kinamtoka eti kakamata mtihumiwa kaenda kujisalimisha polisi mwisho wa siku jamaa anaonekana wala hahusiki na faini kayozwa buku ugali wetu kala wa bure segerea yaani hawa ni mwisho wa comed
 
Back
Top Bottom