Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limetangaza nafasi za kujiunga na mafunzo kwa wakujitolea, 2017

Wanasemaga kuwa jeshini kuna hela...
Cha ajabu baba yangu mdogo Mwanajeshi kambi yake ipo pale Kibamba Shule..
Amenitapeli 2,000,000 zangu nilizotaka kununua Kiwanja....
Mwezi wa tano huu namdai, ananizungsha tu...
Nikicheki maisha yake Poor tuu...
Na yupo jeshini tangu 1997, ana cheo kikubwa tu yeye ndio huwa anapokea na kuwa train Private wanaotoka kozi....

Sasa sijui hizo hela za jeshini ziko wapi....
Ama huwa ni uzushi tu wa watu...
 
IMG-20171115-WA0010.jpg
IMG-20171115-WA0009.jpg
IMG-20171115-WA0008.jpg
mchakato mzima wa mkoa wa IRINGA
 
Nimeiinulia mikono pitch ya udsm, round 8 pale sio poa kwa kweli, asikudanganye mtu. Mtu unaeza ukafa kama masihara, haishangazi kuona wengi wamezimia leo. Nlikua kwenye kundi la watu wanaokimbia hatari, binafsi ilifkia hatua mwili ukakataa ilihali akili na moyo vinataka, nkaona nkipiga hatua nyingine hata 1 tu naeza nkazima kweli. Nkaona isiwe kesi, ya nini nizime wakati miarobaini ya kivuli naiona
 
Back
Top Bottom