danhosnoop
JF-Expert Member
- Oct 21, 2014
- 2,721
- 10,523
Kila la kheri kwa wote waliofanikiwa kuendelea na hii safari, Mungu azidi kuwatia nguvu na kuwafanikisha katika safari yenu
hakuna ajira wasahau kabisa,tunawaandaa kama jeshi la akibaVijana watajazana sana huko jkt.. Sijui kama watapewa ujira
pole sana mkuu...hukutema nyongo kweli hhaahh....Nimeiinulia mikono pitch ya udsm, round 8 pale sio poa kwa kweli, asikudanganye mtu. Mtu unaeza ukafa kama masihara, haishangazi kuona wengi wamezimia leo. Nlikua kwenye kundi la watu wanaokimbia hatari, binafsi ilifkia hatua mwili ukakataa ilihali akili na moyo vinataka, nkaona nkipiga hatua nyingine hata 1 tu naeza nkazima kweli. Nkaona isiwe kesi, ya nini nizime wakati miarobaini ya kivuli naiona
Asante sana mkuu, ilifkia hatua nlishindwa kuendelea, nadhani ningeendelea kujifanya nakaza ningetema kweli nyongo. Acha kabisa mziki wa kukimbia mita 400 ×8 wakati wa jua la saa 7 mchana ilihali watu mmekaa chini tangu saa 11 alfajiri bila kula wala kunywa chochotepole sana mkuu...hukutema nyongo kweli hhaahh....
Pole sana mkuu... maisha popote si lazma jkt kwanza uhakika wa ajira hakuna kule....Asante sana mkuu, ilifkia hatua nlishindwa kuendelea, nadhani ningeendelea kujifanya nakaza ningetema kweli nyongo. Acha kabisa mziki wa kukimbia mita 400 ×8 wakati wa jua la saa 7 mchana ilihali watu mmekaa chini tangu saa 11 alfajiri bila kula wala kunywa chochote
Shukran mkuu, ndo maana baada ya kutambua hilo mnamo round ya 6 mwili ukiwa umekataa ilihali najua 8 ndo ingependeza sasa, nkaona bora nijilaze kwenye kivuli safi cha miarobain ili kuepusha maafa ambayo yangeweza kujitokezaPole sana mkuu... maisha popote si lazma jkt kwanza uhakika wa ajira hakuna kule....
Unaweza lima miaka yote then ukaambulia kurudi nyumbani mikono mitupu...
tuko pamoja mkuu....Shukran mkuu, ndo maana baada ya kutambua hilo mnamo round ya 6 mwili ukiwa umekataa ilihali najua 8 ndo ingependeza sasa, nkaona bora nijilaze kwenye kivuli safi cha miarobain ili kuepusha maafa ambayo yangeweza kujitokeza
Leo kidogo waliwaonea huruma maana ss tulienda round 12 mkuuShukran mkuu, ndo maana baada ya kutambua hilo mnamo round ya 6 mwili ukiwa umekataa ilihali najua 8 ndo ingependeza sasa, nkaona bora nijilaze kwenye kivuli safi cha miarobain ili kuepusha maafa ambayo yangeweza kujitokeza
Asante sana mkuu, ilifkia hatua nlishindwa kuendelea, nadhani ningeendelea kujifanya nakaza ningetema kweli nyongo. Acha kabisa mziki wa kukimbia mita 400 ×8 wakati wa jua la saa 7 mchana ilihali watu mmekaa chini tangu saa 11 alfajiri bila kula wala kunywa chochote
Kila la kheri kwa wote waliofanikiwa kuendelea na hii safari, Mungu azidi kuwatia nguvu na kuwafanikisha katika safari yenu
Nimeiinulia mikono pitch ya udsm, round 8 pale sio poa kwa kweli, asikudanganye mtu. Mtu unaeza ukafa kama masihara, haishangazi kuona wengi wamezimia leo. Nlikua kwenye kundi la watu wanaokimbia hatari, binafsi ilifkia hatua mwili ukakataa ilihali akili na moyo vinataka, nkaona nkipiga hatua nyingine hata 1 tu naeza nkazima kweli. Nkaona isiwe kesi, ya nini nizime wakati miarobaini ya kivuli naiona
Shukran mkuu, ndo maana baada ya kutambua hilo mnamo round ya 6 mwili ukiwa umekataa ilihali najua 8 ndo ingependeza sasa, nkaona bora nijilaze kwenye kivuli safi cha miarobain ili kuepusha maafa ambayo yangeweza kujitokeza
Tulifika saa 11 kasoro alfajiri mkuu, na jana walitupiga mkwara kinoma kua nidhamu ya kuwahi ndo inaanza kupimwa hapo, na kweli waliochelewa wakawekwa pembeni, ingawa walisamehewa baadae. Baadae wakasema wanasubiri kijua kianza kutoka saa 2 asubuh mchakato uanze, na wakaanza na la saba na kuendelea, ambao walikua kibao, wakawekwa vikundi vya watu 20 20, wengine tumekalishwa chini kusubiri. Sisi ndo tukawa wa mwisho. Inafika zamu yetu tayari ni saa 7 na ushee mchana, jua limechanganya balaa na mtu ushachoka kwa kukaa chini tangu 11 alfajiri bila kutia chochote mdomoni, hata maji. Kundi letu tulianza 20 kama kawaida, ila round ya 6 tukabaki kama wanne au watano hivi, na mi ndo hali yangu ikawa tete nkajilaza kwenye miarobaini. Mwishon kama ilivyo kawaida wakachkuliwa watatu wa kwanza na shughuli ndo ikaishia hapoWait...
Umesema mlikaa chini tangu saa 11 alfajiri, ilikuaje mkakaa hivo...
Kwani mliambiwa mfike muda huo hapo UDSM kuanza kukimbia?? Sasa iweje mkakimbia saa saba mchana??
Muda wote toka alfajiri mpaka mchana huo mlikua mnafanya nini...
Ni kweli mlifika saa 11 alfajiri kweli na huu usafiri shida wa Dar...
Nlifkiria hivyo pia mkuu, ila nkaskia wilaya karibu zote deadline tayari, ingawa sikua na uhakika na hiyo taarifa. Ningejua wilaya gani bado ningeenda chap, naskia mikoani hamna msoto kama ule wa udsmMkuu...
Kama bado una maganzi na kihangaiko, si ukimbie kwenye wilaya zingine ambazo usaili bado haujamalizika ukajaribu tena bahati yako... Mfano hata mkoani huko... Kwani wilaya zote wanafanya usaili simultaneously??
Mbona nasikia zingine tayari, zingine bado... Dandia wilaya zingine mkuu...
Hongera sana mkuu, wilayani ndo kugumu siku zote, mliopita wilayani mpo pazuritunashukuru kwa tuliopita kwa ngaz ya wilaya mkoa wa lindi, tunasubil mkoa sasa
Round 12?? Aisee. Kwa ambae hajapiga round pale anaeza chkulia masihara, ila shughuli ya pale ni pevuLeo kidogo waliwaonea huruma maana ss tulienda round 12 mkuu