mbwiganyuki
Senior Member
- Nov 3, 2012
- 156
- 105
wewe ni afisa usalama?
Usiri kama wa Meremeta...Kama huo ndio utaratibu wa sasa mbona hauna transparency au ndio mambo ya jeshi ambapo usiri unatukuzwa sana?
Je ni lazima utaje unamapenzi na chama gani kati ya chadema na CCM?jamani humu ndan watu wengi inaelekea wanataka nafasi za jeshi kiukweli jeshi kuanzia mwaka 2011 utaratibu umebadilika cha msingi kama unania kweli ya kwena jeshi tuma barua yako kwenda kwa MKURUGENZI WAJIRI WA JWTZ,S.L.P 9203,DAR-ES-SALAAM.....POINT YA MSING UKUBALI KUANZIA JKT HATA MWAKA MMOJA TUMA SS USISUBIR MPAKA WATANGAZE KOZI NAFASI ZAWEZA KUWA NDOGO KUTOKANA NA WATU WENG WANATUMA SASA.............huo ndo msaada wangu kwa wanaotaka jeshi
huyo jamaa muongo jeshi bado hawajatangaza kazi, ila kuna nafasi za kujitolea kwa anayetaka kujiunga na JKT zimetangazwa, kwa taarifa zaidi nenda ofisi yeyote ya mkuu wa wilaya unayoishi kwa taarifa zaidi za jinsi ya kuomba na kufahamu deadlineni ushauri au msaada ndugu sijakusoma?
Ipo siku ukweli utajulikana!Usiri kama wa Meremeta...
Siku nitakapopewa nyota ya kwanza!
Sitaamini macho yangu!
jeshin heshima kwanza elimu nyuma....................baada ya hapo utapata nyota kama shanga
Mie nasubiri mpaka mwaka 2015, najua wakati huo mishahara na marupurupu vitaboreshwa na chama langu la CHADEMA.