Askari wa miguu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2011
- 344
- 124
hahaaaaaa hapa sikibaliani na wewe,wataalqm hawaendi huko ila kwa wale wa kawaida ndo wanaenda huko
Usijidanganye halaf ngoja niwaambie msije mkaniona nabii mwezi January litatoka tangazo la wataalam degree holders kwenda TMA moja kwa moja kwa kada 4 tu za Medicine, Architects, Meteorology na nyingine ya 4 nimeisahau(lakini cyo Telecom wala Engineering yoyote), kama huamini kaulize source yako unayoiamini wakupe uhakika wa hii information lakin kwa sababu zangu binafsi this as far as I can tell cwez kusema source yangu mnisamehe!
The rest of graduates wa kada nyingine jitahidi tu uende JKT kwanza then ubahatike uende TMA lakini kama unangoja entry to JWTZ moja kwa moja utasubiri sana, ila uzuri wa JKT ni kwamba vyombo vyote vya ulinzi nai usalama vitaanza kuchukua watu kutoka kule so Police, Magereza, Usalama wa Taifa, Uhamiaji, Takukuru wanachukuaga pia JKT so ucfikirie Jeshi tu kwa hyo JKT yako think of sumwhere outside the box, nawasilisha!
wewe umepata wapi hizi habari?jamani humu ndan watu wengi inaelekea wanataka nafasi za jeshi kiukweli jeshi kuanzia mwaka 2011 utaratibu umebadilika cha msingi kama unania kweli ya kwena jeshi tuma barua yako kwenda kwa MKURUGENZI WAJIRI WA JWTZ,S.L.P 9203,DAR-ES-SALAAM.....POINT YA MSING UKUBALI KUANZIA JKT HATA MWAKA MMOJA TUMA SS USISUBIR MPAKA WATANGAZE KOZI NAFASI ZAWEZA KUWA NDOGO KUTOKANA NA WATU WENG WANATUMA SASA.............huo ndo msaada wangu kwa wanaotaka jeshi
ama kweli njaa ni kitu kibaya sana, yani wasomi wazima mnaufanyia kazi huo uvumi! mtakuja mchunwe ngozi nyinyi kwa papara ya ajira na kutokua makini
TMA ndo nini tena
mie nasubiri mpaka mwaka 2015, najua wakati huo mishahara na marupurupu vitaboreshwa na chama langu la chadema.
Tanzania Military Academy, (9huo cha Kijeshi,Monduli) maalum kwa ajili ya mafunzo ya Uafisa Jeshi!
sifa za kujiunga na jwtz ni zipi?
Wametangaza lini wewe jamaa?
KILIMO KWANZA... itafika kipindi mtaambiwa hata mgambo nao wanaajiri graduates, na bado nafasi zitakuwa ngumu kupatikana.Fanyeni yenu,umri unatoka nduki kama Usain Bolt.
sijui niende nikajiunge ili nipate nafasi ya kwenda malawi? nitawatofoatofoa wale kina banda kwenye masaburi na risasi hadi wangekoma.