Mie nasubiri mpaka mwaka 2015, najua wakati huo mishahara na marupurupu vitaboreshwa na chama langu la CHADEMA.
kaka hivi nafasi zilizo tangazwa juzi juzi hapa zimeishia wapi? naombeni kujuwa
Nlivyockia saiv lazma uende JKT kwanza ili kujua uzalendo wako c kutaka nyota kizembe.
jamani humu ndan watu wengi inaelekea wanataka nafasi za jeshi kiukweli jeshi kuanzia mwaka 2011 utaratibu umebadilika cha msingi kama unania kweli ya kwena jeshi tuma barua yako kwenda kwa MKURUGENZI WAJIRI WA JWTZ,S.L.P 9203,DAR-ES-SALAAM.....POINT YA MSING UKUBALI KUANZIA JKT HATA MWAKA MMOJA TUMA SS USISUBIR MPAKA WATANGAZE KOZI NAFASI ZAWEZA KUWA NDOGO KUTOKANA NA WATU WENG WANATUMA SASA.............huo ndo msaada wangu kwa wanaotaka jeshi
Nlivyockia saiv lazma uende JKT kwanza ili kujua uzalendo wako c kutaka nyota kizembe.