upendodaima
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 4,086
- 4,521
Huwa sielewi kwann manabii wote walikuwa wanajazana mashariki ya kati tu.
Humu tutalumbana bure tu ngoja nifafanue kidogo juu ya swala la JERUSALEM
MSIKITI WA AL-AQSAA ULIOPO JERUSALEM ULIJENGWA NA MAJIINI WALIOMARIWA NA NABII SULEIMAN
NABII SULEIMAN ALIPEWA KAMA MGUVU FLANI NA MWENYEZI MUNGU WA KUONGEA NA WANYAMA WOTE WADUDU MAJINNI
KWA UJUMLA VIUMBE HAI VYOTE VYA DUNIANI NI NABII SULEIMAN PEKEE NDIO ALIEJAALIWA NA ALLAH KUWEZA KUONGEA NAO
WAKATI UJENZI UNAKARIBIA KUMALIZIKA WA HUO MSIKITI,NABII SULEIMAN AKIWA AMEKAA KTK KITI CHAKE ALIFARIKI HAPO HAPO HUKU KICHWA CHAKE KIKIWA KIMEINAMIA BAKORA,WALE MAJINNI WAKAJUA BOSS WAO KAPUMZIKA TU WAKAWA WANAENDELEA NA KAZI USIKU NA MCHANA KUMALIZIA UJENZI
MCHWA WALIANZA KUITAFUNA BAKORA YA NABII SULEIMAN PINDI BAKORA INAANGUKA NA NABII SULEIMAN ALIANGUKA NDIO HAO MAJINNI WAKAJUA KUA MFALME WAO KAFARIKI
HAPO TAYARI UJENZI UMESHA ISHA
HUO MSIKITI KUTA ZAKE PAMOJA NA NGUZO ZAKE HAKUNA BINAADAM ANGEWEZA KUUBEBA
WAKATI WA UJENZI,
VILEVILE NDANI YA HUO MSIKITI KUNA MANENO YA QURAAN YAMEANDIKWA KWA DHAHABU
Sasa tukirudi nyuma Nabii Suleiman alikuwa ni MYAHUDI LKN NI MUISLAM alitumwa kuja kueneza uislam kwa hekma za Allah kumteua myahudi ili kwamba wayahudi wenzie walikua wanakufuru saana na hakuna dini
inaitwa yahudi yahudi ni kabila
Papo hapo NABII SULEIMAN ALIKUJA KABLA YA NABII ISSA(yesu)
Baada ya nabii ISSA KUJA ALIKUJA NA KITABU CHA INJILI(biblia)
Ukitaka kuamini chukua biblia agano la kale fungua BARNABA YA 7 inasema hivi na mtume atakaekuja wa mwisho ni mtume Muhamad
Tatizo BIBLIA WAMEICHAKACHUA HIO BARNABA YA 7 IMEONDOLEWA LKN BIBLIA ZINGINE ZINAZO JAPO NI CHACHE SAAANA ZENYE NAZO
SASA WANAJAMVI WENZANGU DINI NI IMANI NA KILA MMOJA ANAHAKI YA KUABUDU DINI ANAYO IAMINI YEYE
KWA HIVYO HAINA HAJA YA KUKASHIFIANA DINI WALA KUTOLEANA MANENO YASIO NA HESHIMA KILA MMOJA ANA DINI YAKE NA MUNGU WETU NI MMOJA
Wajinga Sana hao,,,anaiombea baraka nchi ambayo haina faida kwake,,wakati bibi yake yupo kule Mwarusembe anashindia mihogokua mzalendo,
God bless Tanzania.
Lol.
Wajinga Sana hao,,,anaiombea baraka nchi ambayo haina faida kwake,,wakati bibi yake yupo kule Mwarusembe anashindia mihogo





Hahaha
Ndio maana kila siku tunasema bora utawaliwe vyooooote ila sio akili, aiseee utumwa wa fikra ni mbaya sana na unakula mind from generation to generation.
tena hakuna viumbe wabaya kama wayahudi kwa muafrica, sitasahau huyo waziri wao alivyowauwa our brothers and sisters walioenda kujitafutia riziki na akasema kabisa "Muafrica ni kama kansa akiingia lazima akatwe haraka kabla hajaenea..."
Na dunia ilikaa kimya hata haki za binadamu
leo eti wa sigimbi mwenzangu anasimamisha mishipa ya shingo na kumtetea muyahudi na kumtukuza eti chaguo la Mungu, how abt u?? chaguo la shetan au??
So sad and pathetic.
R.I.P BOB MARLEY.
Ndio nawasikitikia hapa, kuna mmoja anasema eti 'God bless Israel' lolHahaha
Sipendelei kushiriki kwenye thread kama hizi.
Lakini ndugu zetu wa ------- wanafikiri wayahudi ni ndugu zao wa karibu kabisa kuliko hat jirani zake, wakati wayahudi wenyewe wanajiona ni bora na watu wengine ni m**bwa na m*ny*ni 2, na hii imo katika dini yao.
Hahaha
Sipendelei kushiriki kwenye thread kama hizi.
Lakini ndugu zetu wa ------- wanafikiri wayahudi ni ndugu zao wa karibu kabisa kuliko hat jirani zake, wakati wayahudi wenyewe wanajiona ni bora na watu wengine ni m**bwa na m*ny*ni 2, na hii imo katika dini yao.
Ushabiki mwingine ni wa kijinga tu!nyinyi mlipotangaza mji wenu mkuu utakuwa dodoma mlimuuliza nani?mlitaka nani awakubalie?tunapoteza muda mwingi kwa mambo ya kipuuzi....kuna wengine wanadhani labda Mungu anaishi huko!Mji wa Jerusalem
Kumekuwa na mzozo wa muda mrefu kuhusu udhibiti wa mji wa Jerusalem kati ya Waisraeli na Wapalestina.
Mji huo kwa sasa huwa umegawanywa mara mbili, Jerusalem Mashariki na Jerusalem Magharibi.
Jerusalem ya Magharibi hutazamwa na Israel kama mji wake mkuu nayo Jerusalem Mashariki hutazamwa kuwa mji mkuu wa taifa la Wapalestina (litakapoundwa), ingawa eneo hilo bado kwa kiwango kikubwa limetawaliwa na Israel tangu vita vya 1967.
Tangu wakati wa vita hivyo, Israel imejengwa nyumba za walowezi wa Kiyahudi takriban 200,000 ambao huishi Jerusalem Mashariki, hatua iliyoshutumiwa na jamii ya kimataifa. Eneo hilo huishi Wapalestina takriban 370,000.
Israel ilitangaza 1980 Jerusalem yote kuwa mji wake mkuu wa milele, lakini nchi nyingi duniani hazikubali azimio hilo.
Hivyo basi, balozi za nchi za kigeni katika Israel ziko nje ya Jerusalem, katika mji wa Tel Aviv.
Mzozo huo umefufuliwa tena kutokana na hatua ya Rais Donald Trump wa Marekani kutarajiwa kuutambua mji huo kama mji mkuu wa Israel.
Mataifa mengi ya Kiarabu yameshutumu hatua hiyo ya Bw Trump na kusema itazidisha uhasama Mashariki ya Kati.
Lakini ni kwa nini mji huu huzozaniwa hivyo? Mwandishi wa BBC Erica Chernofsky anachambua.
Dini tatu
Mji huu huwa na umuhimu mkubwa kwa dini tatu kuu - Ukristo, Uislamu na Uyahudi. Dini zote tatu humuangazia Abraham anayetajwa kwenye Biblia na Koran kama mmoja wa waanzilishi au mababu wa imani.
Ni mji ambao umedhibitiwa na dini hizo kwa vipindi mbalimbali katika historia.
Kwa Kiebrania, mji wa Jerusalem hufahamika kama Yerushalayim na kwa Kiarabu al-Quds. Kwa Kiswahili, jina lake halisi ni Yerusalemu. Mji huo ni miongoni mwa miji ya kale zaidi ambayo ipo hadi sasa duniani.
Ni mji ambao umetekwa, ukabomolewa na kuharibiwa na kisha kujengwa tena.
Kila sehemu ya ardhi yake ukichimba kwenda chini hufichua enzi fulani katika historia yake.
Ingawa umekuwa chanzo cha ubishi na mzozano kati ya dini mbalimbali, dini zote huungana kwa pamoja kuungama kwamba ni eneo takatifu.
Ndani yake kuna Mji Mkongwe, ambao una njia nyembamba, vichochoro na nyumba za kale. Kuna maeneo manne makuu na kila eneo, majengo huwa tofauti. Kuna eneo la Wakristo, Waislamu, Wayahudi na Waarmenia. Eneo hilo huzungukwa na ukuta mkubwa wa mawe. Hapo, kunapatikana baadhi ya maeneo yanayoaminika kuwa matakatifu zaidi duniani.
Kila eneo kati ya maeneo hayo manne (unaweza kuyaita mitaa) huishi watu wa aina moja. Wakristo wana maeneo mawili, kwa sababu Waarmenia pia ni Wakristo. Eneo lililotengewa Waarmenia, ambalo ndilo ndogo zaidi kati ya hao manne, lina vituo vya kale zaidi vya Waarmenia duniani.
Jamii ya Waarmenia imehifadhi utamaduni wake wa kipekee ndani ya Kanisa la St James na nyumba kubwa ya utawala. Maeneo hayo mawili yamechukua sehemu kubwa ya mtaa huo wa Waarmenia.
Kanisa
Ndani ya mtaa wa Wakristo, kuna Kanisa Kuu la Kaburi na Ufufuo wa Yesu Kristo, ambalo ni muhimu sana kwa Wakristo kote duniani.
Hupatikana katika eneo ambalo lina umuhimu mkubwa katika kisa cha kusulubiwa, kufariki na kufufuka kwa Yesu.
Kwa mujibu wa utamaduni wa Kikristo, Yesu alisulubiwa hapo, katika Golgotha, au mlima wa Calvary. Kaburi lake linapatikana ndani ya kanisa hilo la kaburi na inaaminika kwamba hapo ndipo alipofufuka.
Kanisa takatifu lafunguliwa Israel
Chumba alimozikwa Yesu chafunguliwa tena Israel
Kanisa hilo husimamiwa kwa pamoja na madhehebu mbalimbali ya Kikristo.
Sana huwa ni wahudumu wa kanisa la Kiothodoksi la Ugiriki, watawawa na mapadri wa Francisca kutoka Kanisa Katoliki la Roma na wengine kutoka kanisa la Waarmenia.
Kuna pia wahuudmu kutoka kanisa la Waothodoksi kutoka Ethiopia, Coptic na Syria.
Ni eneo ambalo mamilioni ya mahujaji wa Kikristo husafiri kila mwaka kwenda kuliona kaburi wazi la Yesu na kutafuta ufunuo na kuomba katika eneo hilo.
Msikiti
Mtaa wa Waislamu ndio mkubwa zaidi kati ya maeneo hayo manne na ndani yake kunapatikana madhabahu ya Dome of Rock (Kuba ya Mwamba) na Msikiti wa al-Aqsa kwenye eneo linalofahamika na Waislamu kama Haram al-Sharif, au Mahali/Hekalu Patakatifu.
Msikiti huo ndio eneo la tatu kwa utakatifu katika dini ya Kiislamu na husimamiwa na wakfu wa Kiislamu ambao hufahamika kwa Kiarabu kama Waqf.
Waislamu huamini kwamba Mtume Muhammad alisafiri kutoka hapo hadi Mecca usiku na aliomba pamoja na roho za manabii wengine wote. Hatua chache kutoka hapo kunapatikana Dome of the Rock (Kuba ya Mwamba) ambapo kuna jiwe la msingi. Waislamu huamini kwamba ni kutoka hapo ambapo Mtume Muhammad alipaa mbinguni.
Waislamu hutembelea eneo hilo takatifu kila wakati katika mwaka, lakini kila Ijumaa wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadhan, mamia ya malelfu ya Waislamu hufika kuomba kwenye msikiti huo.
Ukuta
Katika mtaa wa Wayahudi, kunapatikana Kotel, au Ukuta wa Magharibi ambao ni masalio ya ukuta wa nje uliozunguka lililokuwa Hekalu Takatifu.
Ndani ya hetalu hilo kulikuwa na Patakatifu pa Patakatifu, eneo takatifu zaidi katika dini ya Kiyahudi.
Wayahudi huamini kwamba hapo ndipo kulikuwa na jiwe la msingi ambapo kutoka kwake dunia iliumbwa.
Kadhalika, wanaamini ni hapo ambapo Abraham alikuwa amejiandaa kumtoa kafara mwanawe Isaac. Wayahudi wengi huamini kwamba Dome of the Rock ndipo lilipokuwa eneo takatifu zaidi ndani ya hekalu lililofahamika kama Patakatifu pa Pat
Leo hii, Ukuta wa Magharibi ndilo eneo la karibu zaidi ambalo Wayahudi wanaweza kufanya maombi yao.
Husimamiwa na Rabbi wa Ukuta wa Magharibi na kila mwaka hutembelewa na mamilioni ya mahujaji.
Wayahudi kutoka kila pembe ya dunia hutembelea eneo hilo kuomba na kukumbuka utamaduni wao, hasa nyakati za siku kuu za kidini.
Ukuta huo pia hufahamika kama Ukuta wa Maombolezo.
Chanzo BBC
wengine wanadhani ni mji mtakatifu!huko kumejaa kila aina ya uchafu!Jerusalem hautuhusu!waachie wenyewe....tupambane na hali yetu!Shida za ndugu zangu wa tz wanayo elimu katika kiganja chao lakini hawataki kuitumia kwa kuendeleza nchi yao. Wanafikiri wao wanapendwa saana na mayahudi. Wakati ukienda israel wayahudi weusi wako kwenye detention center kama wakimbizi. Na hao ni dini moja na kabila moja.Wakristo unafikiri wao wanalitambua ilo, ,wao kutwa wanaomba Mungu aibariki israel, ,,Taifa Lao wanasahau kuliombea njaa zimewashika hadi mbele hawaoni,,,,wanashindia viwavi jeshi,,,,
kweli ngozi nyeusi ni mtihani
Wenzio hawajui ilo,,wao kutwa na usemi wao MUNGU AIBARIKI ISRAEL " anashindwa hata kuliombea taifa lake baraka,, babu zake wanashindia mizizi huko matombo Morogoro, ,yeye anaiombea Baraka israelShida za ndugu zangu wa tz wanayo elimu katika kiganja chao lakini hawataki kuitumia kwa kuendeleza nchi yao. Wanafikiri wao wanapendwa saana na mayahudi. Wakati ukienda israel wayahudi weusi wako kwenye detention center kama wakimbizi. Na hao ni dini moja na kabila moja.
Na kwa myahudi hakuna dini anayoichukia kama ukristo.
Afadhali ya myahudi kuliko muislam!Wayahudi au uyahudi wanawawekak wakiristo na waislam kundi moja tu, hawajawahi kumkubali Yesu kama mtume wao kamwe, na wakiristo wa Israel na mashariki ya kati wanaua hili , ndio maana juzi waliandamana na kutoa tamko kwamba Jerusalem ibaki kama City of peace kwa dini zote, tatizo humu watu sio wafuatiliaji wa mambo ..... wakristo wa Israel wanapata shida sawa na wenzao wailam juu ya mayahudi , mimi nilikutana na mkiristo mkimbizi wa kipalestine kule Iraq na ni mkimbizi kwa sababu ya hao hao, ila huku kwetu tunafikiri uyahudi ni ukiristo .... uyahudi ni dini tofauti kabisa na wale conservative wanamchukulia Yesu kama nabii wa uongo, ni uislam tu ndio wanamuamini Yesu katika dini zote zisizo za kikiristo

Hahahahaaa kakuvurugaeee,HAYA TUFAHAMISHE SASA HUO MSIKITI ULIJENGWA JUZI NA KINA NANI??
Wewe unasema uislamu umekuja juzi tu
Haya naomba ANDIKO KATIKA KITABU CHAKO UNACHOKIAMINI LINAYOSEMA KUA KRISTO NI DINI
NIPE ANDIKO
Nikizama saana kidini saana saana huu uzi utafungiwa tu,
Huo msikiti wa Al-Aqsaa unaufahamu vizuri historia yake???hebu nenda kwanza ukaoge half ukaanze kuchota maji kisimani
Utaniharibia siku bure tu kuanza kulumbana na matoto
duh...hakuna kitu kama hiki.Sheikh, Quraan ni mjumuiko wa vitabu vifuatvyo, Zaburi ya Daudi, Injil ya Yesu ( Issa) , Tourat ya Mussa na Furqan ya Muhammad ( SAW), na uislam haukuazia kwa Muhhamad, bali yeye ndie mtume wa mwisho .... na Mitume wote walikua waislam ... Allahu aalam
Wayahudi hawamuamini Yesu, na wala hawatamuamini,wanamuita mtoto wa nje ya ya ndoa.Acha kulishwa matangopori na mashehe ubwabwa
Wayahudi wanatumia biblia ya agano la kale ambayo na wakristo wanaitumia
Na sio wayahud wote wanaupinga ukristo,
Na Agano la kale limesema MWISHO WA SIKU WAYAHUDI watamkubali KRISTO
Sasa msitake kuleta chuki zenu dhid ya WAYAHUDI muzipandikize kwa wakristo,
Uislamu ndio unapingana na uyahudi na ukristo
Maana mna mkataa YESU sio mwana wa Mungu na sio Mungu
Wakati biblia ya kiyahudi inasema YESU NI MUNGU
Wakati mtume Muhammad "saw" alipoanza ibada ya swala aliamrishwa na mwenyezi Mungu kuilekea Masjid Agsa (Jerusalem). Kama kibra. Baadaye mwenyezi mungu mwenyewe alimbadirishia kuwa aifanye Kibra kuwa Masjid Harram (Macca). Hata hivyo Msikiti wa Maka, Madina na huo wa Agsa ndiyo misikiti mitakatifu kwa majibu wa uislam.Mkuu,
Imekuwaje sasa hiyo kibla ikahamia Mecca toka Jerusalem? Ina maana kuna kibla mbili? sasa inakuwaje mnaelekea katika kibla moja wakati ziko mbili?
Kwa hiyo kwa islam mji wa Jerusalem ni mtakatifu kidogo I mean unaburuza mkia kwa utakatifu kulinganisha na mitakatifu mingine miwili?Uhusiano uliopo ni kwamba kabla al kaaba(kibra) iliyopo sasa katika msikiti wa mecca ambapo waislam wanaenda kuhiji na ambapo ni eneo takatifu zaidi kaaba(kibra) ya mwanzo ilikuwa katika msikiti wa al aqsa huko Yerusalem.