Jerusalem kwa mujibu wa BBC

Jerusalem kwa mujibu wa BBC

Katika huu Uzi umenisoma vizuri? Umeona sehemu nimeiongelea Jerusalem? Kikubwa nimekanusha ulichoongea jaribu kupitia vizuri, pia nashukuru nimekuelewa zaidi juu ya uelewa wako katika imani
Honestly speaking imani ya kiislam sina uchanya wowote nayo kutokana na misingi yake ya uwongo uwongo, unyang'anyi na ukatili ukiongozwa na hila.

Nilichotaka ni justification ya kung'ang'ania Jerusalem and nothing else.
 
Mikristo isiyojua nini maana ya kuishi kwa kuvumiliana ndiyo inayosapoti Israel kujimilikisha Yerusalem yote wakati huo kumbukeni wakimaliza watoa waislamu watarudi dai na eneo la wakristo pia!!...
Yerusalem inabidi ibaki eneo la dini zote hata freemason na wasio na dini kama vipi wapate eneo tuu!!..

Kama yalikuwa maeneo yao na waliahidi kuyakomboa, iwe ya wakristu ama waisilamu kama imeandikwa hivyo "hamna namna" wachukue tu!!
 
Wakati mtume Muhammad "saw" alipoanza ibada ya swala aliamrishwa na mwenyezi Mungu kuilekea Masjid Agsa (Jerusalem). Kama kibra. Baadaye mwenyezi mungu mwenyewe alimbadirishia kuwa aifanye Kibra kuwa Masjid Harram (Macca). Hata hivyo Msikiti wa Maka, Madina na huo wa Agsa ndiyo misikiti mitakatifu kwa majibu wa uislam.
Kwanini Jambo hili hakuliandika kwenye Quran? wakati hicho ndio kitabu chenu na mnakiabudu sana, kama ilivyo Biblia kwa Wakristo. Je unajua kuwa Jerusalem ni ya Wayahudi na sio Waarabu?
 
Yerusalemu ni mji wa waislamu pekee hao wengine ni wakorofi na uzandiki.Ipo siku uislamu utatawala dunia !! Eeeh Mwenyezi Mungu tuokoe waja wako kutokana na vitimbi vya marekani na Israeli.
Najua wewe ni Muislamu, unaamini katika maandiko, Je unamjua Nabii wenu Suleiman Bin Daud?, Na unamjua Nabii wenu Daud? Unajua kama wao ni Wayahudi? Waliishi wapi?
 
Kwanini Jambo hili hakuliandika kwenye Quran? wakati hicho ndio kitabu chenu na mnakiabudu sana, kama ilivyo Biblia kwa Wakristo. Je unajua kuwa Jerusalem ni ya Wayahudi na sio Waarabu?
Mkuu, ningeweza kukupa maelezo mengi yenye kuweza kukata kiu yako, lakini kwa mwenendo wa Uzi huu ambapo watu wazima wameamua kuzifungia akili zao kabatini na kujileta hapa wakiwa na ushabiki wa kidini. Hivyo tafuta muda ujifunze sababu ya uislam kutambua al Quds kuwa mahali patakatifu. Vinginevyo muongozo wa Uislam si kama ukristo. Uislam ni Qurani na Sunnah. Kwahiyo kama umekosa aya kwenye Qurani yenye kukuongoza tafuta mwongozo kwenye Sunnah.
 
Naona umeamua kunipiga Siasa. Sunnah nacho ni kitabu?
 
Umeshawahi kusoma Historia?
Mkuu, naomba niishie hapa, siasa za mashariki ya kati nazitambua vema kabla na baada ya kristo. Pia kabla kusambaratika kwa mayahudi kutafuta malisho duniani. Na hata baada ya mayahudi kuokotezwa duniani na kwenda kulundikwa mahali walipo leo. Mkuu naishia hapa, endelea kuisoma makala ya BBC kwa kuirudia huenda baadhi ya maswali yako yakapata majibu.
 
Sawa Mkuu,
Naomba unijibu jambo moja tu, Daudi na Suleiman hawajawahi kuitawala Israel? Jibu ni Yes or No.
 
Hivi Suleman alijenga huo msikiti?

Maana tunajua alijenga hekalu

Huo msikiti umejengwa karne za juzi tu

Why waislamu mnalazimisha yerusalemu uwe mji wenu?

Neno israeli lina maana yake kibiblia , ,nyie kwenye koran hamjui hata maana ya Israeli

Mnadanganya watu eti ibrahimu alikuwa muslim

Wakat uislamu umekuja juzi juzi na muhamad ,before hakuna hata chembe ya history kuwa kuliwahi kuwepo na kitu kinaitwa islamu ,
Huo msikiti umejengwa na nabii Ishak mtoto wa nabii Ibrahimu ambaye ndiye chimbuko la mitume wote nabii Isa na nabii Muhammad.
Kufanya kejeli katika imani za watu si jambo jema na wala haliwezi kutoa ufumbuzi hapa Tanzania familia nyingi zimechanganyika.
 
Waislam baba yao ni mtoto wa nje ya ndoa hivyo wanachotaka ni urithi tu.
 
Huyu jamaa kwa mengine yupo vizuri sana inapofika kwenye imani ndio utajua udhaifu wake ulipo yaani hata yeye anakuwa hajijui hakawii kukwambia yeye ni kondoo
Nishawahi kuona posts zake huyo jamaa! Huwezi kutaja watu 5 JF; au hata 3 wenye chuki kali za kidini halafu ukamwacha huyo jamaa! In short, ni miongoni mwa watu niliowadharau sana hapa JF manake mtu huwezi kufunikwa na chuki kama za huyo jamaa
 
067f0b77fa6a3f9d93ae38ced5544cf1.jpg
 
Nishawahi kuona posts zake huyo jamaa! Huwezi kutaja watu 5 JF; au hata 3 wenye chuki kali za kidini halafu ukamwacha huyo jamaa! In short, ni miongoni mwa watu niliowadharau sana hapa JF manake mtu huwezi kufunikwa na chuki kama za huyo jamaa
Kumbe jamaa sio eeehh???
 
Humu tutalumbana bure tu ngoja nifafanue kidogo juu ya swala la JERUSALEM

MSIKITI WA AL-AQSAA ULIOPO JERUSALEM ULIJENGWA NA MAJIINI WALIOMARIWA NA NABII SULEIMAN
NABII SULEIMAN ALIPEWA KAMA MGUVU FLANI NA MWENYEZI MUNGU WA KUONGEA NA WANYAMA WOTE WADUDU MAJINNI
KWA UJUMLA VIUMBE HAI VYOTE VYA DUNIANI NI NABII SULEIMAN PEKEE NDIO ALIEJAALIWA NA ALLAH KUWEZA KUONGEA NAO
WAKATI UJENZI UNAKARIBIA KUMALIZIKA WA HUO MSIKITI,NABII SULEIMAN AKIWA AMEKAA KTK KITI CHAKE ALIFARIKI HAPO HAPO HUKU KICHWA CHAKE KIKIWA KIMEINAMIA BAKORA,WALE MAJINNI WAKAJUA BOSS WAO KAPUMZIKA TU WAKAWA WANAENDELEA NA KAZI USIKU NA MCHANA KUMALIZIA UJENZI
MCHWA WALIANZA KUITAFUNA BAKORA YA NABII SULEIMAN PINDI BAKORA INAANGUKA NA NABII SULEIMAN ALIANGUKA NDIO HAO MAJINNI WAKAJUA KUA MFALME WAO KAFARIKI
HAPO TAYARI UJENZI UMESHA ISHA
HUO MSIKITI KUTA ZAKE PAMOJA NA NGUZO ZAKE HAKUNA BINAADAM ANGEWEZA KUUBEBA
WAKATI WA UJENZI,
VILEVILE NDANI YA HUO MSIKITI KUNA MANENO YA QURAAN YAMEANDIKWA KWA DHAHABU

Sasa tukirudi nyuma Nabii Suleiman alikuwa ni MYAHUDI LKN NI MUISLAM alitumwa kuja kueneza uislam kwa hekma za Allah kumteua myahudi ili kwamba wayahudi wenzie walikua wanakufuru saana na hakuna dini
inaitwa yahudi yahudi ni kabila
Papo hapo NABII SULEIMAN ALIKUJA KABLA YA NABII ISSA(yesu)
Baada ya nabii ISSA KUJA ALIKUJA NA KITABU CHA INJILI(biblia)
Ukitaka kuamini chukua biblia agano la kale fungua BARNABA YA 7 inasema hivi na mtume atakaekuja wa mwisho ni mtume Muhamad

Tatizo BIBLIA WAMEICHAKACHUA HIO BARNABA YA 7 IMEONDOLEWA LKN BIBLIA ZINGINE ZINAZO JAPO NI CHACHE SAAANA ZENYE NAZO

SASA WANAJAMVI WENZANGU DINI NI IMANI NA KILA MMOJA ANAHAKI YA KUABUDU DINI ANAYO IAMINI YEYE
KWA HIVYO HAINA HAJA YA KUKASHIFIANA DINI WALA KUTOLEANA MANENO YASIO NA HESHIMA KILA MMOJA ANA DINI YAKE NA MUNGU WETU NI MMOJA
Kwa hiyo Msikiti wa Al Aqsa ndio Hekalu la Mfalme Selemani? Vipi kuta zilizosalia maeneo hayo yaani wailing wall, ni ukuta wa msikiti au hekalu?

Vv
 
Kumbe jamaa sio eeehh???
Bila shaka unafahamu simzungumzii mleta mada bali huyo anayejiita Tabby! Ana chuki, mchawi ana afadhali kwa 100%. Nashangaa mtu anayejiita Mkristo roho yake imejaa kutu kumzidi mchawi huku wakijifanya Ukristo ni dini ya upendo! Mimi sio mtoa hukumu lakini kama kweli kuna hukumu; hilo jamaa linaweza kutupwa motoni kama malipo ya chuki!
 
Back
Top Bottom