Jerusalem kwa mujibu wa BBC

Jerusalem kwa mujibu wa BBC

Kama wewe ni Mkristo mwenzangu ukasome biblia vyema.
Ibrahimu alizaa Ishmael kwa kijakazi wake Hijra, ambaye ni chimbuko la uislam, pia alimzaa Isaka kwa mkewe Sarah ambaye ni chimbuko la Wayahudi na Wakristo.
Umeelewa nilichoandika?au unakurupuka

Comment yako unapinga nn kwenye hoja yangu?
 
Ni mbaya kupigania au kubishania dini ulioipokea toka kwa baba yako na kujifanya kama wewe waijua sana
 
Uhusiano uliopo ni kwamba kabla al kaaba(kibra) iliyopo sasa katika msikiti wa mecca ambapo waislam wanaenda kuhiji na ambapo ni eneo takatifu zaidi kaaba(kibra) ya mwanzo ilikuwa katika msikiti wa al aqsa huko Yerusalem.
Mkuu,
Imekuwaje sasa hiyo kibla ikahamia Mecca toka Jerusalem? Ina maana kuna kibla mbili? sasa inakuwaje mnaelekea katika kibla moja wakati ziko mbili?
 
Kuna mtume mwongo aliwadanganya waumini wake kuwa alisafiri usiku hadi Jerusalem!! Huyu ndie alieenza chuki ya ya kipuuzi kabisa kwa kutunga uongo!
Umesahau,yupo nabii mmoja, mzungu,mrumi,alikuwa mpinzani wa Yesu alipokuwa hai. Alipoondoka akajitia kumuamini. Lakini akayabadili mafunzo yote ya Yesu. Akawaletea dini mpya. Kinyume na dini aliyoifundisha Yesu. Nabii huyu mzungu,ni nabii wa uongo na mafundisho yake ni ya uongo.

Ndie aliewaletea dini hii ya uongo. Wanaojiona watakatifu huku wakiwa waovu kupita hata shetani.
Hawaheshimu imani za wengine. Wanawatukana na kuwakashfu wengine huku wakihubiri kwamba wao ni wema na watakatifu. Wanasahau kwamba tunaishi nao hapa duniani na tunawajua kutokana na matendo yao. Ni watakatifu midomoni,mioyoni wamejaa chuki na uovu.
Nabii aliewafundisha uovu huu ni mnafiki na akawajaza unafiki.
Nabii wa uongo.

Amewajaza roho ya mauaji. Kiasi mmekuwa washangiliaji wa kila mauaji yanyofanywa na waizraeli na mataifa ya kikristo. Kwani wanaouwawa kwenu si binadamu.
Hakuna sehemu yeyote duniani kunatokea mauaji kusiwe na mkono wa watakatifu wenu.
Mnaanzisha vikundi vya kigaidi. Mnawatumia wafuasi wenu na kuwapa majina na muonekano wa dini nyingine ili mpate kuwatuka na kuwaua mpate furaha. Kwani umwagikaji wa damu kwenu ni furaha na ibada kuu.
Huyu ndio nabii wa uongo.

Akawaletea ushoga. Kwani yeye mwenyewe alikuwa mpenzi wa mchezo huo. Mkawa mnawatukana watu wa dini zingine kuwa ni wapenzi wa ushoga,huku mkijificha uhakika wenu.
Mkawaharibu watoto wa kiume wahudumu kwenye nyumba zenu za ibada,kiasi kwamba kila kona ya dunia inashuhudia kesi na malalamiko ya udhalilishaji huo.
Mungu akawaumbua zaidi baada ya kuanza kuoana na kuhalalisha ndoa hizo za kishetani ndani ya nyumba zenu za ibada. Na mataifa makubwa ya imani zenu wakaweka sharti kuwasaidia nchi maskini,lazima wakubaliane na ushetani huu.
Huyu ndio nabii muongo. Na si huyo uliemtaja
 
Quraan kareem haijaacha kitu.Yote yapo ndani yake
Zaburi-Alipewa nabii Dawood
Taurat-Alipewa nabii Musa
Injili (Biblia)-Alipewa nabii Issa (Yesu)
Quraan-Alipewa nabii muhammad s,a,w
Hicho kitabu cha mwisho ndio imeviunga vitabu vyote hivyo vya mwanzo.imetaja kila kitu
I hope utakua umenielewa mkuu
Hakuna Nabii ambaye hakuwa Mu-Israel, isipokuwa Muhammad, Torati imo ndani ya Biblia, Biblia ni mkusanyiko wa vitabu vingi, Zaburi haikuandikwa na Daud peke yake,Hii mnayosema nani alipewa kitabu gani ni stori tu ya kuungaunga ili kujustify kile mnachokijua wenyewe, Mungu ni roho, katika roho aliwapa uwezo watu mbalimbali kuandika vitabu.
Kwa taarifa yako walikuwepo manabii wengi kati ya Israel na nyie hamuwajui au hamuwataji kwa sababu mnazozijua, Nitakutajia hawa,
1.Nabii Yeremiah
2.Nabii Isaya
3. Nabii Eliya
4.Nabii Samwel( na huyu anabeba Historia kubwa sana ya Israel, yeye ndiye alimweka kitini mfalme wa Kwanza na wa Pili wa Israel( 1.Mfalme Saul 2.Mfalme Daud).
5.Nabii Elli
6.Nabii Elisha
Na wengine wengi,Hawa watawala kama Saul, Daud, Suleiman hawakufanya kazi ya unabii kama iliyofanywa na hao niliowataja,Hawa niliowataja walibeba ofisi kabisa ya unabii(kazi).
 
Nijibu.

Huyo nabii Suleiman ailikua Muarab. Eti alijenga kibla. Hekalu la Wayahudi mmejipendekeza kuita kibla ya waislam sasa nataka kuwanyanganya. Walijenga wayahudi

Tatizo wenzio walikua wakienda shule wewe unaishia Mtoni kuogelea
Soma kwanza nilivyoandika
Hivi mnawashwawashwa na nini kukurupuka hovyo???
 
Acha kudanganya nabii Suleiman alijenga hekalu takatifu LA wayahudi na sio msikiti, mji wa Jerusalem ulipigwa na hekalu likavunjwa, hapo palipovunjwa hekalu ndo akaja muhamad akajenga msikiti wake, unajua kwa nini? ili aweze kuclaim kwamba Quran ndo kitabu cha mwisho na final baada ya tourat na injili. kwenye huo msikiti mpaka Leo kuna mabaki ya ukuta w hekalu LA wayahudi...sasa eneo hilo linagombaniwa Muislam anataka apate control ili kuonesha kwamba Uislamu ni dini ya final baada ya uyahudi na ukristo, na myahudi Naye anapataka ili arudishe hekalu lake lililobomolewa, hapo ni dini mbili zinafight ili ziweze kuonesha existance zao za kwenye maandiko yao...sasa hapo solution ni mwenye nguvu anakua juu ya mwenzake...ubabe ubabe...hakuna cha amani hapo

Naomba utufahamishe maana ya hekalu tuanzie hapo kwanza

Manake wewe ungekua ni Mti,basi mti wa Mpapae ukifa haufai kuni wala mkaa
 
Labda niongezee ni kwanini WAISLAM WANAFUNGAMANA juu ya JERUSALEM itambulike kuwa ni ya PALESTINE ni sio ISRAEL na manufaa yetu juu ya JERUSALEM.....
1)kwanza kwenye dalili 9 za NABII MUSSA za kipindi cha MWISHO aliiweka na JERUSALEM itakuja kutambulika kuwa mji wa ISRAEL kitu ambacho hata PHARAOH Kilimuogopesha.
2)QURAN imeanzishwa 1400 years ago na kupitia MTUME wetu MUHAMMAD P.B.U.H. proclaimed juu ya dalili za mwisho.
3)JERUSALEM unatambulika na MUSLIMS kwa mambo mengi......ikiwemo MITUME 3 walizikwa pale a) IBRAHIM b)IS-HAKA c) na YAQUB....
4)pia WAISLAM tunatukuza mji ule kwa kua MTUME Alisimamisha ibada pale na KUOMBEA MITUME wengine wote na kuimiza WAISLAM kufika pale na kufanya ibada kwani itakuwa na fadhila mara 500 (MASJID AL AQSA)
 
hhhhhhhhhhuhkhgujjh

Zero Brain Mkuu ... Unaanzaje kuuliza Ukiristo ni dini?

Brain wash niliuliza baada ya huyo zumbukuku mwenzio kusema hivyo ndio maana nikauliza
Unge QUOTE mesej yoote pamoja na zake mbona umezikata msg zake??au ndio gea yako hio uonekane upo sawa



NGOJA NIKUSAIDIE ILI UPATE KUELEWA

Mnadanganya watu eti ibrahimu alikuwa muslim

Wakat uislamu umekuja juzi juzi na muhamad ,before hakuna hata chembe ya history kuwa kuliwahi kuwepo na kitu kinaitwa islamu

HIO NDIOILIONIFANYA MIMI KUULIZA SWALI HILO UNALOLILLAMIKIA MKUU
 
Tatizo watu hatujui history na tunataka kutoa ushahidi.
Chamoto mtakiona siku mkikutana na adhabu yake Muumba
 
Naomba utufahamishe maana ya hekalu tuanzie hapo kwanza

Manake wewe ungekua ni Mti,basi mti wa Mpapae ukifa haufai kuni wala mkaa
hekalu ni nyumba takatifu ya ibada kwa wayahudi ni kama msikiti kwa waislamu ama kanisa kwa wakristu
 
Kwahio hekalu alilojenga suleiman linaitwaje
Solomon's Temple (also known as the First Temple) was, according to the Torah and the Bible, the first Jewish temple in Jerusalem. It functioned as a religious focal point for worship and the sacrifices known as the korbanot in ancient Judaism. The temple was destroyed by the Babylonians in 586 BCE.
 
Hakuna Nabii ambaye hakuwa Mu-Israel, isipokuwa Muhammad, Torati imo ndani ya Biblia, Biblia ni mkusanyiko wa vitabu vingi, Zaburi haikuandikwa na Daud peke yake,Hii mnayosema nani alipewa kitabu gani ni stori tu ya kuungaunga ili kujustify kile mnachokijua wenyewe, Mungu ni roho, katika roho aliwapa uwezo watu mbalimbali kuandika vitabu.
Kwa taarifa yako walikuwepo manabii wengi kati ya Israel na nyie hamuwajui au hamuwataji kwa sababu mnazozijua, Nitakutajia hawa,
1.Nabii Yeremiah
2.Nabii Isaya
3. Nabii Eliya
4.Nabii Samwel( na huyu anabeba Historia kubwa sana ya Israel, yeye ndiye alimweka kitini mfalme wa Kwanza na wa Pili wa Israel( 1.Mfalme Saul 2.Mfalme Daud).
5.Nabii Elli
6.Nabii Elisha
Na wengine wengi,Hawa watawala kama Saul, Daud, Suleiman hawakufanya kazi ya unabii kama iliyofanywa na hao niliowataja,Hawa niliowataja walibeba ofisi kabisa ya unabii(kazi).
Na inasemekana wazungu walimkataa mtume muhammad kisa mwarabu,
 
Labda niongezee ni kwanini WAISLAM WANAFUNGAMANA juu ya JERUSALEM itambulike kuwa ni ya PALESTINE ni sio ISRAEL na manufaa yetu juu ya JERUSALEM.....
1)kwanza kwenye dalili 9 za NABII MUSSA za kipindi cha MWISHO aliiweka na JERUSALEM itakuja kutambulika kuwa mji wa ISRAEL kitu ambacho hata PHARAOH Kilimuogopesha.
2)QURAN imeanzishwa 1400 years ago na kupitia MTUME wetu MUHAMMAD P.B.U.H. proclaimed juu ya dalili za mwisho.
3)JERUSALEM unatambulika na MUSLIMS kwa mambo mengi......ikiwemo MITUME 3 walizikwa pale a) IBRAHIM b)IS-HAKA c) na YAQUB....
4)pia WAISLAM tunatukuza mji ule kwa kua MTUME Alisimamisha ibada pale na KUOMBEA MITUME wengine wote na kuimiza WAISLAM kufika pale na kufanya ibada kwani itakuwa na fadhila mara 500 (MASJID AL AQSA)
Kwa taarifa yako YAQUB Ndio Israel, ISAKA ni Baba ya Israel ndi maana amezikwa Israel.
Najua kwenye vitabu vyenu mnamtaja sana DAUD, Unajua Daud NI WA UZAO GANI?
Unajua Israel imetajwa mara ngapi kwenye Biblia? Mara 655, Kwenye Quran mara 0.
 
Poise, siyo dini uchwara hizi.

Lakini , naona waislamu wana mihemuko ya kijinga mara nyingi sana kwenye mambo ya kawaida sana.
Mfano, dini kwenye hii taarifa ziko 4 eneo hili, ila ni kwa nini mihemuko ya Islam uwe kama kuku aliyekatwa Kichwa!?

Any way, hekima na makubaliano yanahitajika na siyo mihemuko na maandamano na fujo maana tumeisha choka na vita tunahitaji amani duniani hasa hiyo middle east.
 
Humu tutalumbana bure tu ngoja nifafanue kidogo juu ya swala la JERUSALEM

MSIKITI WA AL-AQSAA ULIOPO JERUSALEM ULIJENGWA NA MAJIINI WALIOMARIWA NA NABII SULEIMAN
NABII SULEIMAN ALIPEWA KAMA MGUVU FLANI NA MWENYEZI MUNGU WA KUONGEA NA WANYAMA WOTE WADUDU MAJINNI
KWA UJUMLA VIUMBE HAI VYOTE VYA DUNIANI NI NABII SULEIMAN PEKEE NDIO ALIEJAALIWA NA ALLAH KUWEZA KUONGEA NAO
WAKATI UJENZI UNAKARIBIA KUMALIZIKA WA HUO MSIKITI,NABII SULEIMAN AKIWA AMEKAA KTK KITI CHAKE ALIFARIKI HAPO HAPO HUKU KICHWA CHAKE KIKIWA KIMEINAMIA BAKORA,WALE MAJINNI WAKAJUA BOSS WAO KAPUMZIKA TU WAKAWA WANAENDELEA NA KAZI USIKU NA MCHANA KUMALIZIA UJENZI
MCHWA WALIANZA KUITAFUNA BAKORA YA NABII SULEIMAN PINDI BAKORA INAANGUKA NA NABII SULEIMAN ALIANGUKA NDIO HAO MAJINNI WAKAJUA KUA MFALME WAO KAFARIKI
HAPO TAYARI UJENZI UMESHA ISHA
HUO MSIKITI KUTA ZAKE PAMOJA NA NGUZO ZAKE HAKUNA BINAADAM ANGEWEZA KUUBEBA
WAKATI WA UJENZI,
VILEVILE NDANI YA HUO MSIKITI KUNA MANENO YA QURAAN YAMEANDIKWA KWA DHAHABU

Sasa tukirudi nyuma Nabii Suleiman alikuwa ni MYAHUDI LKN NI MUISLAM alitumwa kuja kueneza uislam kwa hekma za Allah kumteua myahudi ili kwamba wayahudi wenzie walikua wanakufuru saana na hakuna dini
inaitwa yahudi yahudi ni kabila
Papo hapo NABII SULEIMAN ALIKUJA KABLA YA NABII ISSA(yesu)
Baada ya nabii ISSA KUJA ALIKUJA NA KITABU CHA INJILI(biblia)
Ukitaka kuamini chukua biblia agano la kale fungua BARNABA YA 7 inasema hivi na mtume atakaekuja wa mwisho ni mtume Muhamad

Tatizo BIBLIA WAMEICHAKACHUA HIO BARNABA YA 7 IMEONDOLEWA LKN BIBLIA ZINGINE ZINAZO JAPO NI CHACHE SAAANA ZENYE NAZO

SASA WANAJAMVI WENZANGU DINI NI IMANI NA KILA MMOJA ANAHAKI YA KUABUDU DINI ANAYO IAMINI YEYE
KWA HIVYO HAINA HAJA YA KUKASHIFIANA DINI WALA KUTOLEANA MANENO YASIO NA HESHIMA KILA MMOJA ANA DINI YAKE NA MUNGU WETU NI MMOJA
 
Back
Top Bottom