msabillah
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 4,763
- 3,198
Hivi mfano kule Iraq, Syria, na Libya ni nani mwanzilishi wa vurugu na vita, siyo nyinyi hujifanya mnaenda kuwafundisha watu eti namna ya kuishi mnavyotaka ninyi walikataa mnawapiga au mnapandikiza vibaraka wenu ili mlete vita MUNGU ANAWAONA.Wayahudi na Wakristo wala hawapingani juu ya umuhimu wa Jerusalem kwao. Wakristo wanaelewa kwamba Jerusalem ni ya Isreal. Wakienda kule wanakwenda kwa mantiki ya imani yao wala hawajawahi na hawawezi kung'ang'ania kuwafukuza Wayahudi kule eti sasa ni kwao kwa kuwa kuna chimbuko la imani yao!. Ridiculous!
Hawa waislam, kuna misingi gani ya Imani yao ya uislam katika Jerusalem?
Ndiko alikozaliwa mungu wao mohamed?
Kuna kaburi la mohamed?
Kuna nini cha imani yao katika Jerusalem?
Hawa watu ni wakorofi siku zote:-, hata ukiwapa Israel nzima haiwezi kuwapa amani kwa sababu amani yao huwa ni machafuko.
Waislam muoni haya.Oneni aibu kuwa watu wa kuanzisha machafuko na kusababisha umwagaji damu kila mnakokuwa na hata kwa majirani mnaopakana nao. Shame!
mnaenda kwenye nchi inautalatibu na sheria zake eti mnawalazimisha waruhusu wa KUOANA JINSIA MOJA mnaakiri MUNGU ANAWAONA.
