Jerusalem kwa mujibu wa BBC

Jerusalem kwa mujibu wa BBC

Sijui ni-side wapi. Binafsi nilishangaa kukuta Israel kuna few christian na jamaa hawana time saana na ukristo. Nilisali kanisa moja la kikristo, we were just about 40-50 people. Cha ajabu tunawahusudu sana!

Muslims wa Parestina nao huwa wananichanganya.

Historically, waisrael wamesurvive veeery hard times na they know how to defend themselves no matter how few they are!

Huu mzozo utagharimu maisha ya wengi kwa kipindi kirefu! Ukiwaangalia wapinzani wao wanaimarika daily, Hamas wapo well trained na ni jeshi makini sana, but too inferior ukiwalinganisha na waisrael.

The best solution ni kuchukuliana! Waisrael au wapalestina wakipewa whole city still permanent peace haitatokea!!!
 
Ingekuwa vizuri mkawa na hakika na mnayoyaandika, we mkweli ulijuaje kama huyu mtume ni muongo, ulikuwapo muda alipowadanganya wafuasi wake, ulikuwapo huo muda alipodanganya kwa hicho anachosema amekifanya. Msilolijua sio vyema kuliongelea, jaribu kufahamu ndipo muamuwe kuwambie wengine.

Ni muhimu kwa wakristo kujifunza asili ya ukristo na kujibidiisha kufahamu kwa undani imani ama dini wanayoifuata na wasiwaache wahubiri na viongozi wao wajuu tu kuwahubiria wanachkitaka katika dini ndio hatimae wanadanganywa na kupelekwa kule wanakokutaka wakubwa na wahubiri wao.

Msingi ea imani za dini duniani ni lazima zisomwe usipo kuwa mdadisi na mchunguzi wa imani unayoikibali huwezi kuwa na imani thabiti na imara kwa dini yako.

Kwa iyo nawashauri wakristo wote wanaoamini kuwa jerusalem ni halali na ni ya wayahudi kwa enzi na enzi warudi na kufanya utafiti japo kwa kujiuliza na kuuliza na kujisomea maandiko hata hayo wanayoyaita matakatifu kwa umakini ili wawe na uhakika na uhalali wa iman zao na sio kuibuka na kukisifu mbele za watu kuwa wao ni wakristo ilhal huyo yesu mwenyewe hakuwa na jeuri hiyo.

Kwa iyo ndugu yangu soma na chunguza iman unayoiamini ndipo itajuwa anachokisema mwengine ni uongo ama ni ukweli na kwa msingi ipi.

Bwana yesu asifiwe.
Mbona unajishuku?
Kinachosbua dini yako ni kushindwa kujisimamia yenyewe...toka ilipoanzishwa ilianza kujisingizia kwamba lazima.ukasome vitabu vya waliotangulia! Sasa hao waliotangulia hawaukubali
 
Hii uliyoeleza hapa kuna mambo hujayaeleza kidogo , kuna sababu ya kubadili kibla kutoka Jerusalem kwenda Mecca. Kama yawezekana kuweka sababu, naomba uweke ili tujue. Maana kama ingalikuwa hakuna umuhimu mkubwa pale kwa Waisilam basi wangewaacha wale Waisrael na huo mji, kuepusha ugomvi. There is a greatest secreat there na kama ingalikuwa kama ilivyotakiwa yawezekana hata pangekuwa ndo mahali patakatifu zaid .
Wakati mtume Muhhamadi alipowaendea Mayahudi nakuwaambia yeye pia ni Nabii , waliuliza swali , je maandiko gani yanamuonesha kuwa kuwa ni Nabii? aliposhindwa kujibu wakamwambia "Alainaa" na kumtoa nje kwa kumpiga mawe na akang'olewa meno. Kuanzia hapo mtume akaagiza wanaposali wasilekee tena Yerusalem ila mecca lkn mwanzo haikuwa hivyo
 
Huo msikiti umejengwa na nabii Ishak mtoto wa nabii Ibrahimu ambaye ndiye chimbuko la mitume wote nabii Isa na nabii Muhammad.
Kufanya kejeli katika imani za watu si jambo jema na wala haliwezi kutoa ufumbuzi hapa Tanzania familia nyingi zimechanganyika.
Acha kudanganya watu, isaka hajawahi kujenga msikiti

Mbona mnadanganywa hivo?

Unajua huo msikiti wa al aqsa umejengwa lini ?

Je unajua msikiti wa kwanza duniani ni upi na umejengwa wapi?

Isaka mtoto wa ibrahimu msimsingizie huo ujinga wenu,

Hapo mlipovamia na kujenga hilo al aqsa dome, inajulikana palijengwa HEKALU, Hata yesu alilikuta , lilijengwa na kubomoka, likaanza kujengwa tena kipind cha UTAWALA WA RUMI, likijengwa kwa miaka 40,

Yesu aliwaambia wayahud HALITASALIA JIWE JUU YA JIWE AMBALO HALITABOMOSHWA aliongea haya 30AD, kufika 70AD majesh ya warumi yalivamia na kulibomoa hekalu hilo lililokuwa la gharama , na UNABII UKATIMIA

sasa wewe ETI UNADANGWANYA KABISA ETI hapo palijengwa msikit na isaka


Uislamu na isaka wap na wapi?

Uislamu umekuja na muhamad miaka ya 600s AD .

BEFORE ibada zilikuwa zinafanyika kwa mungu allah ,hapo maka, mudy aliziboresha tu, ukitaka ushahid nakupa ,before muhamad upagan ulikuwa unafanywa na makuresh hapo kwenye jiwe jeus ,ambalo muhamad alilirithi .
 
Wakati mtume Muhhamadi alipowaendea Mayahudi nakuwaambia yeye pia ni Nabii , waliuliza swali , je maandiko gani yanamuonesha kuwa kuwa ni Nabii? aliposhindwa kujibu wakamwambia "Alainaa" na kumtoa nje kwa kumpiga mawe na akang'olewa meno. Kuanzia hapo mtume akaagiza wanaposali wasilekee tena Yerusalem ila mecca lkn mwanzo haikuwa hivyo
maneno yko ni ya shigongo au kina verse ime quote ili tyamin unachosema?
 
Muhammad kazaliwa mwaka 570 baada ya Yesu, na utume kapata kutoka kwa mganga wa kienyeji mapangoni alipopelekwa kutibiwa homa na mkewe, ni Khadija(mganga akiitwa WaragaWaraqa- I stand to be corrected on this name). Na uislam umesimikwa rasmi mwaka 610, tena kwa vita baada ya kuwaua wachungaji na mapadri wengi ili kuutokomeza Ukristo.
Inashangaza sana Waislamu kusema Ibrahim alikuwa Islam.
Kwa mujibu wa kitabu kipi?Au ni maoni yako?Biblia na quran havikuacha kitu ila sijaona hilo ulilosema.
 
Ebu tafakari juu ya miujiza ambayo Israel inapata inapokwenda vitani huwa inatokana na uwezo wa kibinadamu kweli au uwezo wa MUNGU? Dunia inapaswa kujiuliza kuwa iweje kila vita vikilipuka hata ambavyo dunia nzima ya Waarabu wakiungana pamoja lazima Israel ishinde? Iweje Israel inapomaliza vita huwa haitetereki kiuchumi? Iweje mataifa makubwa duniani yanaogopa kuitenga Israel? Iweje Israel imudu kupiga hatua ya kimaendeleo na usalama hata pale ambapo inawekewa vikwazo vya kiuchumi na jumuiya za kimataifa na kubaki kama kisiwa? Iweje Marekani dola kubwa duniani ni mwepesi kuliwekea taifa lolote duniani vikwazo ikiwemo Urusi hata bila kupitia UN wakati fulani, lakini Marekani hiyo hiyo haithubutu kuiwekea Israel vikwazo ila itaiachia UN ifanye hivyo?
Israel ilipigana vita na nchi zipi ikashinda zote?Kila kukicha israel na palestine wanapigana na hakuna mshindi wa jumla.Unasema mataifa yanaogopa kuitenga israel?Huna unachokijua.Israel imetengwa na nchi nyingi haswa kipindi hiki tena imetengwa hata na tz kutokana na issue ya Jerusalem.
 
,HAYA TUFAHAMISHE SASA HUO MSIKITI ULIJENGWA JUZI NA KINA NANI??
Wewe unasema uislamu umekuja juzi tu
Haya naomba ANDIKO KATIKA KITABU CHAKO UNACHOKIAMINI LINAYOSEMA KUA KRISTO NI DINI
NIPE ANDIKO
Nikizama saana kidini saana saana huu uzi utafungiwa tu,
Huo msikiti wa Al-Aqsaa unaufahamu vizuri historia yake???hebu nenda kwanza ukaoge half ukaanze kuchota maji kisimani
Utaniharibia siku bure tu kuanza kulumbana na matoto
Siku zote nyinyi huwa wakrupukaji ss sjui kwakuwa mnaimba sana kaswida mnajua nn nyie kuhusu hata huo uslam kazi kupelekwa tu kama manyumbu , hilo likitabu lenu la uongoungo ambalo linahamasisha mambo ya ajabu hichohicho kitabu chako kinamzungumzia issa bin mariam vitu usivyovijua ww.
 
Wakati mtume Muhhamadi alipowaendea Mayahudi nakuwaambia yeye pia ni Nabii , waliuliza swali , je maandiko gani yanamuonesha kuwa kuwa ni Nabii? aliposhindwa kujibu wakamwambia "Alainaa" na kumtoa nje kwa kumpiga mawe na akang'olewa meno. Kuanzia hapo mtume akaagiza wanaposali wasilekee tena Yerusalem ila mecca lkn mwanzo haikuwa hivyo
Mtume hajawahi pigwa mawe na wayahudi
Alipopolewa na watu wa taif ambapo ni nyumbani kwa mama yake.
Ibrahimu a.s alichomwa moto na wazee wake
Yesu ndio huyo alichofanywa mnakijua
Na wengineo kama Nuhu
Swaleh
Mussa
Sasa kama kupigwa mawe kwako ni ishu kubwa, unasemaje kuhusu huyo aliechomwa moto na huyo wa kwako alietundikwa mtini na kugongomelewa misumari. ..!??
 
Back
Top Bottom