mafinyofinyo
JF-Expert Member
- Nov 29, 2012
- 4,404
- 3,276
Hivi wewe ukisikia wapalestina wanapigana na waisrael,unafikiri wapalestina wote ni wwislamu.Wamo wapalestina wakristo pia.Ndio ukaona huu mzozo sio wa kidini,huu mzozo ni wapalestina(wakristo na waislamu),kugombania ardhi yao, iliyochukuliwa na waisrael.
Wengi wa wakristo wa Tanzania,haelewi kama huu sio mzozo wa kidini,baina ya waislamu na waisrael.
Waislamu na Wakristo wameishi pamoja miaka yote isipokuwa hao wajinga na ideology zao za ushetani ndoo fitna wakubwa