Mgonjwa amezinduka wakati mzuri sana...Wakati ambao wanaume wameshamaliza mapambano
Mgonjwa alisema kuzuia mchanga wa madini ni kosa kubwa na tutashtakiwa MIGA leo hii mgonjwa kazinduka na kuamka na kukuta tayari waliosema watatushtaki wamekaa meza moja na serikali na wamekubaliana na serikali mambo mbali mbali hali hii sio nzuri sana kwa mashabiki wa mgonjwa huyo wamesahau kuwa mgonjwa alibeza na kusema tutashtakiwa MIGA na tutawalipa wazungu mapesa mengi sasa hv wamebadilishia gia angani na kusema tumepewa pesa kiduchu sana wamesahau habar ya kushtakiwa na miga pamoja na kulipa pesa nyingi hahaaaaa..JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI THE PRESIDENT OF UNITED REPUBLIC OF TANZANIA kanyaga twende Rais wa watanzania shujaa wetu umezaliwa uchi bila nguo na utazikwa uchi bila nguo zaidi ya kuzikwa kwenye jeneza la futi 6