Jerry Muro: Tundu Lissu njoo uone

Kipindi kile Jerry Muro alipopata na janga la rushwa nilimhurumia mno nikidhan ni Mtu mwema sana, nilikuwa nikibishana sana na Polisi waliokuwa wakishangilia kukamatwa kwake Muro lakinnimejiridhisha pasipo mashaka, huyu Mtu siyo mzuri kbsa, ni mbinafsi na mnafikimwenye uwezo wa kufanya kitendo kibaya kwa Binadamu ili tu kumridhisha yule anayemtumikia!
Hutuba na Makala za Jerry Muro,sinadhihilisha moja kwa moja alivyo Mtuhatari. Yesu enzi zake,alipambana na watu wa aina km Muro maana aliwajua walivyo hatari kwa Binadamu wenzie.
 
Ina maana serikali hii inafanya kazi kwa style hiyo? Majungu majungu then your in, I don't think. Ingawa hili la Bashite linatuacha wengi midomo wazi, huyu msemaji wa Yanga anapambana na hali yake tumsamehe.
 
mi naona wanachelewa mno kumpa cheo...

Nimchapa kazi, ni jasiri anayejituma bila ajizi... Halafu tena ni msomi... Anafiti na anajua kucheza na beat

ila ule ukasi kazini unamfanya asote bench la akiba
 
Watuongezee kina bashite serikalini its cheaper and an easier way kumtoa ccm madarakani kwa watu sampuli hii ..........
 
Mwacheni jamaa atafute maisha.kila siku anaunga unga mara yanga mara simba,mara tff,hana hela,acheni apige pige mdomo,apate chakula ccm,afanye maisha,akipata pesa anatulia mbona.he he hee
 
Sijawahi ku-pay attention kwa huyu kiumbe hata mara moja zaidi ya kuona tu anajadiliwa mara kwa mara hapa JF!! Hata leo hii ukiniuliza huwa anaongea nini; wala sifahamu kwa sababu, ingawaje mimi ni Yanga Damu bado nafahamu level za Jerry Muro ni Haji Manara na wala sio kwenye masuala makubwa yanayoendelea nchi hii!!!
 
Anatafuta kuwa mwamdishi wa Rais siku hizi Hakuna hiyo nafasi Kuna msemaji wa ikulu.Muro Kaka yangu tafuta kazi ya kipato halali hata UMC utatoka sana.
 

Yale ni mapenzi kwa chama chake na serikari yake.

Tunajua mnajisemesha ili kumwalibia, lakini ni vizuri mkatambua kwamba:

'Kama ameandikiwa na Mungu kuja kufanya kazi na Raisi Magufuli hata mroge kiasi gani mtashindwa tu'.
 
Yale ni mapenzi kwa chama chake na serikari yake.

Tunajua mnajisemesha ili kumwalibia, lakini ni vizuri mkatambua kwamba:

'Kama ameandikiwa na Mungu kuja kufanya kazi na Raisi Magufuli hata mroge kiasi gani mtashindwa tu'.


Hakuna anayemwaribia kaka yangu, ila ungekuwa mkweli ungekubali kuwa anatafuta kuteuliwa kwa njia ambayo wamewahi kutumia vijana wengi, kudhalilisha watu wengine ili wateuliwe. Hii inatokana na kuporomoka kwa maadili maana haiwezekani mtu amzalilishe mzee kama yule kwa kumchapa vibao halafu atunukiwe cheo
 
Labda niwakumbushe ndugu zangu mnaopenda kuchungulia kwenye chungu hiki cha JF, kuwa anachokifanya Jerry Muro siyo ulimbukeni au bahati mbaya, bali anajua anacholenga kwani hii imekuwa mbinu ya vijana wengi wa Kitanzania kufikia malengo yao ya kuteuliwa katika nafasi mbalimbali katika awamu ya nne na hii ya tano.

Mnakumbuka jinsi Bashite alivyofanya maajabu hata ya kumzaba vibao mzee wa watu, pia alidiriki kukaa nyuma ya runinga kumtukana Lowassa, baada ya muda mfupi akateuliwa. Ni wengi ambao tunaweza kuwataja, ebu tujikumbushe jinsi kaka yangu Nape alivyomtukuna mzee Lowassa pale Iringa kwenye kampeni, kisha akazawadiwa nafasi ya uwaziri.

Imekuwa mtindo wa kutafutia nafasi za kuteuliwa kwa kuwatukana wapinzani na kusifia malaika mtakatifu. hicho ndicho anachokifanya Muro muda simrefu atateuliwa tu. anayebisha atarudi hapa kusema kweli ulitabiri.

Namuomba kaka yangu Muro aongeze bidii za kuandika na kuitisha midia kila siku, na anapopata nafasi ajitahidi kumsema Lissu vibaya, atateuliwa haraka.
ANACHOKIFANYA MURO NI KUTUMIA HAKI YAKE YA KIDEMOKRASIA KUTOA MAONI YAKE KAMA VILE UFANYAVYO WEWE.
NINGEKUONA MTU WA MAANA SANA KAMA UNGEKUWA UNACHAMBUA HOJA KWA HOJA NA SIYO JAZBA/CHUKI.
JAMVI HILI NA LA 'THOSE WHO DARE SPEAK' [Logically]
 
ANACHOKIFANYA MURO NI KUTUMIA HAKI YAKE YA KIDEMOKRASIA KUTOA MAONI YAKE KAMA VILE UFANYAVYO WEWE.
NINGEKUONA MTU WA MAANA SANA KAMA UNGEKUWA UNACHAMBUA HOJA KWA HOJA NA SIYO JAZBA/CHUKI.
JAMVI HILI NA LA 'THOSE WHO DARE SPEAK' [Logically]


Niwewe tu ndio ulieona kwamba natumia jazba, chuki na hayo mengi uliyotaja. Kati ya wachangiaji zaidi ya 20 pekee yako umeelewa my thread in a negative way, just go back and read it politely maybe you can have something new. Hiyo demokrasia ipo anapotoa Jerry mawazo yake ila anapotoa Ponda mawazo yake demokrasia inakuwa imeshafungiwa nje?
 
Abadili kabila kwanza
Nyie hii dhambi ya ukabila ilishawamaliza cku nyingi sana badilikeni wakati Wanyarwanda wanapambana kuondoa kuulizana ww kabila gani?Wao cku hizi ukiwauliza which tribe are you?they are always responding "We are all Rwandans!!!! Lkn sasa cku hizi kuna watu wakisikia tu uteuzi wanauliza yule kabila gani?Jamani tuwe na kauli moja sisi wote ni Watz
 
Hakuna anayemwaribia kaka yangu, ila ungekuwa mkweli ungekubali kuwa anatafuta kuteuliwa kwa njia ambayo wamewahi kutumia vijana wengi, kudhalilisha watu wengine ili wateuliwe. Hii inatokana na kuporomoka kwa maadili maana haiwezekani mtu amzalilishe mzee kama yule kwa kumchapa vibao halafu atunukiwe cheo
Yani nyinyi mnataka wana CCM wakae kimya, ili mtambe wenyewe au?
Halafu CHADEMA kuambiwa ukweli ndo kudhalilishwa!?!
Kuhusu Lisu kwani ni uongo?, Lisu si mropokaji?, si mpenda misifa?, si mjuaji?, si msaliti?
 
Aendelee kupiga kelele tu, watakua wanakuja kina shonza wanaula alafu yeye wanamwacha anaendelea kusugua gamba tu
 
37 Reactions
Reply
Back
Top Bottom