Jerry Muro: Tundu Lissu njoo uone

Anaandika Jerry C. Muro

Taifa la Tanzania limeingia katika Historia ya Dunia Kufuatia Kampuni ya Barrick Gold kukubali kwa mara ya kwanza Kugawana asilimia hamsini kwa hamsini 50/50 ya Faida katika uzalishaji wa Dhahabu nje ya Asilimia 16 ya Mrahaba na Kodi ambayo taifa itapata.

Nimedadisi katika nchi mbalimbali ambazo Barrick wamefanya uwekezaji kama huu na kugundua Tanzania ndio nchi pekee ambayo imethubutu na kufanikiwa katika hili, Hongera Tanzania Hongera Rais Mzalendo Mhe, Dkt. John Pombe Magufuli katika kurekebisha kwa vitendo makosa ya watangulizi wako, huu ndio Uongozi unaoacha alama tukufu, naamini kwa sasa watangulizi wako wanafuraha kubwa ya kuona umesahihisha kwa vitendo pale walipokosea.

Muafaka Baina ya Tanzania na Barrick umewaacha "bila nguo" tena nasisitiza "bila nguo kama mnyama" wale wote waliokuwa wakisubiri Tanzania ipelekwe mahakama ya kimataifa kutokana na kuchukua hatua za kuzuia makinikia, kwangu nasema shame on you najua wamenielewa na wamesikia, Leo Tanzania imepata Shilingi Bilioni 700 kama hela tu ya kujenga uaminifu, bado nasubiria tupate kodi yetu, tupate Mrabaha wetu, kisha tugawane faida hamsini kwa hamsini.

Nimefarijika sana na kauli ya Mhe Rais, Dkt. John Pombe Magufuli ya kuwataka wawekezaji wengine wote katika Sekta ya Madini kujitafakari na kuanza kufuata uelekeo wa makubaliano kama Haya na Barrick, sasa tutaanza kuvuna neema kwenye Tanzanite, Almasi na kisha tutaingia kwenye Gesi na Mali asili zingine, Haya ni mafanikio makubwa katika kipindi cha takribani miaka miwili ya Uongozi wa Mhe Magufuli, naamini akimaliza miaka Mitano ya kwanza na ile mingine lazima Tanzania tutakuwa "Donor country"

Naomba nimalize kwa kufikisha salamu kule Nairobi, mwambieni kulikuwa na sababu ya Mungu kumuweka hai ili aje ashuhudie ukuu wa Mungu kupitia Mhe Magufuli, lile alilosema haliwezekani kwa sasa limewezekana na Hatimae Mhe Magufuli ameibuka shujaa na kinara wa kielelezo cha Rais Bora Africa anaepigania rasilimali za nchi yake, Mungu alisema Muombee sana "adui" yako aishi miaka mingi ili Ashuhudie Baraka za Mungu kwako, Hatimae maombi yetu yamejibu sasa.

Wasalamu
Jerry C. Muro
Dodoma, Tanzania
20/10/2017

jerry muro na wapumbavu wenzako, ninyi ni wehu?
 
Kwa kukadilia yaweza kuwa 98.6% ya Watanzania ni wajinga sana kuliko kawaida,,. Unapewa taarifa ya kuwa utalipwa Tsh.700,000,000,000 wakati ulikuwa unadai Tsh.425,000,000,000,000 kisha unashangilia kuwa umeshinda????,,

Ushauri,, Watu wafundishwe kutofautisha kati ya MILLION na BILLION, BILLION na TRILLION, na pia
Ujinga ni pale unapopata hitimisho la jumla ( general conclusion) kwa kutumia takwimu za mbele na kuziacha takwimu za nyuma, watu tuliaminishwa tunawadai ACCACIA TRILLION 425 leo wanasema KAMA itawezekana watatupa BILLION 700 halafu watanzania weeengi wanashangilia ,, mh!!????

Jerry Muro ni mpumbavu. Anatafuta UDC kwa nguvu. Lipumbavu kweli hili jamaa. Hivi Mheshimiwa raisi kwa kuwa na team za wasaidizi wenye akili kama za Jerry Muro, unategemea kutimiza lengo gani lenye maslahi kwa taifa?

Akili kama hizi hazifai hata kuongoza team ya mpira wa mbuzi. Pumbavu kweli hili jamaa!
 
Jerry Muro must be crazy. Anawezaje kupambana na mtu aliye kitandani? Useless body. Uliambiwa ukipambana na chadema ndiyo utapata cheo?
Endelea basi ukishapata wewe na mimi nitaanza kupambana na wewe. Hufai kabisa.
 
"Tunakwenda hatua mbili mbele na kurudi kumi nyuma na kujipongeza bila kuzingatia hatua nane tulizopoteza" AFANDE SELE
 
Kumbe ndio maana ulifukuzwa Yanga coz hata uwezo wako wa kuchunguza ni mdogo
Namibia wanapata 50%/50% ya faida
Sasa unasema Tz yenyewe
 
Anaandika Jerry C. Muro

Taifa la Tanzania limeingia katika Historia ya Dunia Kufuatia Kampuni ya Barrick Gold kukubali kwa mara ya kwanza Kugawana asilimia hamsini kwa hamsini 50/50 ya Faida katika uzalishaji wa Dhahabu nje ya Asilimia 16 ya Mrahaba na Kodi ambayo taifa itapata.

Nimedadisi katika nchi mbalimbali ambazo Barrick wamefanya uwekezaji kama huu na kugundua Tanzania ndio nchi pekee ambayo imethubutu na kufanikiwa katika hili, Hongera Tanzania Hongera Rais Mzalendo Mhe, Dkt. John Pombe Magufuli katika kurekebisha kwa vitendo makosa ya watangulizi wako, huu ndio Uongozi unaoacha alama tukufu, naamini kwa sasa watangulizi wako wanafuraha kubwa ya kuona umesahihisha kwa vitendo pale walipokosea.

Muafaka Baina ya Tanzania na Barrick umewaacha "bila nguo" tena nasisitiza "bila nguo kama mnyama" wale wote waliokuwa wakisubiri Tanzania ipelekwe mahakama ya kimataifa kutokana na kuchukua hatua za kuzuia makinikia, kwangu nasema shame on you najua wamenielewa na wamesikia, Leo Tanzania imepata Shilingi Bilioni 700 kama hela tu ya kujenga uaminifu, bado nasubiria tupate kodi yetu, tupate Mrabaha wetu, kisha tugawane faida hamsini kwa hamsini.

Nimefarijika sana na kauli ya Mhe Rais, Dkt. John Pombe Magufuli ya kuwataka wawekezaji wengine wote katika Sekta ya Madini kujitafakari na kuanza kufuata uelekeo wa makubaliano kama Haya na Barrick, sasa tutaanza kuvuna neema kwenye Tanzanite, Almasi na kisha tutaingia kwenye Gesi na Mali asili zingine, Haya ni mafanikio makubwa katika kipindi cha takribani miaka miwili ya Uongozi wa Mhe Magufuli, naamini akimaliza miaka Mitano ya kwanza na ile mingine lazima Tanzania tutakuwa "Donor country"

Naomba nimalize kwa kufikisha salamu kule Nairobi, mwambieni kulikuwa na sababu ya Mungu kumuweka hai ili aje ashuhudie ukuu wa Mungu kupitia Mhe Magufuli, lile alilosema haliwezekani kwa sasa limewezekana na Hatimae Mhe Magufuli ameibuka shujaa na kinara wa kielelezo cha Rais Bora Africa anaepigania rasilimali za nchi yake, Mungu alisema Muombee sana "adui" yako aishi miaka mingi ili Ashuhudie Baraka za Mungu kwako, Hatimae maombi yetu yamejibu sasa.

Wasalamu
Jerry C. Muro
Dodoma, Tanzania
20/10/2017
Mjinga wewe, usicheze na jina la Mungu ili kupeleka tamaa na matamanio yako ya kuaminiwa na watawala. Usirudie tena, ndio unajifanya msomi pole sana. Kama umeshindwa kugundua mchezo ulioko hapo, basi upande wenu hauna watu makini.
 
Tena weee msukuma unayeiita Muro, please hatuna mchaga pumbavu kama weee ambaye anaomba ukuu wa wilaya baada ya kufukuzwa Yanga kama weee
Please change jina jiite tu Jerry Chato
 
fence majani mzungu.jpg
Anaandika Jerry C. Muro

Taifa la Tanzania limeingia katika Historia ya Dunia Kufuatia Kampuni ya Barrick Gold kukubali kwa mara ya kwanza Kugawana asilimia hamsini kwa hamsini 50/50 ya Faida katika uzalishaji wa Dhahabu nje ya Asilimia 16 ya Mrahaba na Kodi ambayo taifa itapata.

Nimedadisi katika nchi mbalimbali ambazo Barrick wamefanya uwekezaji kama huu na kugundua Tanzania ndio nchi pekee ambayo imethubutu na kufanikiwa katika hili, Hongera Tanzania Hongera Rais Mzalendo Mhe, Dkt. John Pombe Magufuli katika kurekebisha kwa vitendo makosa ya watangulizi wako, huu ndio Uongozi unaoacha alama tukufu, naamini kwa sasa watangulizi wako wanafuraha kubwa ya kuona umesahihisha kwa vitendo pale walipokosea.

Muafaka Baina ya Tanzania na Barrick umewaacha "bila nguo" tena nasisitiza "bila nguo kama mnyama" wale wote waliokuwa wakisubiri Tanzania ipelekwe mahakama ya kimataifa kutokana na kuchukua hatua za kuzuia makinikia, kwangu nasema shame on you najua wamenielewa na wamesikia, Leo Tanzania imepata Shilingi Bilioni 700 kama hela tu ya kujenga uaminifu, bado nasubiria tupate kodi yetu, tupate Mrabaha wetu, kisha tugawane faida hamsini kwa hamsini.

Nimefarijika sana na kauli ya Mhe Rais, Dkt. John Pombe Magufuli ya kuwataka wawekezaji wengine wote katika Sekta ya Madini kujitafakari na kuanza kufuata uelekeo wa makubaliano kama Haya na Barrick, sasa tutaanza kuvuna neema kwenye Tanzanite, Almasi na kisha tutaingia kwenye Gesi na Mali asili zingine, Haya ni mafanikio makubwa katika kipindi cha takribani miaka miwili ya Uongozi wa Mhe Magufuli, naamini akimaliza miaka Mitano ya kwanza na ile mingine lazima Tanzania tutakuwa "Donor country"

Naomba nimalize kwa kufikisha salamu kule Nairobi, mwambieni kulikuwa na sababu ya Mungu kumuweka hai ili aje ashuhudie ukuu wa Mungu kupitia Mhe Magufuli, lile alilosema haliwezekani kwa sasa limewezekana na Hatimae Mhe Magufuli ameibuka shujaa na kinara wa kielelezo cha Rais Bora Africa anaepigania rasilimali za nchi yake, Mungu alisema Muombee sana "adui" yako aishi miaka mingi ili Ashuhudie Baraka za Mungu kwako, Hatimae maombi yetu yamejibu sasa.

Wasalamu
Jerry C. Muro
Dodoma, Tanzania
20/10/2017
 
Afadhali wametoa hata hicho kidogo hasira ziwapunguwe maana wasingetoa nadhani lisu angemiminiwa lisasi 150 kabisa
 
Labda niwakumbushe ndugu zangu mnaopenda kuchungulia kwenye chungu hiki cha JF, kuwa anachokifanya Jerry Muro siyo ulimbukeni au bahati mbaya, bali anajua anacholenga kwani hii imekuwa mbinu ya vijana wengi wa Kitanzania kufikia malengo yao ya kuteuliwa katika nafasi mbalimbali katika awamu ya nne na hii ya tano.

Mnakumbuka jinsi Bashite alivyofanya maajabu hata ya kumzaba vibao mzee wa watu, pia alidiriki kukaa nyuma ya runinga kumtukana Lowassa, baada ya muda mfupi akateuliwa. Ni wengi ambao tunaweza kuwataja, ebu tujikumbushe jinsi kaka yangu Nape alivyomtukuna mzee Lowassa pale Iringa kwenye kampeni, kisha akazawadiwa nafasi ya uwaziri.

Imekuwa mtindo wa kutafutia nafasi za kuteuliwa kwa kuwatukana wapinzani na kusifia malaika mtakatifu. hicho ndicho anachokifanya Muro muda simrefu atateuliwa tu. anayebisha atarudi hapa kusema kweli ulitabiri.

Namuomba kaka yangu Muro aongeze bidii za kuandika na kuitisha midia kila siku, na anapopata nafasi ajitahidi kumsema Lissu vibaya, atateuliwa haraka.
 
Kipindi kile Jerry Muro alipopata na janga la rushwa nilimhurumia mno nikidhan ni Mtu mwema sana, nilikuwa nikibishana sana na Polisi waliokuwa wakishangilia kukamatwa kwake Muro lakin nimejiridhisha pasipo mashaka, huyu Mtu siyo mzuri kbsa, ni mbinafsi na mnafiki mwenye uwezo wa kufanya kitendo kibaya kwa Binadamu ili tu kumridhisha yule anayemtumikia!
Hutuba na Makala za Jerry Muro, sinadhihilisha moja kwa moja alivyo Mtu hatari. Yesu enzi zake,alipambana na watu wa aina km Muro maana aliwajua walivyo hatari kwa Binadamu wenzie.
 
Jerry inaelekea unafanya propaganda ili uthaminiwe na watawala. Unapuuza utu unathamini propaganda?
 
Hata mimi huwa namshangaa huyu jamaa ana kifrontfront kweli, sijui anatumwa au ni kujipendekeza tu kwa lengo la kutafuta kiki
 
Hatafuti kiki, bali kuteuliwa. Walishaambizana kuwa ukitaka kuteuliwa tukana sana wapinzani hata kuwapiga vibao ukipata nafasi na msifie sana malaika mtukufu
 
Back
Top Bottom