kushengeta
Member
- Sep 2, 2015
- 26
- 9
Ukijua jina lake na kabila la Babayake uwezi shangaa
sio kosa lako ni jicho hilo la bundi linakuchanganya...mi sio mwanasiasa ila huyu jamaa ni wale wapiga vijembe wasio na hoja mashiko ni mfu kisiasa..unaweza muuliza uchumi akaanza kukutukania dadako..ni ile design ya wasaka tongeJerry is a smart guy. It is a great pleasure kuona Jerry yuko CCM. I just hope siku moja Mheshimiwa Rais atampa u-DC. Anajua kujenga hoja. Kujibu mapigo. Kwenda na mabadiliko ya siasa. Big Up Jerry Muro!
Ukijua jina lake na kabila la Babayake uwezi shangaa[/QUOTE
Ukabila wa Baba yake ndio nini? Lazima tukubali, Jerry has brains that few can match!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Huyu kijana anakipaji kikubwa cha kuigiza... ndiyo maaana na sema ni zaidi ya Kanumba...na kumbuka alipokuwa msemaji wa Yanga ...Du!!! Jamaa alikuwa na uchungu na Yanga kupitiliza.... Wote tuliamini huyu jamaa ni yanga damu damu.... kibarua kilivyoota nyasi ....mapenzi ya jerry na Yanga katupa kuleeee..
Nakumbuka Manara alimuuliza ...Jerry wewe na soka wapi na wapi ...ushabiki si hivyo..wewe unapitiliza.
Leo tunamwona kwenye siasa... kwa alivyomoto utadhani alikuwa mwanachama toka miaka ya Tanu.... Yaani Yuko moto zaidi ..hata ya msemaji wa chama.. Jamaa ni hodari katika kusaka tonge...
sio kosa lako ni jicho hilo la bundi linakuchanganya...mi sio mwanasiasa ila huyu jamaa ni wale wapiga vijembe wasio na hoja mashiko ni mfu kisiasa..unaweza muuliza uchumi akaanza kukutukania dadako..ni ile design ya wasaka tonge
Hata alipokuwa anafuatilia suala la RUSHWA sikuamini kuwa anaipenda RUSHWA kiasi kile
Jerry hapendi rushwa, hizo ni kesi za kuchafuana kisiasa. The guy is clean.
basi kwa majibu yako we ni Jerry Murro au jamaa ndo anakupa mauzoefu..ila sio mbaya nnachomkubali jamaa anajua kusolve changamoto hakubali kushindwa kwe maisha aina ya watu kama yeye wanafika mbali sanacmoney, umeshasema wewe sio mwanasiasa, ndiyo maana analysis yako iko sikushangai, wewe saka pesa kama jina lako lilivyo cmoney.... Jerry Muro ni mwanasiazsa mzuri sana! ni level nyingine kabisa bwana! Hata leo ukiweka mdahalo wa watu Mia ukamwacha Jerry Muro peke yake apambane nao kwa hoja hakuna mtu akaeweza ku-match nae hata kidogo. Achana na Jerry Muro hiyo ni namba nyingine!
Kweli kabisa, pamoja na akina Mbow kutaka kumuua, basi Mungu aliamua kwa makusudi yake amfanye aishi ili ajionee mwenyewe huyu mnafiki
basi kwa majibu yako we ni Jerry Murro au jamaa ndo anakupa mauzoefu..ila sio mbaya nnachomkubali jamaa anajua kusolve changamoto hakubali kushindwa kwe maisha aina ya watu kama yeye wanafika mbali sana
shienzi typeJerry is a smart guy. It is a great pleasure kuona Jerry yuko CCM. I just hope siku moja Mheshimiwa Rais atampa u-DC. Anajua kujenga hoja. Kujibu mapigo. Kwenda na mabadiliko ya siasa. Big Up Jerry Muro!
Kweli Muro, na mbaya zaidi anashuhudia akiwa tenge, akipelekewa zururu la kujisaidia kitandani.Anaandika Jerry C. Muro
Taifa la Tanzania limeingia katika Historia ya Dunia Kufuatia Kampuni ya Barrick Gold kukubali kwa mara ya kwanza Kugawana asilimia hamsini kwa hamsini 50/50 ya Faida katika uzalishaji wa Dhahabu nje ya Asilimia 16 ya Mrahaba na Kodi ambayo taifa itapata.
Nimedadisi katika nchi mbalimbali ambazo Barrick wamefanya uwekezaji kama huu na kugundua Tanzania ndio nchi pekee ambayo imethubutu na kufanikiwa katika hili, Hongera Tanzania Hongera Rais Mzalendo Mhe, Dkt. John Pombe Magufuli katika kurekebisha kwa vitendo makosa ya watangulizi wako, huu ndio Uongozi unaoacha alama tukufu, naamini kwa sasa watangulizi wako wanafuraha kubwa ya kuona umesahihisha kwa vitendo pale walipokosea.
Muafaka Baina ya Tanzania na Barrick umewaacha "bila nguo" tena nasisitiza "bila nguo kama mnyama" wale wote waliokuwa wakisubiri Tanzania ipelekwe mahakama ya kimataifa kutokana na kuchukua hatua za kuzuia makinikia, kwangu nasema shame on you najua wamenielewa na wamesikia, Leo Tanzania imepata Shilingi Bilioni 700 kama hela tu ya kujenga uaminifu, bado nasubiria tupate kodi yetu, tupate Mrabaha wetu, kisha tugawane faida hamsini kwa hamsini.
Nimefarijika sana na kauli ya Mhe Rais, Dkt. John Pombe Magufuli ya kuwataka wawekezaji wengine wote katika Sekta ya Madini kujitafakari na kuanza kufuata uelekeo wa makubaliano kama Haya na Barrick, sasa tutaanza kuvuna neema kwenye Tanzanite, Almasi na kisha tutaingia kwenye Gesi na Mali asili zingine, Haya ni mafanikio makubwa katika kipindi cha takribani miaka miwili ya Uongozi wa Mhe Magufuli, naamini akimaliza miaka Mitano ya kwanza na ile mingine lazima Tanzania tutakuwa "Donor country"
Naomba nimalize kwa kufikisha salamu kule Nairobi, mwambieni kulikuwa na sababu ya Mungu kumuweka hai ili aje ashuhudie ukuu wa Mungu kupitia Mhe Magufuli, lile alilosema haliwezekani kwa sasa limewezekana na Hatimae Mhe Magufuli ameibuka shujaa na kinara wa kielelezo cha Rais Bora Africa anaepigania rasilimali za nchi yake, Mungu alisema Muombee sana "adui" yako aishi miaka mingi ili Ashuhudie Baraka za Mungu kwako, Hatimae maombi yetu yamejibu sasa.
Wasalamu
Jerry C. Muro
Dodoma, Tanzania
20/10/2017
shienzi type
Unamaanisha nini mkuu..Ukijua jina lake na kabila la Babayake uwezi shangaa