Jerry Muro: Tundu Lissu njoo uone

Jerry Muro: Tundu Lissu njoo uone

Jerry is a smart guy. It is a great pleasure kuona Jerry yuko CCM. I just hope siku moja Mheshimiwa Rais atampa u-DC. Anajua kujenga hoja. Kujibu mapigo. Kwenda na mabadiliko ya siasa. Big Up Jerry Muro!
3 August 2017 ndio Jenny Muno alianza kukutuma?
 
Ni opportunist. Keshatambua MC wao ni bom anahisi anaweza kuukwaa. Asichotambua yeye c shango. Mwache apige kelele tu hapati kitu
 
How I wish angenipa huo uzoefu. Mimi ni fanatic wa anachoandika . Naipenda Akili yake. na ngozi yake ya chuma kuweza kukabiliana na mtu au kikundi chochote bila woga wowote. Atafika mbali hili jeshi la mtu mmoja.!
Mbona hakukabiliana na kamati ya maadili ya TFF?
 
Jerry is a smart guy. It is a great pleasure kuona Jerry yuko CCM. I just hope siku moja Mheshimiwa Rais atampa u-DC. Anajua kujenga hoja. Kujibu mapigo. Kwenda na mabadiliko ya siasa. Big Up Jerry Muro!
I am afraid your standards and threshold for a "smart guy" is rather on the low end of the wit stick.

You would sooner put lipstick on a pig and cal lit a beauty pageant winner for Miss Tanzania and have better luck conving me than telling me Jerry Muro is a smart guy.

I guess in Bongo any shameless usurping hack who would persevere with pretentious bolster and verve is considered a smart guy.
 
Bwana Jerry: Tundulissu tayari keshaanzishiwa zoezi na Zitto Kabwe; kukataa kila kitu na kutukana on sight. Anasena hii 16% si lolote si chochote na hata ufiu ufiu anaona hovyo tu. Ipo kazi, mwache aende USA kwa diaspora awakitanishe na maadui zetu.
 
What a great opportunist.
All opportunists have no principles. They live by the current wind to make a living!
 
Jerry is a smart guy. It is a great pleasure kuona Jerry yuko CCM. I just hope siku moja Mheshimiwa Rais atampa u-DC. Anajua kujenga hoja. Kujibu mapigo. Kwenda na mabadiliko ya siasa. Big Up Jerry Muro!
Jerry has never been smart..nakumbuka miaka ya nyuma kidogo alivyokua tumaini akichkua degree ya mass communication, aligombeaga urais wa xhuo,jamaa hajui kujenga hoja anachojua Ni fitna tu na majungu,mkikaa Mesa moja na kuzungumza atatema veper balaa, nadhani anakua vizuri akiwa nyuma ya keyboard... No wonder alipata kura30 chuo kizima!!
 
Wenzio walitaka afe wewe unasema bora amebaki aone sirikali kushinda makinikia !!!
Jerry kweli atakuwa shoga
 
Anaandika Jerry C. Muro

Taifa la Tanzania limeingia katika Historia ya Dunia Kufuatia Kampuni ya Barrick Gold kukubali kwa mara ya kwanza Kugawana asilimia hamsini kwa hamsini 50/50 ya Faida katika uzalishaji wa Dhahabu nje ya Asilimia 16 ya Mrahaba na Kodi ambayo taifa itapata.

Nimedadisi katika nchi mbalimbali ambazo Barrick wamefanya uwekezaji kama huu na kugundua Tanzania ndio nchi pekee ambayo imethubutu na kufanikiwa katika hili, Hongera Tanzania Hongera Rais Mzalendo Mhe, Dkt. John Pombe Magufuli katika kurekebisha kwa vitendo makosa ya watangulizi wako, huu ndio Uongozi unaoacha alama tukufu, naamini kwa sasa watangulizi wako wanafuraha kubwa ya kuona umesahihisha kwa vitendo pale walipokosea.

Muafaka Baina ya Tanzania na Barrick umewaacha "bila nguo" tena nasisitiza "bila nguo kama mnyama" wale wote waliokuwa wakisubiri Tanzania ipelekwe mahakama ya kimataifa kutokana na kuchukua hatua za kuzuia makinikia, kwangu nasema shame on you najua wamenielewa na wamesikia, Leo Tanzania imepata Shilingi Bilioni 700 kama hela tu ya kujenga uaminifu, bado nasubiria tupate kodi yetu, tupate Mrabaha wetu, kisha tugawane faida hamsini kwa hamsini.

Nimefarijika sana na kauli ya Mhe Rais, Dkt. John Pombe Magufuli ya kuwataka wawekezaji wengine wote katika Sekta ya Madini kujitafakari na kuanza kufuata uelekeo wa makubaliano kama Haya na Barrick, sasa tutaanza kuvuna neema kwenye Tanzanite, Almasi na kisha tutaingia kwenye Gesi na Mali asili zingine, Haya ni mafanikio makubwa katika kipindi cha takribani miaka miwili ya Uongozi wa Mhe Magufuli, naamini akimaliza miaka Mitano ya kwanza na ile mingine lazima Tanzania tutakuwa "Donor country"

Naomba nimalize kwa kufikisha salamu kule Nairobi, mwambieni kulikuwa na sababu ya Mungu kumuweka hai ili aje ashuhudie ukuu wa Mungu kupitia Mhe Magufuli, lile alilosema haliwezekani kwa sasa limewezekana na Hatimae Mhe Magufuli ameibuka shujaa na kinara wa kielelezo cha Rais Bora Africa anaepigania rasilimali za nchi yake, Mungu alisema Muombee sana "adui" yako aishi miaka mingi ili Ashuhudie Baraka za Mungu kwako, Hatimae maombi yetu yamejibu sasa.

Wasalamu
Jerry C. Muro
Dodoma, Tanzania
20/10/2017
huyu jamaa nilimuona ana akili sana aisee, kwa hili nimemshusha kabisa, ndio wale economic benefit na financial benefit wanaona ni kitu ki1, daah, yaani nimemuona bure kabisa huyu kaka
 
Jerry has never been smart..nakumbuka miaka ya nyuma kidogo alivyokua tumaini akichkua degree ya mass communication, aligombeaga urais wa xhuo,jamaa hajui kujenga hoja anachojua Ni fitna tu na majungu,mkikaa Mesa moja na kuzungumza atatema veper balaa, nadhani anakua vizuri akiwa nyuma ya keyboard... No wonder alipata kura30 chuo kizima!!

huko ni chuoni Mkuu, sasa amekomaa na jasho la kwapa litawatoka kila mkijabu kumchambulia atajibu mapigo. Msidhani jerry yule ndie jerry wa sasa. Mtaisoma Namba... . Hata Bill Gate alishindwa shuleni lakini sasa ndie anayeongoza kwa pesa!
 
I am afraid your standards and threshold for a "smart guy" is rather on the low end of the wit stick.

You would sooner put lipstick on a pig and cal lit a beauty pageant winner for Miss Tanzania and have better luck conving me than telling me Jerry Muro is a smart guy.

I guess in Bongo any shameless usurping hack who would persevere with pretentious bolster and verve is considered a smart guy.

Wivu wa kike
 
Kama kuna watu wa kupuuzwa ni huyu Bw. Muro.

Najua anatafuta nini kutoka Administration hii...

Hana haja ya kujidhalilisha kupata u-DC maana ndiyo the most he could get!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom